Kikosi cha @simbasctanzania kinatarajia kutua nchini saa 12:00 jioni kikitokea Afrika Kusini ambako kilikuwa kikifanya maandalizi ya msimu mpya.

Siku kama ya leo mwaka 2006 @carras16 alijiunga na Manchester Utd
.
.
👕 316 appearances
📍 86.95% passing accuracy
💪 493 tackles won
🏆 5 #PremierLeague titles
•

Aliyekuwa mshambuliaji wa Fc Barcelona Kevin Prince Boateng amejiunga na Fiorentina baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo.
.
.
Boateng alijiunga na Barcelona kutoka Sassuolo mshambuliaji wa Fc Barcelona Kevin Prince Boateng amejiunga na Fiorentina baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo.
.
.
Boateng alijiunga na Barcelona kutoka Sassuolo

Ipi namba 9 yako bora?

Polisi Tamzania wametambulisha uzi wao mpya wa nyumbani na ugenini utakaotumika msimu ujao wa 2019/20 #TanzaniaPremierLeague🇹🇿

Mechi kali. Za leo

@official_juma_kaseja X @iddy_nado7 @taifastars_ #TunakanyagaMpakaCHAN

Wakati dirisha la usajili kwa timu za ligi kuu, Ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili likitarajiwa kufungwa Leo Julai 31, Klabu ya soka ya Pamba imefanikiwa kuinasa saini ya Aliyekuwa mchezaji wa Jkt Tanzania, Green warriors Saad Kipanga kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja.