Everton. Wako tayari kulipa £60m pamoja na Mshambuliaji wao, Cenk Tosun kwa ajili ya kumchukua Wilfired Zaha,

– Everton wameiambia Crystal Palace Wako tayari kulipa £60m pamoja na Mshambuliaji wao, Cenk Tosun kwa ajili ya kumchukua Wilfired Zaha, lakini wana hofu wanaweza kumkosa Zaha na kutimkia Chelsea.
.
– Inaelezwa kuwa Chelsea itamsajili Zaha na kumleta Stamford Bridge Mara Baada ya marufuku yao ya kusajili Wachezaji itamalizika… Crysta Palace imepewa ofa ya kumchukua Michy Batshuayi Ambaye alicheza kwa mkopo kwao msimu uliopita… Imetajwa kuwa sababu ya Palace kusua sua kumpiga Bei licha ya kupokea ofa kutoka Arsenal na Everton.
.
– Chelsea sasa Inatumikia marufuku yao ya kutosajili Wachezaji katika Madirisha Mawili ya uhamisho na hawezi kusaini wachezaji wakati huu wa majira ya joto. Wamekwisha kukata rufaa kwa mahakama ya usuluhishi michezoni, lakini wana hofu bado hawatoweza kupata saini yoyote mpya mwezi huu Januari..
#TransferNewsUpdates #EPLUpdates
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO.

:
– Champions League – Qualification.
FT BATE Borisov 2 – 1 Rosenborg
FT CFR Cluj 1 – 0 Maccabi Tel Aviv
FT Ferencvaros 3 – 1 Valletta
FT Maribor 2 – 1 AIK
FT Celtic 5 – 0 Nomme JK Kalju
FT Dundalk FC 1 – 1 Qarabag FK
FT FK Crvena Zvezda 2 – 0 HJK
.
– International – Champions Cup.
AP Juventus * 1 – 1 Inter
FT Fiorentina 1 – 2 Benfica
.
– International – Club Friendlies.
FT Gil Vicente 1 – 1 Moreirense
FT Maritimo 0 – 2 Luton Town
FT Kitchee 1 – 6 Manchester City
FT Fortuna Düsseldorf 1 – 0 Rayo Vallecano
FT Reading 4 – 2 Peterborough United
FT Lazio 5 – 0 Virtus Entella
FT Norwich City 1 – 3 Brentford
FT Napoli 3 – 3 Cremonese
FT Sampdoria 4 – 0 Pro Patria
FT Brescia 11 – 0 Ciliverghe Mazzano
FT Reims 2 – 0 Metz
FT SD Amorebieta 2 – 5 Osasuna
FT Udinese 2 – 3 Al Hilal
FT Sassuolo 5 – 0 Real Vicenza
FT Chievo 1 – 2 Cagliari
FT Portimonense 1 – 2 Lille
FT Getafe 3 – 0 Rayo Majadahonda
FT Feyenoord 2 – 2 Angers
FT Sparta Rotterdam 3 – 0 FC Den Bosch
FT Toulouse 3 – 2 Al-Arabi
FT Hull City 0 – 2 Amiens
FT Southend United 2 – 1 Millwall
FT Doncaster Rovers 0 – 2 Huddersfield
FT Boavista 0 – 2 Nice
FT Bury 0 – 3 Blackburn Rovers
FT Forest Green Rovers 3 – 4 Bristol City
FT Lincoln City 1 – 2 Stoke City
FT Walsall 1 – 5 Aston Villa
FT Wigan Athletic 0 – 0 Everton
FT Aves 0 – 1 Famalicao
FT SC Braga 0 – 0 Monaco
FT Raja Casablanca 0 – 0 Leganes
FT DC United 1 – 8 Marseille
FT Sporting CP 2 – 2 Liverpool
FT Queretaro FC 0 – 2 Real Betis
.
– Egypt – Premier League.
FT Al Mokawloon Al Arab 1 – 3 Al Ahly
FT El Zamalek 3 – 1 Ismaily SC
.
RATIBA YA SOKA LEO ALHAMISI:
– International – Champions Cup
14:30 Tottenham
Manchester United
.
– International – Club Friendlies.
16:00 Gaziantep FK
Alanyaspor
18:00 Hoffenheim
Verona
18:00 Lecce
Virtus Bolzano
18:30 Fenerbahce
Hertha BSC
20:00 Asteras Tripolis
Konyaspor
20:00 Augsburg
Galatasaray
20:00 SC Braga
Tondela
20:00 FC Emmen
OFI Crete
20:00 Feirense
Aves
20:00 Fuenlabrada
Alaves
20:00 Hoffenheim
Trabzonspor
20:30 Levante
Almeria
21:45 Derby Country
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO.

