Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer asisitiza kuwa anataka kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameendelea kuwasisitiza mabosi wa klabu hiyo kuwa anataka kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili msimu huu (Express)

Kocha Mkuu was Klabu ya Manchester City, Pep Guardiola Amethibitisha kuwa Nahodha Mpya wa Klabu hiyo atachaguliwa na Wachezaji wenyewe

– Kocha Mkuu was Klabu ya Manchester City, Pep Guardiola Amethibitisha kuwa Nahodha Mpya wa Klabu hiyo atachaguliwa na Wachezaji wenyewe wa Kikosi chake, lakini Ni Baada ya Wachezaji wote kuwasili Kikosini. Alithibitisha hilo Baada ya Mchezo dhidi ya West Ham, Upande wake wakishinda 4-1 Kwenye Mashindano ya Asian Trophy kwa Vilabu vinne vya Premier league (Premier league Asia Trophy).
.
– Baada ya Ushindi huo Magoli yakifungwa na Raheem Sterling ⚽⚽, David Silva na Lukas Nmecha yamewafanya Mabingwa hao Kufuzu fainali Ambapo wanakutana na Wolves ambao wameitwanga Newcastle United Magoli 4-0 hii leo… Waliopokea vipigo watapambana kusaka Mshindi wa tatu.. Mechi zote hizo mbili kupigwa Julai 20 huko huko Shanghai, China 🇨🇳.
#Updates
@Sokawaytz_

Wageni Waalikwa AS Meniema kutoka DR Congo wanawatupa..kagame cup

– Wageni Waalikwa AS Meniema kutoka DR Congo wanawatupa nje ya Mabingwa Mara tatu Michuano ya CECAFA Kagame Cup, APR FC ya Rwanda kwa Mikwaju ya Penati 4-3.
.
– Kwa Ushindi huo, AS Meniema inafuzu kucheza Nusu fainali ya Michuano hii na Sasa itakutana na Azam FC ya Tanzania 🇹🇿.
#CECAFAKagameCup #KagameCup2019

CAF” imeridhia kuwepo na fainali Mona ya ligi ya mabingwa africa

✍🏻 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF” imeridhia kwa pamoja kwa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika [CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuchezwa Mechi moja tu Badala ya kupigwa fainali mbili yaani nyumbani na Ugenini.
.
✍🏻 Uamuzi huo umeamuliwa jijini Cairo leo Jumatano kabla ya mechi ya kutafuta Mshindi wa tatu katika Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Nigeria na Tunisia.
.
✍🏻 Pia, Raisi wa Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF”, Ahmad Ahmad kuputia ukurasa wake wa Twitter Amethibitisha hilo kwa ku-tweet kuwa “Maamuzi makubwa ya Kamati ya Utendaji ya CAF hii leo, Fainali ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup itachezwa kwa Mchezo mmoja”..
#CAFCC #CAFCL #TotalCAFCL #TotalCAFCC
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO.. :

