

MIDOMO YETU INAHARIBU SOKA LETU.
Soka Letu Linaharibiwa na Midomo yetu Yaani Sare jana Kuna watu wanasema Eti kikosi kilizidi Mno wachezaji wa simba asee haya Mambo yanatuharibia Soka Letu ndio maana Makocha wetu wazawa wanaogopa hata kuomba kazi kwa ajili ya Midomo yetu iliyojaa usimba na Yanga.
Jana Afrika kusini kapigwa tatu na Lesotho ila tulipofungwa sisi kila Mtu alimrushia Maneno amunike kutokana na Mchezo ule.
Tunahitaji kuwa na Subri katika kupata mafaniko ila sio kuzidisha Midomo inayowavunja moyo makocha na wachezaji wetu.
Tukianza kusema sana na kulaumu sana hatutafika tutabaki hapa hapa na Mpira wetu wa Kivyetu vyetu.
Jana taratibu tumeona kitu katika timu yetu ya taifa tujipe mda tutafika ila tukianza kulaumu na kusema vibaya hatutafika.
Kilala kheri @taifastars_ @tanfootball @privaldinho @officialchristz