

Mechi za kirafiki leo.


Mechi za kirafiki leo.


Golikipa wa klabu ya Yanga Sc Farouk Shikalo ndani ya uzi wa klabu yake mpya kambini Morogoro.


Rasmi Nabil Fekir ametambulishwa kuwa mchezaji wa Real Betis ya Hispania akitokea Lyon ya Ufaransa kwa dau la Euro milioni 20.
.
.
Fekir amesaini mkataba utakaomalizika 2023
#


DealDone @ismail_aziz_kader_16 ameongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia Tz Prisons ya Mbeya. .
.
Awali Aziz alikuwa akiwaniwa na vilabu vya JKT Tanzania pamoja na Azam Fc.


Kiungo wa kati wa klabu ya Arsenal Granit Xhaka amesema hana wasi wasi na klabu yake kuelekea kwenye msimu mpya wa Epl, anaamini kocha wake amejifunza kitu kutoka kwenye msimu wake wa kwanza hivyo anaamini watafanya vyema msimu huu zaidi ya msimu uliopita (Mirror)


Klabu ya Arsenal ipo kwenye hatua za mwisho za kumsaini kiungo wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Hispania Dani Ceballos kwa mkopo wenye chaguo la kumnunua moja kwa moja. .
.
Kiungo huyo tayari amekubaliana na Arsenal kuhusiana na masuala binafsi usiku wa kuamkia leo hivyo huenda muda wowote akatangazwa kama mchezaji wa Arsenal (Sky Sports)


Leo saa 5:00 asubuhi (EAT) tutacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya klabu ya Orbret TVET. #NguvuMoja
–


Klabu ya @simbasctanzania hii leo majira ya Saa 5:00 asubuhi (EAT) inatarajia Kucheza mchezo wao wa Kwanza wa Kirafiki wakiwa kambini Nchini Afrika Kusini… Mchezo huo wa kujipima Ni dhidi ya timu ya Chuo Kikuu Cha Orbit TVET Collage, Orbit FC mjini Rustenburg..
#Updates


DONE DEAL: Real Betis Imethibitisha kumsajili Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa, Nabil Fekir kutoka Klabu ya Lyon kwa dau la €19.75m.. dili hilo Ni pamoja na nyoongeza ya €10m na makubaliano ya 20% ya Fedha za uhamisho wapewe Lyon Ikiwa Betis watamuuza kwenda Klabu nyingine!.
#TransferNewsUpdates


Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo amejumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku hapa kambini mjini Rustenburg, Afrika Kusini. #NguvuMoja