MATOKEO YA SOKA YA JANA JUMAMOSI!.

MATOKEO YA SOKA YA JANA JUMAMOSI!.
:
England – Premier League Asia Trophy.
FT Newcastle 1 – 0 West Ham
AP Wolves * 0 – 0 Manchester City
.
Belgium – Super Cup.
FT Genk 3 – 0 KV Mechelen
.
– International – Champions Cup.
FT Manchester United 1 – 0 Inter
FT Benfica 3 – 0 CD Guadalajara
FT Arsenal 3 – 0 Fiorentina
FT FC Bayern München 3 – 1 Real Madrid
.
International – Club Friendlies.
FT Hamburger SV 2 – 2 Anderlecht
FT Bristol Rovers 1 – 2 Birmingham City
FT VfL Osnabrück 0 – 3 1. FC Köln
FT Alanyaspor 1 – 0 Konyaspor
FT Bayer Leverkusen 1 – 2 Watford
FT Werder Bremen 0 – 1 VfL Osnabrück
FT Bradford City 1 – 1 Wigan Athletic
FT Bromley 1 – 0 Crystal Palace
FT Burton Albion 2 – 5 Derby County
FT Cheltenham Town 1 – 2 Leicester City
FT Crewe Alexandra 1 – 0 Burnley
FT Exeter City 1 – 3 Swansea City
FT Heidenheim 5 – 1 Middlesbrough
FT Fulham 2 – 1 Brighton
FT Hull City 2 – 2 Mansfield Town
FT Northampton Town 0 – 2 Sheffield United
FT Oxford United 1 – 2 QPR
FT Port Vale 1 – 3 Burnley
FT Preston 1 – 3 Southampton
FT Scunthorpe United 0 – 4 West Bromw
FT Tranmere Rovers 0 – 2 Stoke City
FT Angers 3 – 2 Le Havre
FT Sampdoria 3 – 0 Real Vicenza
FT 1. FC Köln 0 – 1 Werder Bremen
FT Verona 5 – 0 Union Feltre
FT Reims 1 – 1 Gent
FT Bologna 5 – 0 Virtus Bolzano.
.
.
RATIBA YA HII LEO JUMAPILI:
– International – Champions Cup.
14:30 Juventus
Tottenham
.
– International – Club Friendlies.
12:00 Parma
FC Obermais
14:30 SV Wehen Wiesbaden
Boavista
15:00 Gillingham
Millwall
15:30 Holstein Kiel
Sheffield Wednesday
16:00 Shrewsbury Town
Aston Villa
16:00 Standard Liege
Nice
17:00 SSV Jahn Regensburg
Mainz 05
17:00 Rangers
Blackburn Rovers
17:00 Westerlo
Genk
18:00 Atalanta
Renate
18:00 Lazio
Triestina
18:00 SPAL
Pordenone Calcio
18:30 Besiktas
Kocaelispor
18:30 Darfo Boario
Brescia
18:30 FeralpiSalo
Cagliari
19:00 Eibar
Kayserispor
19:00 Oostende
OFI Crete
21:00 Mallorca
Felanitx
01:00 Montpellier
Bordeaux
01:00 Sevilla
Liverpool
04:00 Saint-Etiene
Marseille
:
– Africa – Kagame Cup:: 3rd place.
15:00 Maniema Union
Green Eagles FC
FINAL 🏆
18:00 Azam FC 🇹🇿
KCCA FC 🇺🇬.
.
– Egypt – Premier League.
21:00 El Gounah
El Zamalek
#fixtures #Updates
@Sokawaytz_

– Kocha Mkuu wa Klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane Amethibitisha kuwa Mshambuliaji wa Klabu yake, Gareth Bale yupo mbioni kuachana na Mabingwa

– Kocha Mkuu wa Klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane Amethibitisha kuwa Mshambuliaji wa Klabu yake, Gareth Bale yupo mbioni kuachana na Mabingwa hao wa Kihistoria Barani Ulaya; Zidane aliulizwa Sababu za kukosekana kwa Nahodha huyo wa Wales Katika Mchezo waliopoteza dhidi ya Bayern Munich 3-1 Katika Maandalizi ya Msimu Mpya Alfajiri ya hi Leo..
:
🗣 Zinedine Zidane: “Bale leo hakuweza kucheza kwa sababu yuko karibu sana kuondoka. Tunatarajia ataondoka hivi karibuni, kama kesho ingekuwa bora! Tunafanya kazi kwenye uhamisho wake kwa timu mpya”.
.
– Bale mwenye umri wa Miaka 30 bado ana Mkataba wa Miaka Mitatu na Klabu hiyo, lakini anahusishwa kujiunga na Manchester United, Klabu yake ya zamani ya Tottenham na Mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich.
#TransferNewsUpdates #LaligaUpdates

