Mshambuliaji wa Juventus Moise Kean amekubali kujiunga na klabu ya Everton

Mshambuliaji wa Juventus Moise Kean amekubali kujiunga na klabu ya Everton ya Uingereza huku akisubiria mazungumzo kati ya klabu yake ya Juventus na Everton endapo watafikia makubaliano. .
.
Kwa mujibu wa Daily Mail Juventus wapo tayari kumuachia kinda huyo kwa dau la €40m

Mshambuliaji wa Juventus Moise Kean amekubali kujiunga na klabu ya Everton

Mshambuliaji wa Juventus Moise Kean amekubali kujiunga na klabu ya Everton ya Uingereza huku akisubiria mazungumzo kati ya klabu yake ya Juventus na Everton endapo watafikia makubaliano. .
.
Kwa mujibu wa Daily Mail Juventus wapo tayari kumuachia kinda huyo kwa dau la €40m

Cristiano Ronaldo amesema. Juventus watashinda Ligi ya Mabingwa Ulaya

– Mshambuliaji wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo amesema kuwa ana uhakika Miamba hao wa Serie A, Juventus watashinda Ligi ya Mabingwa Ulaya, akisisitiza kuwa Ubingwa “unakuja”.
.
– Baada ya mataji nane mfululizo ya Serie A, Juve bado wanaangaika kutafuta mafanikio ya Ulaya kufuatia medali tano za washindi wa pili tangu ushindi wao wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa mnamo mwaka 1996..
.
– Hivi Karibuni, Juventus wamekuwa wakipigwa fainali tu, dhidi ya Barcelona mnamo 2015 na pia dhidi ya Madrid mnamo 2017, Madrid ambayo ilikuwa na Ronaldo ambapo alifunga magoli mawili kwenye fainali..
#championsleague #Juventus #cristianoronaldo
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATATU NA RATIBA YA HII LEO:

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATATU NA RATIBA YA HII LEO:
:
– International – Club Friendlies.
FT Ajax 1 – 1 Sivasspor
FT Denizlispor 2 – 2 Umraniyespor
FT Verona 1 – 1 Trabzonspor
FT Schalke 04 2 – 3 Bologna
FT Besiktas 0 – 0 Apollon Larissa
FT Genoa 5 – 1 ST Lo Manche
FT Granada 1 – 0 Almeria
.
– African Nations Championship – CHAN Qualification.
FT Mauritius 0 – 4 Zimbabwe
.
RATIBA YA HII LEO JUMANNE.
– Champions League – Qualification.
20:00 APOEL Nicosia
Sutjeska
20:00 Maccabi Tel Aviv
CFR Cluj
20:00 Nomme JK Kalju
Celtic
21:00 Basel
PSV Eindhoven
21:00 Dinamo Zagreb
Saburtalo
21:00 Valletta
Ferencvaros
21:30 Olympiacos
Viktoria Plzen
.
– Europa League – Qualification.
18:45 Lincoln Red Imps FC
Ararat Armenia
18:45 Suduva
Tre Penne Galazzano
18:55 F91 Dudelange
KF Shkendija
19:00 Feronikeli
Slovan Bratislava
.
– International – Audi Cup 🏆.
19:00 Real Madrid
Tottenham Hotspur
21:30 FC Bayern MĂĽnchen
Fenerbahce
.
– International – Club Friendlies.
15:00 Paris Saint-Germain
Sydney FC
20:00 Kristiansund BK
Manchester United
20:00 Micheldorf
Parma
20:00 Nantes
Sporting Gijon
20:30 St. Gallen
Borussia Dortmund
21:00 Genoa
Kayserispor
21:00 Norwich City
Atalanta
21:45 AFC Wimbledon
Crystal Palace
21:45 Burnley
Nice
21:45 Hibernian
Newcastle United
22:00 Pacos de Ferreira
Al Nassr FC
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started