
Mechi za kirafiki za Kimataifa.

Mechi za kirafiki za Kimataifa.


Klabu za Manchester United, Everton pamoja na Paris St-Germain zote zimeanza mazungumzo ya awali na Juventus ili kupata saini ya kiungo wakAe Blaise Matuidi. (Le Parisien)
.
.
Unafikiri ipi ni sehemu sahihi kwa Matuidi kwasasa?





Muonekano wa uwanja wa mazoezi wa @simbasctanzania unaoendelea kujengwa maeneo ya Bunju.

K

Kocha Ali Bakari Mgazija amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuwatumikia Stand United chama la wana akisaidiwa na Ali Omar Kisaka na Khamis Gulit katika benchi lake la ufundi.
.
.
Mngazija pamoja na Gulit waliisadia timu ya Selem view ya Pemba kunusurika kushuka daraja kunako ligi kuu ya Zanzibar msimu uliopita wakati Kisaka akiifundisha klabu ya Pamba ya jijini Mwanza .
.
@chidithegiant


Klabu ya Liverpool inajiandaa kumpa ofa ya mkataba mpya nyota wake Mo Salah utakaomfanya alipwe pesa nyingi kuliko mchezaji yeyote wa EPL. .
.
Imeelezwa kuwa Liverpool wapo tayari kumlipa kiasi cha Β£22.4m kwa mwaka. (The Sun)


Klabu ya Fc Barcelona imeanza kuwania saini ya beki wa Fc Bayern Munich David Alaba ili kuleta ushindani kati yake na Jordi Alba katika upande wa kushoto (The Sun)


Baada ya kumkosa Wilfred Zaha, Klabu ya Arsenal ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili Everton Soraes kutoka Gremio kwa dau la Β£36m. (Star)


OFFICIAL: Kiungo wa timu ya Taifa ya Algeria π©πΏ, IsmaΓ«l Bennacer ameibuka Mchezaji Bora wa Michuano ya #AFCON2019.


OFFICIAL: Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria π³π¬, Odion Ighalo ameibuka mfungaji Bora wa Michuano ya #AFCON2019 na kujibebea tuzo yake kufuatia kufunga Magoli Matano Katika Mechi zote, Nigeria π³π¬ wakikamata Nafasi ya tatu Katika Michuano hii…
#AFCON2019 #TotalAFCON2019
https://www.instagram.com/p/B0H78OCgMO7/?igshid=rlevmhzya4br


#DealDone Klabu ya Dodoma Jiji Fc imekamilisha usajili wa beki Joseph Mapembe kutoka Biashara ya Mara kwa mkataba wa mwaka mmoja.