Kocha wa Manchester Utd Ole Gunnar Solskjaer amemwambia nyota wake Jesse Lingard kuwa aache maamuzi mabovu

Kocha wa Manchester Utd Ole Gunnar Solskjaer amemwambia nyota wake Jesse Lingard kuwa aache maamuzi mabovu na yasiyokuwa ya msingi kwake badala yake apambane kuhakikisha anakuwa bora siku hadi siku (Mirror)

Golikipa wa Manchester Utd David de Gea anatarajia kuwa golikipa pekee anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani baada ya kukubali kusaini

Golikipa wa Manchester Utd David de Gea anatarajia kuwa golikipa pekee anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani baada ya kukubali kusaini mkataba mpya wa miaka sita na mashetani hao wekundu.
.
.
Imeelezwa kuwa mkataba huo una thamani ya £117m. (Telegraph)

Romelu Lukaku Rekodi zake za Magoli akicheza Premier League:

Romelu Lukaku Rekodi zake za Magoli akicheza Premier League:
Kwa Kichwa: • 23 goals
Mguu wa Kulia: • 31 goals
Mguu wa Kushoto: • 57 goals
:
Tangu Mchezo wake wa kwanza Katika Ligi, ndio Mchezaji Pekee kufunga Magoli 20+ kwa kila Kati ya viungo hivyo vitatu… 🔜 @inter ⚪⚫
#transfersUpdates

https://www.instagram.com/p/B0It2CigL0Y/?igshid=1epyc5k066pp8

– Kabla ya kujiunga na Klabu ya Anderlecht, winga wa Klabu ya TP Mazembe 🇨🇩, Meschak Elia amekutana na Moïse Katumbi Ambaye ni Mwenyekiti na Mmiliki wa Klabu hiyo

– Kabla ya kujiunga na Klabu ya Anderlecht, winga wa Klabu ya TP Mazembe 🇨🇩, Meschak Elia amekutana na Moïse Katumbi Ambaye ni Mwenyekiti na Mmiliki wa Klabu hiyo ya mjini Lubumbashi 🇨🇩 na kupokea baraka za kheri huko aendako…Elia anatarajiwa kusafiri kwenda nchini Ubelgiji 🇧🇪 na kujiunga katika Klabu ya RSC Anderlecht inayoshiriki Ligi Kuu Nchini humo, Meschack Elia Alijiunga na Klabu hiyo akiwa na umri wa miaka 17, akacheza kwa mkopo CS Don Bosco na kurudi ndani ya Klabu yake na Sasa anaenda kukipiga Barani Ulaya.
:
🗣 “Bila mwongozo wako, ushauri wako na hasa ukizingatia mimi kama mtoto wako, nisingeweza kufikia kiwango hiki” alisema Meschack kwa Mwenyekiti wake.
:
🗣 “Unakwenda Anderlecht kuipeperusha rangi za TPM.Tuna matumaini kwamba siku moja utakuwa ni Mmoja Kwenye kumbukumbu katika soka ya Congo kama nchi ilivyokuwa nyuma.Kuwa na nidhamu kama ulivyokuwa na TPM, tutajivunia na kuwa na kiburi na kutembea kwa nyayo zetu Sisi kama klabu yako ya zamani tumetoa kijana Ulaya, Kama ilivyo Sasa kwa Mbwana Samatta, Christian Luyindama, Wonder Bope, Godmerci Mbokani na wengine…Utakuwa na marafiki wengi unapokuwa huko, nakushauri kuwa makini tu na kazi yako, hakuna kitu kingine .. Fikiria tayari baada ya kufika umri wa miaka 35 na sasa usiingie katika mtego wa mawakala wenye ushawishi mbaya” Alisema Mwenyekiti huyo wa Klabu ya TP Mazembe, Moïse Katumbi.
:
– Katika tukio hilo, Mwenyekiti Moïse KATUMBI aliwakumbusha Wachezaji wengine kuwa TPM haitamzuia mchezaji yeyote anayetaka kuondoka, isipokuwa kuwa kila kitu lazima kifuate sheria..
#TransferNewsUpdates #transfersUpdates
@Sokawaytz_

https://www.instagram.com/p/B0IyVn1AQXd/?igshid=4np0uxav7uc0

Design a site like this with WordPress.com
Get started