
OFFICIAL | Shirikisho la Soka Nchini Cameroon ๐จ๐ฒ, Limethibitisha kumfuta kazi ya ukocha mk6uu wa timu yao ya taifa, kocha Clarence Seedorf na Msaidizi wake, Patrick Kluivert, hii imekuja Baada ya Wawili hao kuiongoza timu hiyo ya taifa kutupwa nje ya Fainali za Mataifa ya Afrika “AFCON” huko Misri.
:
– The Indomitable Lions walipokea kipigo Cha Magoli 3-2 dhidi ya Nigeria na kuondoshwa Katika hatua ya 16 Bora, Seedorf na Kluivert waliteuliwa mwezi wa Agosti Mwaka jana wakiiongoza Cameroon ๐จ๐ฒ kwa Mechi takribani 12 tu…
#Updates
@Sokawaytz_




–
Mabingwa Watetezi wa Michuano ya CECAFA Kagame Cup, Klabu ya Azam FC imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali ya Michuano hiyo kufuatia kuwatupa nje Mabingwa wa zamani wa Afrika na Mabingwa wa DR Congo ๐จ๐ฉ, Klabu ya TP Mazembe…






