Rais wa Klabu ya Zamalek, Mortada Mansour amemwachisha kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Khaled Galal

– Rais wa Klabu ya Zamalek, Mortada Mansour amemwachisha kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Khaled Galal mda mchache Baada ya kupokea kipigo Katika Mechi ya Derby ya Cairo Jana Jumapili… Pia ametangazwa Klabu inayomtaka Nahodha wa timu hiyo, Mohamed Ibrahim waende mezani kuzungumza… Sababu kaonesha kiwango kibovu 🙄😄🙌..
.
– Al Ahly iliyokwisha twaa Ubingwa iliikaribisha Zamalek huko Borg El-Arab katika Mechi ya mwisho kabisa ya Ligi Kuu Nchini Misri, Ahly walishinda Mechi yao kwa Goli Moja Pekee la Dakika ya 58 kutoka kwa shujaa wa Al Ahly, Ali Maaloul.
.
– Dakika chache baada ya mchezo, Mortada Mansour alitangaza kutimuliwa kwa Khaled Galal na wafanyikazi wake wote wa Benchi la Ufundi…Galal alirudi kwa Mara ya Pili kuchukua jukumu la kuinoa Zamalek baada ya kuondoka kwa Aliyekuwa Kocha Mkuu Raia wa Uswizi, Christian Gross mnamo Mei 31…Tangu wakati huo, Galal aliifundisha Zamalek katika michezo minne ya ligi, na timu hiyo ikikusanya pointi tano tu kati ya 12 baada ya kutoa sare na Haras El-Hodood na El-Gouna, ushindi dhidi ya Ismaily, na kupoteza game ya Cairo derby dhidi ya Al Ahly ambayo ilikuwa ndio ya mwisho kwake ndani ya Zamalek..
#TransferNews #Alahly
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO JUMATATU:. :

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO JUMATATU:.
:
– Belgium – First Division A.
FT Anderlecht 1 – 2 Oostende
FT Sporting Charleroi 1 – 1 Gent
FT Eupen 1 – 4 Royal Antwerp
.
– International – Champions Cup
FT Milan 0 – 1 Benfica
.
– International – Club Friendlies.
FT Reading 3 – 4 Chelsea
FT Arsenal 1 – 2 Lyon
FT Bordeaux 1 – 3 Galatasaray
FT Bayer Leverkusen 1 – 1 Vitesse
FT FC Wels 0 – 7 Eintracht Frankfurt
FT Liverpool 0 – 3 Napoli
FT Werder Bremen 4 – 0 Eibar
FT Boavista 0 – 0 Tondela
FT Feyenoord 1 – 3 Southampton
FT Bayer Leverkusen 3 – 4 Heracles
FT FC Twente 1 – 0 Konyaspor
FT Borussia Mönchengladbach 0 – 2 Athletic Bilbao
FT Middlesbrough 1 – 1 Saint-Etienne
FT Rangers 1 – 0 Derby County
FT Sheffield Wednesday 2 – 2 RCD Espanyol
FT Sassuolo 10 – 1 Ciliverghe Mazzano
FT 1. FC Köln 1 – 3 Villarreal
FT Mallorca 1 – 1 Poblense
FT Sporting CP 1 – 2 Valencia
FT Puebla 2 – 0 Real Betis
.
– African Nations Championship – CHAN Qualification.
FT Madagascar 1 – 0 Mozambique
FT Lesotho 3 – 2 South Africa
FT Eswatini 1 – 1 Angola
FT Tanzania 0 – 0 Kenya
FT Benin 0 – 0 Togo
AAW Central African Republic 0 – 0 Sao Tome and Principe
FT Chad 3 – 3 Equatorial Guinea
FT Liberia 1 – 0 Senegal
.
– Egypt – Premier League.
FT Al Ahly 1 – 0 El Zamalek
:
RATIBA YA HII LEO JUMATATU.
– International – Club Friendlies.
13:00 Denizlispor
Umraniyespor
15:00 Ajax
Sivasspor
18:00 Genclerbirligi
Sumqayit
19:00 Besiktas
Apollon Larissa
19:00 Verona
Trabzonspor
19:00 Schalke 04
Bologna
20:30 Granada
Almeria
21:30 Lincoln City
Nottingham Forest
.
– African Nations Championship – CHAN Qualification.
13:00 Mauritius
Zimbabwe
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started