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO..
:
– Africa Cup of Nations – Bronze.
FT Tunisia 0 – 1 Nigeria
.
– Champions League – Qualification.
AET Riga FC 0 – 0 Dundalk FC *
FT AIK 3 – 1 Ararat Armenia
FT Qarabag FK 2 – 0 Partizani
FT Rosenborg 4 – 0 Linfield
FT Ludogorets Razgrad 2 – 3 Ferencvaros
FT CFR Cluj 3 – 1 FC Astana
FT Piast Gliwice 1 – 2 BATE Borisov
FT Maribor 2 – 0 Valur
AET Sutjeska * 1 – 1 Slovan Bratislava
FT Celtic 2 – 1 FK Sarajevo
.
– England – Premier League Asia Trophy.
FT Newcastle 0 – 4 Wolves
FT Manchester City 4 – 1 West Ham
.
– Africa – Kagame Cup:: Quarter finals.
FT Gor Mahia 1 – 2 Green Eagles
AP APR FC 0 – 0 Maniema Union *
:
– International – Club Friendlies.
FT Manchester United 4 – 0 Leeds United
FT SSV Jahn Regensburg 2 – 3 Hoffenheim
FT Fiorentina 0 – 0 Bari
FT Verona 1 – 1 Top 22
FT Mainz 05 2 – 0 Rayo Vallecano
FT SPAL 3 – 1 Gorica
FT Cagliari 5 – 0 Real Vicenza
FT Besiktas 2 – 1 Pendikspor
FT Sampdoria 15 – 0 Sellero Novelle
FT FC Erzgebirge Aue 4 – 1 Hertha BSC
FT Feirense 3 – 1 Arouca
FT Oliveirense 0 – 0 Tondela
FT Rio Ave 0 – 1 Vitoria de Guimaraes
FT Istanbul Basaksehir 1 – 5 Borussia Mönchengladbach
FT Brest 2 – 1 Lorient
FT Oberhausen 0 – 1 Heracles
FT Willem II 0 – 3 Sparta Rotterdam
FT VfL Bochum 1848 1 – 2 Barnsley
FT Pacos de Ferreira 2 – 2 Penafiel
FT SD Amorebieta 1 – 3 Eibar
FT St.Truiden 1 – 2 Lommel
FT Waasland-Beveren 0 – 3 Lens
FT Orleans 0 – 1 Angers
FT PSV Eindhoven 0 – 2 Wolfsburg
FT First Vienna FC 1 – 4 1. FC Union Berlin
FT Roeselare 1 – 1 Royal Excel Mouscron
FT Feyenoord 0 – 3 Panathinaikos
FT Wrexham 1 – 3 Stoke City
FT Dagenham & Redbridge 0 – 4 Charlton Athletic
FT Mansfield Town 1 – 3 Blackburn Rovers
FT AZ Alkmaar 0 – 2 Gent
FT Rochdale 1 – 3 Huddersfield Town
FT FC Dallas 1 – 3 Sevilla
FT Minnesota United 0 – 3 Aston Villa
.
– Euro U-19 – Group A.
FT Portugal U19 1 – 1 Spain U19
FT Armenia U19 0 – 4 Italy U19
#Updates
@Sokawaytz_

VIKOSI …MSHINDI WA TATU⚽ *🇹🇳TUNISIA vs NIGERA🇳🇬*#AFCON

⚽ *🇹🇳TUN vs NGA🇳🇬*

*TUN🇹🇳*
22 Moez Ben Cherifia (Goalkeeper)
14 Mohamed Dräger (Defender)
21 Nassim Hnid (Defender)
4 Yassine Meriah (Defender)
5 Oussama Haddadi (Defender)
20 Ghailene Chaalali (Midfielder)
17 Ellyes Skhiri (Midfielder)
13 Ferjani Sassi (Midfielder)
9 Anice Badri (Forward)
10 Wahbi Khazri (Forward)
11 Taha Yassine Khenissi (Forward)

*NGA🇳🇬*
23 Francis Uzoho (Goalkeeper)
2 Ola Aina (Defender)
5 William Troost-Ekong (Defender)
22 Kenneth Omeruo (Defender)
3 Jamilu Collins (Defender)
4 Wilfred Ndidi (Midfielder)
18 Alex Iwobi (Midfielder)
8 Oghenekaro Etebo (Midfielder)
13 Samuel Chukwueze (Forward)
9 Odion Ighalo (Forward)
7 Ahmed Musa (Forward)

*

Mtanzania @adiyussuf ameisaidia timu yake ya Blackpool kuondoka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fylde katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya

Mtanzania @adiyussuf ameisaidia timu yake ya Blackpool kuondoka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fylde katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya. .
.
Adi amefunga bao moja katika ushindi huo. Hongera @adiyussuf

Design a site like this with WordPress.com
Get started