
.







..Magazeti Michezo Leo

.







..Magazeti Michezo Leo


– Shirikisho la Soka Nchini Misri limetangaza kwamba mashabiki 30 tu wataruhusiwa kuingia uwanjani kutazama mchezo wa mwisho wa ligi ya Misri kati ya Mabingwa, Al Ahly dhidi ya Zamalek.
.
– Al Ahly ambao tayari ndio Mabingwa watavaana na Wapinzani wao hao ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa Cairo Siku ya Jumapili Usiku, Julai 28,2019.. EFA Imethibitisha kuwa Mashabiki 15 kwa Ahly na Mashabiki 15 kwa Zamalek SC..
#sokaplaceupdates


Klabu ya Kariobangi Sharks @ksharksfc ya Kenya imefanikiwa kuinasa saini ya beki mtanzania Peter Amani Kyata kutoka klabu ya Mount Kenya ya nchini humo. All the best @amani_kyata


#DealDone Aliyekuwa golikipa wa Tz Prisons ya Mbeya Aaron Kalambo (@kalambo_jr ) amejiunga na KMC ya jijini Dar Es Salaam


Ligi ya soka la Ufukweni hatua ya Nusu fainali inaendelea leo kwenye fukwe za Coco.


Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ndayiragije Etienne amemteua Mshambuliaji John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani,akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni,Taifa Stars inajindaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya Jumapili Julai 28 Uwanja wa Taifa. @taifastars_


βπ» Orodha ya Ubora wa Vilabu Barani Afrika imetoka Mwezi Huu Julai 2019… Orodha hii Ni kwa Performances Bora za Ushiriki wa Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia Mwaka 2009 mpaka Sasa 2019; yaani Miaka 10:.. Miamba wa Soka Afrika Kutokea Nchini Misri, Al Ahly wanaendelea kuwa vinara bila kuporomoka nafasi yoyote Tangu Orodha ya Mwisho kutolewa..
.
– Ni Vilabu Vinne tu ambavyo nafasi zao zimedumu tangu Orodha iliyopita na hii mpya..
1. Al Ahly
2. Esperance
3. TP Mazembe
4. Etoile Du Sahel
.
– Vilabu Vingine, Nafasi zao zimebadilika kuna walio Poromoka na Kuna Klabu nyingine zimepanda kulingana na Ubora wao wa Kufanya vema Katika Michuano ya Afrika ngazi za Vilabu..
5. Wydad Casablanca (Kutoka No.9).
6. El Zamalek (Kutoka No.7).
7. Al Hilal Omdurman (Kutoka No.5).
8. ASEC Mimosa (Kutoka No.10).
9. AS Vita Club (Kutoka No.8).
10. Mamelodi Sundowns (Kutoka No.20).
.
– Hiyo ndio Kumi Bora, na Sasa tuvigusie Vilabu Maarufu vilivyokosa hapo..
12. Horoya SC (Kutoka No.22).
15. Club Africain (Kutoka No.23).
17. ZESCO United (Kutoka No.18).
18. Raja Casablanca (Kutoka No.17).
19. Al Merreikh (Kutoka No.13).
20. Orlando Pirates (Kutoka No.39).
21. Enyimba SC (Kutoka No.14).
22. 1Β° Agosto (Kutoka No.24).
25. GOR Mahia (Kutoka No.43).
26. Simba SC (Kutoka No.86).
31. Nkana FC (Kutoka No.99).
32. USM Alger (Kutoka No.21).
39. Young Africans SC (Kutoka No.26).
42. KCCA FC (Imesalia Nafasi yake).
43. APR FC (Kutoka No.47).
#CAFCCUpdates #CAFCLUpdates #CAFCC #CAFCL
@Sokawaytz_


