MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI:. :

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI:.
:
– International – Champions Cup
FT Juventus 2 – 3 Tottenham Hotspur
.
– International – Club Friendlies
FT Sevilla 2 – 1 Liverpool
FT Parma 4 – 0 FC Obermais
FT Real Betis 2 – 1 Portimonense
FT Gillingham 1 – 2 Millwall
FT Holstein Kiel 2 – 3 Sheffield Wednesday
FT Shrewsbury Town 0 – 1 Aston Villa
FT Standard Liege 2 – 1 Nice
FT SV Wehen Wiesbaden 3 – 0 Boavista
FT Rangers 1 – 1 Blackburn Rovers
FT Westerlo 2 – 1 Genk
FT SSV Jahn Regensburg 2 – 1 Mainz 05
FT Atalanta 6 – 0 Renate
FT SPAL 2 – 0 Pordenone Calcio
FT Lazio 5 – 2 Triestina
FT Darfo Boario 1 – 5 Brescia
FT Besiktas 7 – 1 Kocaelispor
FT FeralpiSalo 1 – 1 Cagliari
FT Eibar 5 – 2 Kayserispor
FT Oostende 4 – 1 Panachaiki
FT Mallorca 4 – 0 Felanitx
FT Farense 1 – 1 Belenenses
FT FC Porto 2 – 1 Getafe
FT Montpellier 1 – 2 Bordeaux
FT Saint-Etienne 1 – 2 Marseille
.
– Euro U-19 – Group B.
FT France U19 1 – 0 Norway U19
FT Ireland U19 2 – 1 Czech Republic U19
.
– Africa – Kagame Cup:: 3rd place
FT Maniema Union 0 – 2 Green Eagles
FINAL 🏆
FT Azam FC 0 – 1 KCCA FC
:
RATIBA YA SOKA HII LEO JUMATATU:
– International – Club Friendlies
15:00 Ajax
OFI Crete
15:00 Arsenal Tula
Anzhi Makhachkala
16:00 Gazisehir Gaziantep FK
Sepahan
19:00 Haladas
Trabzonspor
19:30 Fenerbahce
Wolfsburg
20:00 Ajax
Panathinaikos
21:00 Maritimo
Al-Duhail SC
21:45 Oxford United
Fulham
#fixtures #Updates
@Sokawaytz_

Timu ya taifa ya Senegal, @leslionsdelateranga wamewasili nyumbani na kupokelewa kwa shangwe kwao

Timu ya taifa ya Senegal, @leslionsdelateranga wamewasili nyumbani na kupokelewa kwa shangwe kwao Baada ya kupoteza mechi fainali ya AFCON 1-0 dhidi ya Algeria walioibuka Mabingwa!!
#SENALG #TotalAFCON2019

Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars imeingia Kambini mapema wiki moja kabla ya pambano kujiandaa na Mechi ya kuwania Kufuzu kucheza CHAN dhidi ya Tanzania…

Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars imeingia Kambini mapema wiki moja kabla ya pambano kujiandaa na Mechi ya kuwania Kufuzu kucheza CHAN dhidi ya Tanzania…Wachezaji 23 kati ya 27 walioitwa hapo awali wamewasili Kambini na timu hiyo imefanya mazoezi ya kwanza jana Jumapili kwenye Uwanja wa Kasarani kabla ya mechi hiyo.
:
🗣 “Kwa kweli mechi itakuwa ngumu dhidi ya Tanzania. Wengi wa wachezaji tuliokuwa nao katika AFCON walikuwa Wachezaji wa ndani na wenye uzoefu zaidi. Tunafanya mazoezi ya kujenga miili ya Wachezaji wa timu kwanza na nina uhakika kwamba tutafanya vizuri, “alisema Kocha Mkuu wa Harambee Stars, Sébastien Migné Baada ya mazoezi ya Siku ya kwanza.
.
– Mechi ya kwanza imepangwa kufanyika Julai 28, 2019 jijini Dar ES Salaam na Mechi ya pili itapigwa kwenye Dimba la Kasarani Mjini Nairobi mnamo Agosti 4, 2019…Mshindi wa jumla atakabiliana na Sudan katika Mchezo wa mwisho we kuwania kufuzu ili kucheza kwenye Michuano hiyo ambayo imepangwa kufanyika Januari 2020 Nchini Cameroon 🇨🇲..
#CHAN2020Cameroon🇨🇲 #CHANQ #CHAN2020 #TunakanyagaMpakaCHAN2020🇹🇿
@sokawaytz_

Yanga yahairisha mkutano

Taarifa kutoka @yangasc “Ule Mkutano na waandishi wa habari uliokuwa ufanyike makao makuu ya klabu leo Jumatatu tarehe 22/Julai/2019
Umeahirishwa, Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza”.
:
Inaeleweka kwamba Klabu ya @AsVitaOfficiel hawatokuja Nchini kukipiga na Klabu hiyo Baada ya Ratiba ya Michuano ya CAF kutoka na Ratiba ikionesha wanaanzia Ugenini Nchini Cameroon 🇨🇲 dhidi ya USM de Loum Kati ya Tarehe 9,10 au 11 mwezi ujao!.
#Updates

Design a site like this with WordPress.com
Get started