:
– Champions League – Qualification.
FT BATE Borisov 2 – 1 Rosenborg
FT CFR Cluj 1 – 0 Maccabi Tel Aviv
FT Ferencvaros 3 – 1 Valletta
FT Maribor 2 – 1 AIK
FT Celtic 5 – 0 Nomme JK Kalju
FT Dundalk FC 1 – 1 Qarabag FK
FT FK Crvena Zvezda 2 – 0 HJK
.
– International – Champions Cup.
AP Juventus * 1 – 1 Inter
FT Fiorentina 1 – 2 Benfica
.
– International – Club Friendlies.
FT Gil Vicente 1 – 1 Moreirense
FT Maritimo 0 – 2 Luton Town
FT Kitchee 1 – 6 Manchester City
FT Fortuna Düsseldorf 1 – 0 Rayo Vallecano
FT Reading 4 – 2 Peterborough United
FT Lazio 5 – 0 Virtus Entella
FT Norwich City 1 – 3 Brentford
FT Napoli 3 – 3 Cremonese
FT Sampdoria 4 – 0 Pro Patria
FT Brescia 11 – 0 Ciliverghe Mazzano
FT Reims 2 – 0 Metz
FT SD Amorebieta 2 – 5 Osasuna
FT Udinese 2 – 3 Al Hilal
FT Sassuolo 5 – 0 Real Vicenza
FT Chievo 1 – 2 Cagliari
FT Portimonense 1 – 2 Lille
FT Getafe 3 – 0 Rayo Majadahonda
FT Feyenoord 2 – 2 Angers
FT Sparta Rotterdam 3 – 0 FC Den Bosch
FT Toulouse 3 – 2 Al-Arabi
FT Hull City 0 – 2 Amiens
FT Southend United 2 – 1 Millwall
FT Doncaster Rovers 0 – 2 Huddersfield
FT Boavista 0 – 2 Nice
FT Bury 0 – 3 Blackburn Rovers
FT Forest Green Rovers 3 – 4 Bristol City
FT Lincoln City 1 – 2 Stoke City
FT Walsall 1 – 5 Aston Villa
FT Wigan Athletic 0 – 0 Everton
FT Aves 0 – 1 Famalicao
FT SC Braga 0 – 0 Monaco
FT Raja Casablanca 0 – 0 Leganes
FT DC United 1 – 8 Marseille
FT Sporting CP 2 – 2 Liverpool
FT Queretaro FC 0 – 2 Real Betis
.
– Egypt – Premier League.
FT Al Mokawloon Al Arab 1 – 3 Al Ahly
FT El Zamalek 3 – 1 Ismaily SC
.
RATIBA YA SOKA LEO ALHAMISI:
– International – Champions Cup
14:30 Tottenham
Manchester United
.
– International – Club Friendlies.
16:00 Gaziantep FK
Alanyaspor
18:00 Hoffenheim
Verona
18:00 Lecce
Virtus Bolzano
18:30 Fenerbahce
Hertha BSC
20:00 Asteras Tripolis
Konyaspor
20:00 Augsburg
Galatasaray
20:00 SC Braga
Tondela
20:00 FC Emmen
OFI Crete
20:00 Feirense
Aves
20:00 Fuenlabrada
Alaves
20:00 Hoffenheim
Trabzonspor
20:30 Levante
Almeria
21:45 Derby Country
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_

Chama cha soka cha UgandaFUFA. kutoa msaada kwa timu zote zitakazoiwakilisha nchi hiyo kwenye mashindano ya CAF.