– FC Barcelona na Borussia Dortmund wanazungumza kuhusu uhamisho wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil π§π·, Malcom, Mazungumzo hayo ambayo klabu ya Bundesliga italazimika kulipa β¬42m (Β£38m / $47m).
.
– Malcom ana kifungu cha β¬180m (Β£160m / $200m) kuvunja mkataba wake wa sasa na Mabingwa hao wa La Liga, lakini BarΓ§a Imeripotiwa kuwa ipo Tayari kuongeza β¬1m Katika dau walilo mnunua Nyota huyo β¬41m kutoka Klabu ya Ligue 1 Nchini Ufaransa, Bordeaux..
.
– Wakati huo huo AS Roma iliyoporwa tonge mdomoni kwa Mchezaji huyo bado wanamtaka tena, Lazio nao na Arsenal ambao walipowasilisha ombi waliambiwa walipe β¬71m ππ!!.
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_


π¦ Usajili wa Wageni msimu ujao Katika @premierleague, Klabu ya Aston Villa:
π Wesley: Β£22m
π Tyrone Mings: Β£20m
π Matt Targett: Β£17m
π Ezri Konsa: Β£12m
π Trezeguet: Β£10m
π Anwar El Ghazi: Β£8m
π Bjorn Engels: Β£7m
π Jota: Β£4m
π Kortney Hause: Β£3m
π° Jumla: Β£103m
:
βοΈππ
β³ Douglas Luiz: Β£15m
β³ Marvellous Nakamba: Β£11m
π Business. ππ
#EPLTransfersUpdates


MATOKEO YA SOKA JANA ALHAMISI NA RATIBA YA HII LEO:
:
– International – Champions Cup.
FT Tottenham Hotspur 1 – 2 Manchester United
.
– International – Club Friendlies.
FT Santa Clara 2 – 0 Sporting Ideal
FT Gazisehir Gaziantep FK 0 – 4 Alanyaspor
FT Altinordu 2 – 2 Ankaragucu
FT Hoffenheim 0 – 0 Verona
FT Lecce 6 – 0 Virtus Bolzano
FT Goztepe 1 – 0 Menemen Belediyespor
FT Fenerbahce 1 – 2 Hertha BSC
FT Asteras Tripolis 0 – 0 Konyaspor
FT Augsburg 4 – 1 Galatasaray
FT SC Braga 2 – 2 Tondela
FT Feirense 1 – 0 Aves
FT Fuenlabrada 1 – 0 Deportivo Alaves
FT Levante 2 – 0 Almeria
FT Hoffenheim 3 – 3 Trabzonspor
FT FC Emmen 3 – 0 OFI Crete
FT Derby County 0 – 2 Girona
.
.
RATIBA YA HII LEO IJUMAA:
– International – Champions Cup.
02:30 Real Madrid
Atletico Madrid
.
– Belgium – First Division A.
21:30 Genk ? – ? Kortrijk
.
– International – Club Friendlies
15:00 Freiburg
Kayserispor
16:00 Antalyaspor
Fatih Karagumruk
16:00 Kasimpasa
Puskas FC Academy
17:00 Denizlispor
Eskisehirspor
17:00 Freiburg
Kayserispor
19:00 Augsburg
Villarreal
19:00 1. FC KΓΆln
Bologna
19:00 RB Leipzig
Rennes
20:00 NEC Nijmegen
RKC Waalwijk
20:00 Nantes
Brest
20:30 ADO Den Haag
OH Leuven
21:45 Fleetwood Town
Preston North End
21:45 Nottingham Forest
Real Sociedad
22:00 West Bromwich Albion
AFC Bournemouth
.
– African Nations Championship – CHAN Qualification.
18:00 Angola
Eswatini
18:00 Benin
Togo
18:00 Botswana
Zambia
18:00 Burundi
South Sudan
18:00 Cape Verde
Mauritania
18:00 Comoros
Namibia
18:00 Djibouti
Ethiopia
18:00 Guinea-Bissau
Mali
18:00 Liberia
Senegal
18:00 Madagascar
Mozambique
18:00 Mauritius
Zimbabwe
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_