timu ya taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini imeshusha dozi nzito

Wenyeji

, Banyana Banyana @@ ya @Wenyeji, Banyana Banyana timu ya taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini imeshusha dozi nzito Katika ufunguzi wa Michuano ya COSAFA Cup kwa Wakina Dada… Na Ikumbukwe Tanzania imo na Wakina Dada tayari wametia mguu huko Bondeni Afrika Kusini hii leo jioni!. #cosafacupimeshusha dozi nzito Katika ufunguzi wa Michuano ya COSAFA Cup kwa Wakina Dada… Na Ikumbukwe Tanzania imo na Wakina Dada tayari wametia mguu huko Bondeni Afrika Kusini hii leo jioni!. #cosafacup

Kevin Prince-Boateng amekamilisha Usajili wake wa kujiunga na Klabu ya Fiorentina

Mzee wa kuhama timu, kahama tena!! Ni Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ghana, Kevin Prince-Boateng amekamilisha Usajili wake wa kujiunga na Klabu ya Fiorentina ya Italia akitokea Sassuolo ya hapo hapo Italia lakini akitoka kucheza kwa mkopo FC Barcelona ya Hispania!.
.
– Mpaka Sasa, na haya ndio maisha yake ya Soka!..
🇩🇪 @HerthaBSC
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 @SpursOfficial
🇩🇪 @BVB
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 @PompeyOfficial
🇮🇹 @GenoaCFC
🇮🇹 @ACMilan
🇩🇪 @S04
🇮🇹 @ACMilan
🇪🇸 @UDLP_Oficial
🇩🇪 @Eintracht
🇮🇹 @SassuoloUS
🇪🇸 @FCBarcelona
🇮🇹 @ACFFiorentina 🆕
:
🌎 Loves a transfer 😄😄🙌
#SerieAUpdates
@Sokawaytz_

SIMBA SC YAINGIA MKATABA WA UDHAMINI NA ROMARIO SPORTS

#Repost @worldsports14_
SIMBA SC YAINGIA MKATABA WA UDHAMINI NA ROMARIO SPORTS

Klabu ya Simba imeingia wa mkataba wa udhamini wa miaka miwili na kampuni ya vifaa vya michezo, Romario Sports wenye thamani ya milioni 600.

Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo Crescentius Magori amesema kuwa wanaishukuru kampuni hiyo kwa udhamini huo kwa sababu umeondoa gharama za kununua jezi pamoja na vifaa mbalimbali vya mazoezi.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Romario Minhaal Dewji amesema kuwa jezi za sasa wameongeza ubora wa hali ya juu na jezi moja itauzwa elfu 30, na jezi wanazovaa wachezaji zitauzwa laki moja na ishirini.