Kamati ya Utendaji ya Chama cha soka cha UgandaFUFA imekubaliana kutoa msaada kwa timu zote zitakazoiwakilisha nchi hiyo kwenye mashindano ya CAF.

KCCA FC na Proline FC zitaiwakilisha Uganda kwenye michuano ya CAF msimu huu. KCCA FC ambao ni mabingwa wa ligi ya Uganda watashiriki CAF Champions League wakati Proline FC wenyewe ni washindi wa kombe la FA watakuwa wawakilishi kwenye CAF Confederation Cup.

Mkurugenzi wa fedha wa FUFA Decolas Kiiza amesema kutakuwa na vitu vya kuzingatia kwa timu ambazo zitanufaika na msaada utakaotolewa.

Miongoni mwa taratibu zilizowekwa na FUFA ni kugharamia usafiri wa ndege kwa watu 25 (wachezaji 18 na viongozi 7) kwenye daraja wa economy kutoka uwanja wa ndege wa Entebbe (Uganda) hadi kwenye nchi ambako utachezwa mchezo husika.

Siku chache baada ya kujiuzulu. Herve Renard ameibuka na kusema kwa sasa hana mpango wa kufundisha Afrika

Siku chache baada ya kujiuzulu kukifundisha kikosi cha Morocco, kocha Herve Renard ameibuka na kusema kwa sasa hana mpango wa kufundisha Afrika kama ambavyo tetesi zimeanza kumuhusisha na timu kadhaa.

Amesema hivi karibuni atatangaza wapi ataelekea.

Kiungo MahClaude Makelele anatajwa kuwa mbioni kutangazwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya taifa ya DR Congo 🇨🇩iri.

– Kiungo Mahiri wa zamani wa Vilabu vya @chelseafc, @realmadrid na @psg, Claude Makelele anatajwa kuwa mbioni kutangazwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya taifa ya DR Congo 🇨🇩 ambayo kwa Sasa ipo chini ya Kocha Mkuu mzawa, Florent Ibenge..
.
– Makelele 46, Ambaye Ni mzaliwa wa Kinshasa 🇨🇩, lakini Katika maisha yake ya Soka la Kimataifa kaitumikia timu ya taifa ya Ufaransa… Hivi Sasa yupo Jijini Kinshasa Imeripotiwa anafanya Mazungumzo ya kuwa kocha Mkuu wa timu hiyo ya taifa ya DRC… Baada ya Kustaafu Soka legendary huyu Amewahi kuwa kocha Msaidizi wa PSG chini ya Paul Clement, Kocha Mkuu wa Bastia ya Ufaransa na Eupen ya Ubelgiji 🇧🇪 na pia Kocha Msaidizi wa Swansea City Chini ya Paul Clement tena na Mkurugenzi Mkuu wa Klabu ya AS Monaco ya Ufaransa..
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_

Beki wa Liverpool, Nathaniel Clyne atakuwa nje ya Uwanja kwa muda wa Kipindi Cha Miezi Sita

OFFICIAL | Beki wa Mabingwa wa Ulaya, Klabu ya Liverpool, Nathaniel Clyne atakuwa nje ya Uwanja kwa muda wa Kipindi Cha Miezi Sita Baada ya kupata Majeraha ya Goti.
.
– Baada ya Vipimo, Imejulikana Beki huyo aliumia Katika mchezo wa Kirafiki Katika Maandalizi ya Msimu Mpya dhidi ya Borussia Dortmund, hivyo amerejea Uingereza kufanyiwa Matibabu zaidi!..
#EPLUpdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started