

Zana Coulibaly akiitumikia timu yake mpya @asvitaofficiel akitokea @simbasctanzania


Zana Coulibaly akiitumikia timu yake mpya @asvitaofficiel akitokea @simbasctanzania


Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars, itakutana na timu ya Taifa ya Burundi katika michezo ya awali yakufuzu kushiriki fainal za Kombe la Dunia mwaka 2022 zitakazo fanyika huko Qatar.


Mshambuliaji wa Manchester Utd Romelu Lukaku hajajumuishwa katika kikosi cha timu hiyo kilichoondoka leo kwenda nchini Norway kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Kristiansund


Klabu ya Leicester City imekamilisha usajili wa beki wa kati Mitchell Clark (kushoto) kama mchezaji huru baada ya kuachana na Astoni Villa. .
.
Clark (20) amesaini mkataba wa miaka mitatu.


Klabu ya Everton imeweka mezani ofa ya £40m kwa ajili ya kiungo machachari Tiemoue Bakayoko kutoka kwa vigogo wa soka Chelsea.
:
Wakuu wa Chelsea, vipi Bakayoko asalie aua akatafute maisha Everton huko?
.



.OFFICIAL | @Patrice.Evra Ametangaza Rasmi Kustaafu Soka!!..
🏟 Games: 733
⚽ Goals: 17
🇫🇷 Caps: 81
🏴🏆 5x PL
🏴🏆 5x Charity Shield
🏴🏆 3x League Cup
🌍🏆 1x UCL
🌎🏆 1x CWC
🇮🇹🏆 2x Serie A
🇮🇹🏆 2x Coppa Italia
🇮🇹🏆 1x Supercoppa
🇫🇷🏆 1x Coupe de la Ligue

#DealDone Mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Mohamed Rashid (kushoto) ametua JKT Tanzania kwa mkopo akitokea KMC FC ya Dar Es Salaam. .
.
Rashid tayari amesafiri kuelekea Zanzibar ambako ndipo kilipo kikosi cha JKT kinachojiandaa na msimu mpya wa TPL.


Orodha ya mataifa ambayo yanatoa wachezaji wengi nje ya taifa lao kwa mujibu wa CIES Football, kufikia mwaka 2019
:
1. 🇧🇷 Brazil – 1,330
2. 🇫🇷 France – 867
3. 🇦🇷 Argentina – 820
4. 🇷🇸 Serbia – 458
5. 🏴 England – 431
6. 🇪🇸 Spain – 427
7. 🇩🇪 Germany – 394
8. 🇨🇴 Colombia – 382
9. 🇭🇷 Croatia – 374
10.🇳🇬 Nigeria – 361


#Repost @yangasc.
RATIBA RASMI YA KUSANYA KIJIJI
:
1. Jumatatu 29/07/2019
Viwanja vya Ikulu Bagamoyo Mjini Mkabala na Nyumbani kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Msafara utapokelewa na Wanachama wa Bagamoyo eneo la Mapinga saa tatu asubuhi kwa maandamano kuelekea Bagamoyo.
:
2. Jumanne 30/07/2019
Viwanja vya Sabasaba (Kiwanja cha Ndege) Morogoro Mjini
Mapokezi yatakuwa saa tatu asubuhi kupitia njia ya Old Dar es Salaam Road hadi njia panda ya Bigwa kuelekea Kilakala na kuingia njia ya Kichangani hadi Mji Mpya kuelekea Nunge kupitia daraja la Mwere hadi round about ya Posta na Round about ya Stand ya daladala. Msafara utaelekea Msamvu kuelekea Chamwino hadi Mafiga na kutokea Sua Road hadi round about ya Sua na kumalizia kukusanya Kijiji katika katika Kiwanja cha ndege – Sabasaba.
:
3. Jumatano
31/07/2019
Chalinze Mjini Nyuma ya Polisi.
Mapokezi yataanzia Mdaula saa tatu asubuhi kwa msafara hadi Chalinze viwanja vilivyopo nyuma ya Kituo cha Polisi Chalinze.
:
4. Alhamis 01/08/2019
Mlandizi mjini
Msafara utapokelewa Ruvu Darajani hadi viwanja vya wazi Mlandizi.
:
5. Ijumaa
02/08/2019
Kibaha Maili Moja
Msafara utapokelewa kwa Kibaha kwa Mathias kupitia Picha ya Ndege hadi Stand ya Mabasi Kibaha Maili moja (Kibaha Container)
:
6. Jumamosi
03/08/2019
Kigamboni Uwanja wa Swala Tuamoyo.
:
Msafara utapoelewa Darajani Kurasini kuelekea Viwanja vya Swala Tuamoyo
:
UTARATIBU WA KUIPOKEA TIMU KWA MAANDAMANO IKIWA INATOKEA MOROGORO UMEANDALIWA KWA KUSINDINDIKIZWA NA WANAYANGA WA MOROGORO NA KUPOKELEWA KWA WATU WA MKOA WA PWANI KABLA YA TIMU KUKABIDHIWA KWA WANADARES SALAAM KWA MAANDAMANO AMBAYO YAMEANDALIWA KIUNADHIFU NA KISASA KABISA
:
DEO MUTTA
KATIBU WA HAMASA
–

– Kocha mkuu wa Klabu ya Lazio, Simone Inzaghi amesema kuwa anamtaka Kiungo, Sergej Milinkovic-Savic abaki ndani ya kikosi chake, lakini muda mwingine lazima aangalie ofa zinazoletwa.
.
– Kiungo huyo wa kimataifa wa Serbia amehusishwa na kuhamia Old Traord Katika Klabu ya Manchester United tangu majira ya joto yaliyopita, na ripoti zinaonyesha kwamba makubaliano kati ya United na Lazio yamekaribia kukamilika.
.
– Inzaghi angependa kuona Mchezaji huyo huyo mwenye umri wa miaka 24 abakie katika viunga hivyo vya Stadio Olimpico, lakini kwa ada ya pauni milioni 90 ($111m), Alisema kuwa anajua kwamba klabu yake inaweza kuchukua pesa hizo!..
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_ mkuu wa Klabu ya Lazio, Simone Inzaghi amesema kuwa anamtaka Kiungo, Sergej Milinkovic-Savic abaki ndani ya kikosi chake, lakini muda mwingine lazima aangalie ofa zinazoletwa.
.
– Kiungo huyo wa kimataifa wa Serbia amehusishwa na kuhamia Old Traord Katika Klabu ya Manchester United tangu majira ya joto yaliyopita, na ripoti zinaonyesha kwamba makubaliano kati ya United na Lazio yamekaribia kukamilika.
.
– Inzaghi angependa kuona Mchezaji huyo huyo mwenye umri wa miaka 24 abakie katika viunga hivyo vya Stadio Olimpico, lakini kwa ada ya pauni milioni 90 ($111m), Alisema kuwa anajua kwamba klabu yake inaweza kuchukua pesa hizo!..
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_