Meneja mpya wa Barcelona kumfanya Lionel Messi afurahi sana …

Meneja mpya wa Barcelona Quique Setien anatarajia kwamba Barcelona inaweza kumfanya Lionel Messi afurahi sana …

Mshambuliaji huyo wa Argentina alifunga bao la kwanza tangu Setien alipochaguliwa kuwa meneja mkuu pamoja na kuhusika kwenye ushindi wa 5-0 kwenye kombe la Copa del Rey dhidi ya Leganes.
Tangu Setien alipochaguliwa kuwa kocha mkuu wa Barca walipoteza 2-0 dhidi ya Valencia kwenye mechi yao ya hivi karibuni ya ligi.

TIMU ZILIZO NA USHINDI MCHACHE ZAIDI.

Ndanda ndiyo Timu pekee dhaifu zaidi kilapande kwenye ligi kuu Tanzania bara msimu huu.

Hii inanifanya Ndanda kuendelea kushika MKIA ikiwa na pointi 9 tu.

TIMU ZILIZO NA USHINDI MCHACHE ZAIDI.
1⃣. Ndanda… Mechi 16…shinda 1
2⃣. Mbeya….. Mechi 17…shinda 2
3⃣. Singida…. Mechi 17…shinda 2
4⃣. Mwadui… Mechi 16…shinds 3
5⃣. KMC …… Mechi 17…shinda 4

#fullsokatzupdates

#Nyepesi Nyepesi baadhi ya sajili zilizokamika

#NyepesiNyepesi baadhi ya sajili zilizokamika
.
✍️ Marco Rojo ametua klabu ya Argentina Estudiantes kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu.
.
✍️Paco Alcacer ametua Villarreal kutoka Dortmund kwa dau la €25M hadi 2025.
.
✍️ Atalanta imemsaini kinda Raoul Bellanove wa miaka 19 kutoka Bordeaux kwa dau la €5M Ndani kipengele cha kumnunua jumla.
.
✍️ Lyon imemeaini Bruno Guimaraes kutoka Athletico Paranaense kwa dau la €20M, miaka 4½.
.
✍️ Wolves imemsaini winga Daniel Podense kutoka Olympiacos .
.
✍️ Roma Imekamilika dili la kumsaini Gonzalo Villar kutoka Elche kwa dau la €4M hadi 2024.
.
✍️ Hertha Berlin imesajili mshambuliaji Krzysztof Piatek kutoka AC Milan kwa dau la €27M.
.
✍️ Klabu ya Sheffield United imemsaini Sander Berge kutoka Genk kwa dau la £20M hadi 2024
.
✍️ Getafe wamemsaini mlinzi Chema Rodriguez kutoka Nottingham Forest kwa dau la €1.7M hadi 2023.
.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

#Updates • Michezo Yapigwa STOP China. .

#Updates • Michezo Yapigwa STOP China.
.
Kutoka BEIJING, China imetangaza kusimamisha mashindano yote ya soka nchini humo pamoja na kuahirisha Ligi Kuu kwa muda usiojulikana kufuatia mlipuko wa virusi hatari viitwavyo coronavirus.
.
Ligi Kuu ya msimu 2020 iliratibiwa kuanza Februari 22, lakini imeahirishwa pamoja na aina zote za mechi za soka ili shughuli za kukabiliana na virusi hivyo zitapate kuendeshwa na kudhibiti ugonjwa huo.
.
Tangazo hilo kutoka kwa Shirikisho la Soka nchini China lilitolewa saa chache baada ya Riadha za Dunia za Ukumbini zilizoratibiwa kufanyika mjini Nanjing mwezi Machi kuahirishwa hadi mwaka 2021 kufuatia ushauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
.
Soka ina ufuasi mkubwa katika taifa hilo lenye idadi kubwa ya watu duniani, huku klabu tajiri zikiajiri wachezaji ghali wa kigeni kama raia wa Brazil Hulk na Oscar, na raia wa Argentina Carlos Tevez katika miaka ya hivi karibuni.
.
Kufikia Alhamisi, virusi hivi vilikuwa vimeua watu 170 nchini China pamoja na visa 7,700 kuripotiwa. Virusi vimeenea katika zaidi ya mataifa 15 barani Asia, Ulaya, Amerika ya Kaskazini na pia Mashariki ya Kati.
.
#bakinasisis__ #TupoNawePaleUlipo #NjooKwetu

Dimba la SOKOINE lipo katika hatua za mwisho kuanza kutumika mara Baada ya kufungiwa

#

Updates • #SokoineStadium •
.
✍️ Dimba la SOKOINE lipo katika hatua za mwisho kuanza kutumika mara Baada ya kufungiwa kwa muda kutokana na kuharibiwa vibaya na Tamasha la muzuki lililofanyika katika dimba hilo.

.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Design a site like this with WordPress.com
Get started