Kumewaka. .Gareth Bale vs , Zinedine Zidane

— Uhusiano Kati ya Mshambuliaji wa Kimataifa wa Wales na Klabu ya Real Madrid, Gareth Bale na Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane umevunjika.. wameripoti @skysports
:
– Real Madrid walikuwa na tumaini kwamba Uhusiano kati ya mshambuliaji huyo na meneja wake unaweza kurekebishwa wakati wa Ziara zao za Maandalizi ya msimu mpya huko Marekani na Bale anaweza kubakia klabuni, lakini haikuwa hivyo zaidi ya Vita za Chini kwa Chini Kuendelea!.
.
– Hii leo Bale kafanya Mazoezi binafsi Wakati Wachezaji wenzake wapo Nchini Ujerumani kucheza Mechi yao ya Audi Cup dhidi ya Tottenham!.
#LaligaUpdates
@Sokawaytz_

BREAKING:. – Klabu ya Chelsea imemfungia kifungo Cha maisha Shabiki wao Mmoja na kuwasimamisha wengine watano

BREAKING:. – Klabu ya Chelsea imemfungia kifungo Cha maisha Shabiki wao Mmoja na kuwasimamisha wengine watano kuingia ndani ya Uwanja wao wa nyumbani “Stamford Bridge”… Hii imekuja Baada ya kukutwa na hatia ya kutumia “lugha ya matusi” katika mechi yao dhidi ya Manchester City huko huko Stamford Bridge mnamo Desemba 8, 2018.
.
– Mashabiki hao watano wa The Blues wamesimamishwa kwa muda kwa sababu ya kutumia “lugha ya matusi na vitisho na tabia ya fujo”… Polisi walichunguza malalamiko hao yaliyotolewa na Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling kuwa Alionyeshwa Kubaguliwa kwa kwa rangi wakati wa mechi lakini Waendesha Mashtaka Walisema kulikuwa hakuna ushahidi wa kutosha kwa shtaka Hilo la jinai zaidi ya Mashabiki hao kutumia lugha ya Matusi!!.
#Updates #chelseafc
@Sokawaytz_

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limechagua waamuzi kutoka nchini Sudan kuchezesha nchezo wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Azam FC na Fasil Kenema ya Ethiopia.

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limechagua waamuzi kutoka nchini Sudan kuchezesha nchezo wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Azam FC na Fasil Kenema ya Ethiopia.

Mchezo huo wa kwanza, Azam FC ikianzia ugenini utafanyika Uwanja wa Taifa wa Bahir Dar, Agosti 11 mwaka huu mjini Bahir Dar, Ethiopia saa 10.00 jioni.

Mwamuzi wa kati wa mchezo huo, anatarajia kuwa Elsiddig Mohamed Eltreefe, mwamuzi msaidizi namba moja akiwa, Elmoiz Ali Mohamed Ahmed na namba mbili akisimama Haitham Elnour Ahmed huku Sabri Mohamed Fadul akiwa mwamuzi wa akiba.

Aidha Kamishna atayesimamia mchezo huo anatarajia kutokea kwenye visiwa vya Reunion, ambaye ni Ismael Locate.
#TotalCAFCC #CAFCC #AzamFC
@Sokawaytz_ @azamfcofficial

Design a site like this with WordPress.com
Get started