Hii ni sehemu ya Gym katika uwanja wa St Mary’s unaomilikiwa na Vipers Fc ya Uganda. .
.
Kikosi hicho leo kimeanza kutumia ikiwa kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu nchini humo. .
@officialfelixtz

Maandalizi ya msimu mpya @simbasctanzania

Klabu ya As Vital kupitia ukurasa wake wa instagram imethibitisha kuwa itakipiga na Yanga Sc katika mchezo wa maandalizi ya msimu mpya Agosti 4, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
F

Simba iko kambini Afrika Kusini leo ikitarajiwa kuanza rasmi program za maandalizi ya msimu mpya
Hata hivyo nyota saba wa mabingwa hao wa nchi walioitwa kujiunga na kikosi cha Stars, watalazimika kurejea jijini Dar es salaam kuwahi kambi ya timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya CHAN
Stars itacheza na Kenya Julai 28 kwenye uwanja wa Taifa
Wachezaji wa Simba walioitwa kwenye kikosi cha Stars ni Aishi Manula, Gadiel Michael, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Hassani Dilunga, Ibrahim Ajib na John Bocco
Kambi ya Stars itaanza Julai 21

Taarifa kwa vyombo vya habari. #SimbaYaKimataifa #NguvuMoja

✍🏻 Inaeleweka kwamba, PSG inataka Mchezaji na Pesa kwa Timu ambayo unataka kumsajili Neymar. Mchezaji huyo Bado yupo Katika Mazungumzo ya kutaka kurejea FC Barcelona, lakini FC Barcelona haijatuma ofa yoyote Rasmi kwenda PSG kwa Nia ya kumsajili Neymar.
.
✍🏻 Pia, sababu za kifedha Barcelona lazima izingatie, inatakiwa kumtoa Mchezaji wao kama sehemu ya mpango wowote Ikiwa watataka kumsajili Mchezaji Mpya, Kwenye uhamisho wa Neymar anatajwa Kiungo, Philippe Coutinho kuwa sehemu ya Dili hilo.
.
✍🏻 Mpaka Sasa, Barça haijatoa ofa yoyote kwenda PSG. Na PSG haitokubali timu inayomtaka Mchezaji wao huyo kwa mkopo..
#Ligue1Updates #TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_

Kikosi cha Simba Queens kimefika salama nchini Ujerumani. Kikosi hicho kitakuwepo nchQini humo kwa ziara ya kisoka ya wiki mbili. #SimbaYaKimataifa #NguvuMoja

Makundi ya Ligi ya soka la Ufukweni hatua ya Nane Bora itakayofanyika kwenye fukwe za Coco kuanzia Julai 19-27,2019.

✍🏻 Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF”, limemtangaza mwamuzi, Bamlak Tessema Weyesa mwenye umri wa Miaka 39 Raia wa Ethiopia 🇪🇹 kuchezesha Mechi ya fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika “AFCON” Siku ya Julai 19 Mwaka huu… Fainali hiyo Ni Kati ya Senegal 🇸🇳 watao kipiga dhidi ya Algeria 🇩🇿 Katika uwanja wa Kimataifa wa Cairo.
:
✍🏻 Katika AFCON ya Mwaka huu, Bamlak Tessema amechezesha mchezo wa Nusu fainali Kati ya Senegal 🇸🇳 wakishinda dhidi ya Tunisia 🇹🇳, Mechi nyingine Ni ya Robo fainali Algeria 🇩🇿 wakishinda kwa penati dhidi ya Ivory Coast 🇨🇮 na Mechi za hatua ya Makundi, Ghana 🇬🇭 wakitoka Suluhu dhidi ya Cameroon 🇨🇲, Tunisia 🇹🇳 na Angola 🇦🇴 wakitoa Sare..
#AFCON2019Final #TotalAFCON2019
@Sokawaytz_