➡️klabu ya Horoya AC imekamilisha taratibu za usajili wa kiungo mkabaji Canaan Markneh Maleko kutoka katika klabu ya Adama City inayoshiriki ligi kuu Nchini Ethiopia.
#sokaplaceupdates

OFFICIAL | Rais wa Shirikisho la Soka Nchini Misri @EFA, Fattah El-Sis Amethibitisha kwamba Majukumu ya kuinoa timu yao ya taifa, @Pharaohs, hatopewa tenaa Kocha kutoka Nje ya Nchi yao, yaani asiye mzawa!! Sasa Kikosi Cha timu yao ya taifa kitaongozwa na Kocha mzawa Ambaye hajatangazwa Bado kuchukua Mikoba ya Javier Aguirre!.
#transfersUpdates
@Sokawaytz_

Wachezaji wa Timu ya Taifa @taifastars_ wakiwa Mazoezini kwenye Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa pili wa CHAN dhidi ya Kenya Jumapili Agosti 4,2019...
#CHANUpdates

– Klabu ya Aston Villa Imethibitisha kumsajili Mlinda lango wa Kimataifa wa England, Tom Heaton kutoka Klabu ya Burnley.
.
– Kipa huyo mwenye umri wa Miaka 33 Amejiunga na Wageni hao wa Premier league kwa dau la £8m na kuwa ni Mchezaji wa 11 kusajiliwa na Aston Villa msimu huu; Alijiunga Rasmi na Burnley Mwaka 2013 akitokea Bristol City, tangu atue Turf Moor kacheza mechi zaidi ya 200 akiwa na Kocha wake Mkongwe, Sean Dyche!.
#EPLTransfersUpdates #EPLUpdates

Rasmi, Mshambuliaji David Molinga, amejiunga na kikosi chetu kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea AC LEGA ya Congo DR.
Karibu sana David kwenye familia ya mabingwa..!
#hiindiyomaanayakukusanyakijiji
TUKUTANE TAIFA TAREHE 4/8/2019

FIFA wametangaza wachezaji watakaowania tuzo ya Mchezaji bora
Unazani Nani anastahili ?

Wachezaji wa watakaitumikia Mbao Fc msimu ujao 2019/20 #TanzaniaPremierLeague🇹🇿

.

.Kikosi Cha Klabu ya @simbasctanzania kimewasili Nchini Tanzania 🇹🇿 kikitokea huko Bondeni Afrika Kusini ambako kilipiga kambi ya Maandalizi ya Msimu Mpya wa Ligi na Michuano ya Kimataifa!!.
#TPLUpdates #SimbaSC