

Mchezaji PAPY Kabamba Tishimbi ametangazwa kuwa Nahodha mpya wa kikosi cha klabu ya Yanga SC.


Mchezaji PAPY Kabamba Tishimbi ametangazwa kuwa Nahodha mpya wa kikosi cha klabu ya Yanga SC.

#Repost @tunuhassan57
Polisi wanaochunguza madai ya ubakaji dhidi ya mchezaji wa Brazil Neymar wamesema wametupilia mbali kesi hiyo.
Ofisi ya mwanasheria wa SΓ£o Paulo
imesema kesi hiyo imetupiliwa mbali kutokana na kukosekana ushahidi, lakini suala hilo litapelekwa kwa waendesha mashtaka kwa ajili ya uamuzi wa mwisho.
Uchunguzi ulianza baada ya mwanamitindo Najila Trindade alidai kuwa mchezaji huyo alimshambulia katika hoteli jijini Paris, Ufaransa, mwezi Mei.
Neymar amekana shutuma dhidi yake akidai kuwa amekuwa akifanyiwa hila.
Msemaji wa Neymar ameliambia shirika la habari la Ufaransa, AFP kuwa hakuwa tayari kuongelea uamuzi wa polisi.
#bbc

DONE DEAL: Mabingwa wa Ufaransa, Klabu ya PSG Imethibitisha Kumsajili Kiungo Fundi wa Kimataifa wa Senegal πΈπ³, Idrissa Gana Gueye akitoka Klabu ya Everton ya England… Gueye Amesaini Mkataba wa Miaka Minne kuwatumikia Miamba hao wa Ufaransa ambao wamelipa Β£30m Kama dau la uhamisho kutoka Everton..
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_


βπ» Siku Kama ya leo, Julai 30, 1966. Timu ya taifa ya England ilifanikiwa kutwaa Ubingwa wa Kwanza na wa Pekee wa Kombe la Dunia Baada ya Kushinda game ya Fainali dhidi ya Ujerumani iliyokuwa Chini ya kocha Mkuu, Helmut SchΓΆn aliyefariki Dunia Mwaka 1996 na Uingereza ilikuwa Chini ya kocha Mkuu, Sir Alfred Ernest Ramsey aliyefariki Dunia Miaka 19 iliyopita!…
.
βπ» Waingereza walitumia vema ardhi yao ya nyumbani, ndani ya Uwanja wa Wembley Nchini England ilifanyika Michuano hiyo ya Nane tangu kuanza kuchezwa kwa Mara ya Kwanza kabisa!…Jumla ya Watazamaji 96,924 waliingia Uwanja kutazama fainali hii.
.
βπ» Mpaka kufika Fainali; England walikuwa vinara wa Kundi Namba Moja na Ujerumani walikuwa vinara wa Kundi Namba Mbili; Timu zote mbili zilikuwa na nguvu wakati wote wa mashindano. Kila mmoja alishinda game mbili na sare moja Katika mechi zao tatu kwenye hatua ya Makundi. England haikuafungwa bao hadi mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Ureno.
.
βπ» Matokeo ya England:
0-0 vs Uruguay
2-0 vs Mexico
2-0 vs Ufaransa
ππ»ππ»Hatua ya Mtoano!.
1-0 vs Argentina (Robo fainali).
2-1 vs Ureno (Nusu fainali).
.
βπ» Matokeo ya Ujerumani:
5-0 vs Uswisi.
0-0 vs Argentina.
2-1 vs Hispania.
ππ»ππ»Hatua ya Mtoano!.
1-0 vs Uruguay
2-1 vs Siviet Union
.
βπ» Fainali!
Extra-time FULL-TIME: England 4-2 Ujerumani.
Geoff Hurst β½β½β½ | Helmut Haller β½
Martin Peters β½ | Wolfgang Weber β½
#tbtβ€οΈ #tbtfootball
@Sokawaytz_


Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo amesema anajua kuwa watashinda UEFA CHAMPIONS LEAGUE japo hajui ni msimu ujao au unaofuata tena.


Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo amesema anajua kuwa watashinda UEFA CHAMPIONS LEAGUE japo hajui ni msimu ujao au unaofuata tena.


Rasmi klabu ya PSG Imekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Senegal Idrissa Gana Gueye kutoka klabu ya Everton kwa dau la Pauni Milioni 28
.
.
Gueye amesaini mkataba wa miaka minne.

James Rodriguez anatarajia kubakia Real Madrid baada ya muda wa mkopo wake kumaliza Fc Bayern Munich

Rasmi aliyekuwa Kiungo wa AS ROMA De Rossi ametambulishwa katika klabu yake mpya ya Boca Juniors.


#DealDone Aliyekuwa golikipa wa Ndanda Fc Diey Hassan Makonga amejiunga na klabu ya Coastal Union ya Tanga kwa mkataba wa mwaka mmoja.