

OFFICIAL | Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Zimbabwe “The Warriors”, Sunday Chidzambwa Ametangaza kuachia Ngazi Mara moja Katika Nafasi yake hiyo ya ukocha Mkuu.
.
– Hakuna Sababu aliyotoa Katika barua yake ya kujiuzulu, Chidzambwa anatajwa kuwa ndiye Kocha Mwenye mafanikio makubwa Katika historia Makocha wa timu hiyo ya taifa… Akiinoa Zimbabwe.
βπ» Kaiwezesha Kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika “AFCON” Mara mbili 2004 na 2019.
βπ» Kaiwezesha kutwaa Ubingwa wa Michuano ya COSAFA Cup Mara Nne..
.
– Sunday Chidzambwa anabwaga Manyanga Siku chache kabla ya Zimbabwe kucheza Mchezo wao wa kuwania Kufuzu kwa CHAN dhidi ya Mauritius; Kocha huyo hii leo kawaongoza Wachezaji kufanya mazoezi kujiandaa na mchezo huo, haijulikani Nani atabeba Mikoba hiyo iliyoachwa wazi… Lakini Wasaidizi wake, Rahman Gumbo na Lloyd Mutasa wanaendelea kuinoa timu!.
#Updates
@Sokawaytz_
















