Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF” , kimefanya marekebisho ya Michezo ya Kufuzu kwa fainali za Afrika (AFCON) 2021.

🏻 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF” Katika kikao chake kilichokaliwa Jana na hii leo, kimefanya marekebisho ya Michezo ya Kufuzu kwa fainali za Afrika (AFCON) 2021.
:
✍🏻 Hatua ya awali Kufuzu itachezwa Kati ya Agosti 7-15, 2019, Wakati Michezo mingine itakuwa Kati ya Novemba 11-19, 2019.
✍🏻 Michezo inayofuata ya Kufuzu itachezwa Kati ya Agosti 31,2020 na Septemba 8,2020, na hatua inayofuata kuchezwa Kati ya Oktoba 5-15, 2020.
✍🏻 Michezo ya kumalizia itachezwa Kati ya Novemba 9-17,2020..
#TotalAFCON2021 #AFCON2021

juventusimefahamika wameanza kumtaka Neymar Jr Baada ya FC Barcelona kusuasua kumsajili

🙌 @juventus wamekamilika Aisee! Pia imefahamika wameanza kumtaka Neymar Jr Baada ya FC Barcelona kusuasua kumsajili…
:
– Kwa kikosi hichii Hapa Hakuna Shaka Ubingwa wa @seriea Ni wao tu; Sasa tutegemee Vibibi kizee vipya na vyenye upinzani Katika Michuano ya @championsleague!!.
#Juventus #SerieAUpdates

Ighalo ndiye mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi katika michuano ya AFCON mpaka sasa kwa kujiwekea kapuni jumla ya magoli matano.

Ighalo ndiye mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi katika michuano ya AFCON mpaka sasa kwa kujiwekea kapuni jumla ya magoli matano.

Wachezaji wanaofuata ni Mahrez 3, Ounus 3, Bakambu 3, Mane 3.
Je unadhani magoli hayo yanatosha kwa Ighalo kubeba tuzo ya kiatu cha dhahabu katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika? 📸getty

Design a site like this with WordPress.com
Get started