Mtanzania kuwavaa zesco.united January 5

Baada ya kupata suluhu ya bila kufungana dhidi ya Green Eagles kwenye mchezo wao uliopita wa ligi kuu ya Zambia kikosi cha Nakambala Leopards anachochezea mtanzania Elias Magoli tarehe 5 ya mwezi huu kitakuwa ugenini kwenye muendelezo wa ligi kuu ya Zambia dhidi ya Zesco United

Mchezo huu utapigwa kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa siku ya Jumatano

Nakambala mpaka sasa wako nafasi ya 16 baada ya kucheza michezo 19 na kufanikiwa kukusanya alama 15

Wenyeji wao Zesco United ambao wako chini ya kocha George Lwandamina wao wako nafasi ya 5 baada ya kucheza michezo 17 mpaka sasa na kufanikiwa kukusanya alama 34

#dailysporttz

Kombe la shirikisho barani Afrika timu zilizofuzu katika hatua ya Robo Fainali

Pyramids FC 🇪🇬
Al Masry SC 🇪🇬
Horoya AC 🇬🇳
Al-Nasr SC 🇱🇾
RS Berkane 🇲🇦
Zanaco FC 🇿🇲
Hassania Agadir 🇲🇦
Enyimba Int’l FC 🇳🇬
:
Zanako Kutoka Zambia majirani zetu hawa wamefanikiwa kutinga katika hatua ya Robo Fainali hongera kwao 👏👏 @zanaco_footballclub#TotalCAFCC
#SokaplaceUPDATES

Kamata Ratiba ya Soka Leo

:
👉Tanzania FDL
16:00 GreenWoriors vs Sahere All Star
:
👉Italy – Serie A
22:45 Sampdoria vs Napoli
:
👉Netherlands – Eerste Divisie
22:00 Jong Ajax vs Go Ahead Eagles
22:00 Jong FC Utrecht vs FC Dordrecht
:
👉International – Club Friendlies
14:00 FC Tambov vs Slovacko
17:00 FC Orenburg vs Esbjerg fB
17:00 Oerebro vs Viktoria Plzen
17:00 Rubin Kazan vs OB
:
👉Algeria – Ligue 1
18:00 CR Belouizdad vs CA Bordj Bou Arreridj
:
👉Egypt – Premier League
15:30 Aswan FC vs Ismaily SC
18:00 ENPPI vs Al Mokawloon Al Arab
18:00 El Entag El Harby vs Al-Ittihad Al-Sakandary
20:30 Smouha SC vs Misr El-Maqasa
:
👉International – Club Friendlies
14:00 FC Tambov vs Slovacko
17:00 FC Orenburg vs Esbjerg fB
17:00 Oerebro vs Viktoria Plzen
17:00 Rubin Kazan vs OB
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kamata Matokeo Ya Soka Jana Barani Afrika

:
👉VodacomPremierLeague
FT Yanga SC 1-0 Mtibwa Sugar
FT Mbeya City 1-1 Azam FC
FT JKT Tanzania 0-1 Polisi Tanzania
FT Tanzania Prisons 1-0 KMC
:
👉United Arab Emirates – UAE League
FT Fujairah SC 0 – 0 Shabab Al-Ahli Dubai FC
FT Sharjah Cultural Club 3 – 1 AL Ittihad Kalba
FT Al-Jazira 0 – 1 Al-Wahda
FT Hatta 1 – 1 Al Khaleej Khor Fakkan
:
👉Africa – Confederations Cup
FT FC Nouadhibou 0 – 1 Pyramids FC
FT Enugu Rangers 1 – 1 Al Masry
FT Al-Nasr 0 – 2 Horoya AC
FT Bidvest Wits 0 – 2 Djoliba AC
FT Motema Pembe 1 – 0 Esae FC
FT RSB Berkane 1 – 1 Zanaco
FT Hassania Agadir 0 – 3 Paradou AC
FT San Pedro 2 – 5 Enyimba
:
👉Kenya – Premier League
FT Sofapaka 1 – 1 Mathare United
FT Gor Mahia 3 – 0 Nzoia Sugar FC
FT Kakamega Homeboyz 1 – 1 Wazito FC
FT Kariobangi Sharks 8 – 1 Kisumu All Stars
FT Ulinzi Stars 0 – 1 AFC Leopards
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Raja Beni Mellal 2 – 2 Renaissance Club Zemamra
:
👉South Africa – Premier League
FT Amazulu FC 1 – 0 Polokwane City
FT Black Leopards 2 – 1 Stellenbosch FC
:
👉Ghana – Premier League
FT Accra Great Olympics 0 – 1 Sogakope Wafa
FT Aduana Stars 1 – 0 Medeama SC
FT Asante Kotoko 1 – 1 Liberty Professionals
FT Ashanti Gold FC 1 – 0 Ebusua Dwarfs
FT Bechem United 2 – 1 Berekum Chelsea FC
FT Dreams FC 0 – 1 Hearts of Oak
:
👉Nigeria – NPFL
FT Heartland Owerri 1 – 0 Sunshine Stars
FT Ifeanyi Ubah United 0 – 0 Akwa United
FT Kano Pillars 2 – 0 Adamawa United
FT Kwara United 1 – 0 MFM FC
FT Nasarawa United 3 – 1 Abia Warriors
FT Plateau United 1 – 0 Rivers United FC
FT Wikki Tourist 1 – 1 Dakkada FC
:
👉Tanzania FDL
FT Mlale FC 1-2 Ihefu SC
FT Transit Camp 4-0 Mawenzi Market
FT CosmoPolitan 0-0 Njombe Mji
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kamata Matokeo Ya Soka Jana barani Ulaya

