

#DealDone Klabu ya @biasharautd imefanikiwa kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja nyota wake JUMA MPAKALA .
.
.
Mpakala aliwahi kuvitumikia vilabu vya Mtibwa Sugar, Ruvu Shooting na Njombe Mji Fc.


#DealDone Klabu ya @biasharautd imefanikiwa kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja nyota wake JUMA MPAKALA .
.
.
Mpakala aliwahi kuvitumikia vilabu vya Mtibwa Sugar, Ruvu Shooting na Njombe Mji Fc.


#DealDone Klabu ya Namungo FC ya Ruangwa imefanikiwa kuinasa saini ya aliyekuwa Golikipa wa Bishara Utd ya Mara Nurdine Barola.



S

Siku kama ya leo mwaka 2008, @leomessi alikabidhiwa jezi namba 10 yenye maajabu pale Fc Barcelona (📷 @brfootball )✨


OFFICIAL | Miamba wa Soka Nchini DR Congo 🇨🇩, Klabu ya AS Vita Club Imethibitisha Kukamilisha Usajili wa Beki wa Kimataifa wa Ivory Coast, Zana Oumar Coulibally Kama Mchezaji huru kwa Mkataba wa Miaka Miwili. Zana kabla ya kujiunga na Miamba hao wa Kinshasa, Ametoka Kuitumikia Klabu ya Simba SC ya Tanzania 🇹🇿.
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_


#Repost @mbaofc
Tripple Done Deal📝
kiungo Mkabaji Kauswa Benard,Beki wa kushoto Sospeter Maiga wote kutoka Biashara United na Beki wa Kati Rajab Rashid kutoka Ndanda Fc Wamejiunga na Mbao Fc kwa mkataba wa Mwaka mmoja.
Wachezaji hao wameshawasili kambini chini ya Kocha Hemed Morocco tayari kwa maandalizi ya msimu ujao.
Karibuni sana!


– Kinda wa Shule ya Soka ya Mabingwa wa Hispania, Klabu ya FC Barcelona (La Masia), Xavi Simons mwenye umri wa Miaka 16, ametangaza kuondoka klabuni hapo. Xavi aliandaliwa kuwa nyota wa Barcelona wa siku zijazo kama Lionel Messi na wengine ambao walilelewa katika shule hiyo. Alijiunga Rasmi na Miamba hao akiwa na umri wa miaka Minane..
.
– Hivi Sasa Anatarajiwa kujiunga na Mabingwa wa Ufaransa, Klabu ya PSG Kama Mchezaji huru na Wakala wake, Mino Raiola anashughulikia uhamisho huo..🙄
.
– PSG inamsajili kinda huyo fundi wa Mpira Ikiwa Ni Kama kisasi wanalipa baada ya FC Barcelona kumsajili Kinda wa Kimataifa wa Uingereza, Louie Barry aliyekuwa mbioni kasajiliwa na PSG…”Waliporwa tonge mdomoni”..
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_


Kiungo wa FC Barcelona, Ivan Rakitic anaendelea kupuuza Taarifa juu yake zinazoripoti kuwa atauzwa na Mabingwa hao wa Laliga..
:
Kiungo huyo wa Kimataifa wa Croatia amekuwa akiwindwa na Vilabu vya Manchester United na Inter Milan ambao ndio wanaongoza mbio hizi za kuwania saini yake Kila Dirisha la uhamisho wa Wachezaji!!
#TransferNewsUpdates


Ceballos kutua Arsenal!! ⚪️🔴
- Arsenal imefikia makubaliano rasmi ya Kumsajili Kiungo wa Kimataifa wa Hispania, Dani Ceballos kutoka Real Madrid… Baada ya Viongozi wa Vilabu vyote viwili kukutana Jana na Rasmi wamefikia makubaliano na Kiungo huyo amekubali Maslahi binafsi ya kujiunga na The Gunners!.
.
– Kwa mujibu wa @fabriziorom Ni kwamba Real Madrid haipo tayari kuweka Kipengele Cha mauzo ya moja kwa moja lakini wamekubali mkopo wa msimu mmoja tu; Rais wa Real Madrid Florentino Perez amewataka Arsenal kufanya Mazungumzo ya uhamisho wa moja kwa moja Mwakani Mwezi Juni.. muda wowote Ceballos anatua The Gunners ✍🏻.
#transfers #transfersUpdates #Arsenal #RealMadrid #Ceballos
@Sokawaytz_


Wachezaji wa Timu ya Taifa “Taifa Stars “ wakiwa kwenye mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya utakaochezwa Jumapili Julai 28,2019 Uwanja wa Taifa saa 10 Jioni.