

OFFICIAL | Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Liverpool, Daniel Sturridge amefungiwa muda wa Wiki Nne kutojihusisha na Masuala ya Mpira wa Miguu Baada ya kuvunja Sheria za FA kufuatia kujihusisha na Masuala ya Ubashiri (Betting)… Muingereza huyo pia kapigwa faini ya Β£75,000.
.
– Kwa mujibu wa Taarifa ya FA, Ni kwamba Sturridge Ambaye kaachwa na Liverpool msimu uliopita, alimuagiza Kaka yake, Leon akamuwekee “mkeka” kuwa yeye Baada ya kuondoka Liverpool atajiunga na Sevilla ya Hispania… Adhabu hiyo ya vifungu Ambapo ataruhusiwa kucheza tena na kujihusisha na Masuala ya Soka Julai 31 Mwaka huu, Wiki Nne nyingine za kutojihusisha na soka atazitumikia kuanzia August 31,2020…
#Updates
@Sokawaytz_
https://www.instagram.com/p/B0DxRY7gexn/?igshid=ar6t78nqi5jj