taifa ya Algeria 🇩🇿, yaweka rekodi ..AFCON

👉🏻 Belmaldi
– Kaipatia Ubingwa wa AFCON timu yake ya taifa ya Algeria 🇩🇿, wakiruhusu kufungwa Magoli Mawili tu Mpaka kuwa Mabingwa!.. kupoteza game Moja tu tangu Julai 2018 — Julai 2019.
.
👉🏻 Deschamps
– Kaiongoza timu yake ya taifa ya Ufaransa kuwa vinara wa Kundi Katika kuwania Kufuzu kwa EURO… Kaisaidia kushika nafasi ya Pili Katika viwango vya Ubora wa Soka Duniani!.
.
👉🏻 Gallardo …Kaisaidia River Plate…
– Kuwa Mabingwa wa Copa Libertadores 2018,
– Kuwa Bingwa wa Recopa CONMEBOL
– Kamaliza nafasi ya tatu Katika kombe la Dunia kwa Vilabu!.
.
👉🏻 Gareca… Kaisaidia Peru.
– Kufika fainali ya Copa America.
– Performance Bora Kimataifa tangu 1975.
.
👉🏻 Guardiola… Kuiongoza Manchester City.
– Kuwa Mabingwa wa EPL, FA Cup & Carabao Cup.
– Kafika Robo fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya.
.
👉🏻 Klopp… Kaisaidia Liverpool!.
– Kuwa Mabingwa wa Klabu Bingwa Barani Ulaya.
– Nafasi ya Pili Katika Msimamo wa EPL (97pts na kupoteza game Moja tu Katika Ligi).
.
👉🏻 Pochetino… Kaisaidia Tottenham.
– Kufika fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya na Nusu fainali ya Carabao Cup.
– Nafasi ya Nne Katika Msimamo wa EPL.
.
👉🏻 Erik Ten Hag… Kaisaidia AFC Ajax.
– Kufika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kwa mara ya Kwanza tangu 1997.
– Kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Nchini Uholanzi “Eredivisie” na Ubingwa wa KNVB Cup.
.
👉🏻 Tite… Kuiongoza Brazil.
– Kuwa Mabingwa wa Michuano ya Copa America.
– Kufungwa goli moja tu Katika Michuano hiyo na kufunga Magoli 15 Katika Mechi Sita.
.
👉🏻 Fernando Santos… Kaisaidia Ureno.
– Kuwa Mabingwa wa Michuano ya UEFA Nations League.
– Akiwa Kama Kocha, Ureno haijapoteza Mechi 10 Msimu huu wa 2028/19.
#FIFA #Updates
@Sokawaytz_

OFFICIAL: FIFA imetangaza Makocha 10 wanaowania tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka wa timu ya Wanawake

OFFICIAL: FIFA imetangaza Makocha 10 wanaowania tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka wa timu ya Wanawake!..
🇮🇹 Milena Bertolini
🇺🇸 Jill Ellis
🇸🇪 Peter Gerhardsson
🇯🇵 Futoshi Ikeda
🇪🇸 Antonia Is
🇦🇺 Joe Montemurro
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Phil Neville
🇫🇷 Reynald Pedros
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Paul Riley
🇳🇱 Sarina Wiegman
#FIFA #Updates

OFFICIAL: FIFA imetangaza Wachezaji 10 wa Kike wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora Mwanamke wa Mwaka!..

OFFICIAL: FIFA imetangaza Wachezaji 10 wa Kike wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora Mwanamke wa Mwaka!..
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Lucy Bronze
🇺🇸 Julie Ertz
🇳🇴 Caroline Graham Hansen
🇳🇴 Ada Hegerberg
🇫🇷 Amandine Henry
🇦🇺 Sam Kerr
🇺🇸 Rose Lavelle
🇳🇱 Vivianne Miedema
🇺🇸 Alex Morgan
🇺🇸 Megan Rapinoe
🇫🇷 Wendie Renard
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Ellen White
#fifa #Updates
@Sokawaytz_

Manchester United wako kwenye mazungumzo juu ya. Paul Dybala

Manchester United wako kwenye mazungumzo juu ya uwezekano wa kumsajili Mshambuliaji wa Juventus, Paul Dybala… Inaeleweka mazungumzo hayo Sasa yamefikia hatua nzuri, Sasa United inajipanga kutoa ofa kwa Nyota huyo wa Argentina ili kutua Old Trafford.
:
Inaeleweka kwamba, Juventus wako tayari kumuacha Dybala aondoke, kwani nao wana hamu ya Kumsajili Mshambuliaji wa United, Romelu Lukaku… Lukaku pia anapendezwa na Kujiunga na Inter Milan, ingawa Klabu hiyo ya Serie A haijatoa ofa nono ya kuifanya United kumuachia mshambuliaji huyo wa Ubelgiji.
:
Dybala mwenye umri wa miaka 25 alifunga mabao 10 kwa Juventus msimu uliopita… Na Sasa United na Juventus wamefikia Makubaliano ya kubadilishana Wachezaji hao, United inatarajia kuanza Mazungumzo na Dybala kuhusu Maslahi binafsi!..
#EPLUpdates #SerieAUpdates #transfersUpdates
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started