Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo amejumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku

Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo amejumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku hapa kambini mjini Rustenburg, Afrika Kusini. #NguvuMoja

Klabu ya Buildcon Fc ya Zambia anayoichezea mtanzania Eliuter Mpepo (@mpepoeleven ) imepangwa kucheza na Young Buffaloes ya E’swatini

Klabu ya Buildcon Fc ya Zambia anayoichezea mtanzania Eliuter Mpepo (@mpepoeleven ) imepangwa kucheza na Young Buffaloes ya E’swatini katika mchezo wa raundi ya awali ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika. .
.
Timu hizo zinatarajia kumenyana kati ya Agosti 9-11 na marudiano kati ya Agosti 23-25 mwaka huu. .
.
Kila la heri @mpepoeleven

Vikosi *Liverpool vs Sevilla FC*…Internation champions cup

⚽ *Liverpool vs Sevilla FC*

*Liverpool*
99 Andy Lonergan (Goalkeeper)
66 Trent Alexander-Arnold (Defender)
4 Virgil van Dijk (Defender)
47 Nathaniel Phillips (Defender)
26 Andrew Robertson (Defender)
21 Alex Oxlade-Chamberlain (Midfielder)
14 Jordan Henderson (Midfielder)
59 Harry Wilson (Midfielder)
5 Georginio Wijnaldum (Midfielder)
27 Divock Origi (Forward)
58 Ben Woodburn (Forward)

*Sevilla FC*
1 Sergio Rico (Goalkeeper)
Sergio Reguilón
6 Daniel Carriço (Defender)
Diego Carlos
Lucas Ocampos
8 Nolito (Midfielder)
16 Jesús Navas (Midfielder)
Joan Jordan
Fernando
10 Éver Banega (Midfielder)
Luuk de Jong

w*

Katibu Mkuu wa Baraza la Vyama vya mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye ametangaza atamwaga manyanga Katika nafasi yake

👉🏻 Katibu Mkuu wa Baraza la Vyama vya mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye ametangaza kuwa ifikapo mwezi Juni ya Mwaka 2020 Rasmi atamwaga manyanga Katika nafasi yake hiyo Baada ya kudumu kwa Miongo miwili, Katika Mahojihano na Gazeti la taifa la Kenya 🇰🇪 Baada ya Fainali ya CECAFA Kagame Cup Jana Nchini Rwanda 🇷🇼, Musonye amesema kuwa ana mipango Mitatu Baada ya kuachia Ngazi.
.
👉🏻 Musonye amesema kuwa anaweza kwenda kusomea Udaktari, ana Nia ya kujiingiza Katika Siasa au Kuendeleza ubora Soka la Nchini kwake, Kenya 🇰🇪 kwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Nchini humo akichukua Mikoba ya Rais wa Sasa, Nicholas Mwendwa…
.
🗣 “Imekuwa miaka ishirini tangu Mengi yametokea, ninaondoka CECAFA kwa mikono mema na kuomba wale ambao watachukua kuendeleza mashindano na kuonyesha vipaji. Licha ya kazi ngumu, viwango vya mpira wa miguu katika kanda hii ni miongoni mwa viwango vya chini kabisa na tulishuhudia hili wakati wa Kombe la Mataifa ya Afrika huko Misri” Alisema Musonye Ambaye kaongoza Mataifa 12 kwa Miaka takribani 20 Nchi za, Burundi, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Somalia, South Sudan, Sudan, Tanzania, Uganda na Zanzibar zimekuwa chini yake kwa muda Sasa!.
#CECAFA #updates
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started