:
👉England – Premier League
FT Burnley 0 – 0 Arsenal
FT Tottenham Hotspur 2 – 0 Manchester City
:
👉Spain – LaLiga Santander
FT Leganes 2 – 1 Real Sociedad
FT Eibar 1 – 1 Real Betis
FT Athletic Bilbao 0 – 2 Getafe
FT Villarreal 3 – 1 Osasuna
FT Sevilla 1 – 1 Deportivo Alaves
FT Barcelona 2 – 1 Levante
:
👉Spain – LaLiga SmartBank
FT Fuenlabrada CF 0 – 1 Girona
FT Cadiz 1 – 1 Real Zaragoza
FT CD Mirandes 0 – 0 Rayo Vallecano
FT Numancia 1 – 1 Almeria
FT Racing Santander 1 – 1 Alcorcon
FT Real Oviedo 3 – 1 Albacete
:
👉Italy – Serie A
FT Juventus 3 – 0 Fiorentina
FT Milan 1 – 1 Verona
FT Atalanta 2 – 2 Genoa
FT Lazio 5 – 1 SPAL
FT Lecce 4 – 0 Torino
FT Udinese 0 – 2 Inter
:
👉Germany – Bundesliga
FT 1. FC Köln 4 – 0 Freiburg
FT SC Paderborn 07 2 – 4 Wolfsburg
:
👉France – Ligue 1
FT Nice 2 – 1 Lyon
FT Metz 3 – 1 Saint-Etienne
FT Bordeaux 0 – 0 Marseille
:
👉Netherlands – Eredivisie
FT Willem II 1 – 0 Heracles
FT Fortuna Sittard 2 – 1 SC Heerenveen
FT VVV-Venlo 1 – 1 FC Utrecht
FT Ajax Amsterdam 1 – 0 PSV Eindhoven
:
👉Belgium – First Division A
FT Club Brugge 1 – 0 Royal Antwerp
FT Anderlecht 1 – 0 Royal Excel Mouscron
FT Zulte Waregem 5 – 0 Waasland-Beveren
:
👉International – Club Friendlies
FT Krylya Sovetov Samara 2 – 2 Chayka
FT Falkenbergs FF 4 – 0 FC Linkoeping City
FT Kalmar FF 5 – 0 Oesters IF
FT SoenderjyskE 0 – 3 TSC Backa Topola
FT AFC Eskilstuna 4 – 1 Akropolis IF
FT FK Akhmat 2 – 1 Mura
FT Krylya Sovetov Samara 1 – 1 Dinamo Brest
FT Sogndal 1 – 0 Silkeborg
FT Ararat Armenia 1 – 1 Ural
FT Malmoe FF 1 – 3 FC Krasnodar

Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Mleta mabadiliko yanga ujio wake wakaribia

#repost from @yangasc Nguli wa mfumo wa soka la Kisasa yaani Modern Football fundi Carraca Antonio Domingoz Pinto ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu (General Manager) wa Klabu Benfica ya Ureno kwa muongo mmoja (miaka 10) atua rasmi Dar es salaam ili kuanza kazi ya kushauri kueleka Mabadiliko ya kimfumo ya uendeshaji wa Klabu.. Shukran kwa Brand Chapa Gsm kwa kulisimamia hili.

#letsmakeyangagreatagain
#Daimambelenyumamwiko

Design a site like this with WordPress.com
Get started