Dani Alves. Atimukaua katika klebu ya Sao Paulo

– Klabu ya Sao Paulo Imethibitisha Kukamilisha Usajili wa Beki wa zamani wa Paris Saint-Germain, Juventus na FC Barcelona, Dani Alves.
.
– Alves Amesaini Mkataba Mpaka Mwaka Disemba 2022 kuwatumikia Miamba hao kutoka Nchini kwao Brazil… Akiwa na Umri wa Miaka 36, Alves anarejea kucheza Soka Nchini Brazil Baada ya Miaka 17 kupita, kwa Mara ya kwanza alienda kucheza Soka Ulaya 2002 akitua Sevilla kutokea Klabu ya Bahia, Kisha FC Barcelona, Juventus na PSG ambako alimaliza Mkataba wake wa Miaka Miwili Kisha kutimkia huko Brazil!!.
.
– Kapewa kutumia Jezi Namba 10 akiwa na Klabu yake mpya huko Kwao Brazil 😄😊!..
👉 Dani Alves Akicheza Barani Ulaya:
🇪🇸 Sevilla: 2002–2008
🇪🇸 Barcelona: 2008-2016
🇮🇹 Juventus: 2016-2017
🇫🇷 Paris Saint-Germain: 2017-2019
Mataji: 36 😱 🏆
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA ALHAMISI NA RATIBA YA HII LEO:

MATOKEO YA SOKA JANA ALHAMISI NA RATIBA YA HII LEO:
:
– Europa League – Qualification.
FT FC Astana 4 – 1 FC Santa Coloma
FT Kairat Almaty 1 – 1 Hapoel
FT FC Constanta 2 – 1 Gent
FT KuPS 0 – 0 Legia Warszawa
FT Zorya Luhansk 1 – 0 Buducnost Podgorica
FT Debrecen 1 – 4 Torino
FT Haecken 0 – 3 AZ Alkmaar
FT Levski Sofia 0 – 4 AEK Larnaca
FT Riga FC 2 – 1 Piast Gliwice
FT AEL 0 – 1 Aris Thessaloniki
AET Apollon 3 – 1 Shamrock Rovers
FT Atromitos 3 – 2 Dunajska Streda
FT Dinamo Tbilisi 3 – 0 FK Qabala
FT FC Sheriff 1 – 1 Partizani
FT FK Liepaja 0 – 1 IFK
FT FK Neftchi 3 – 0 Arsenal Tula
FT Jablonec 0 – 0 Pyunik
FT Klaksvik 0 – 1 Luzern
FT Maccabi Haifa 2 – 1 Strasbourg
FT Malmoe FF 3 – 2 Domzale
AET Zrinjski Mostar 2 – 1 FC Utrecht
AET Broendby IF 4 – 1 Lechia Gdansk
FT FC PNiederkorn 0 – 0 Rangers
FT Ludogorets 4 – 0 Valur
FT Gzira United 2 – 2 Ventspils
FT Frankfurt 2 – 1 Flora Tallinn
FT FC FCSB 2 – 3 Alashkert FC
FT Sturm Graz 2 – 1 FK Haugesund
FT Aberdeen 5 – 0 Chikhura
FT Linfield 1 – 0 HB Torshavn
FT Spartak Trnava 3 – 1 Lokomotiv Plovdiv
FT Crusaders 1 – 4 Wolves
FT Stjarnan 1 – 3 RCD Espanyol
.
– International – Club Friendlies.
FT SPAL 5 – 0 Virtus Bolzano
FT Denizlispor 0 – 0 Goztepe
FT SPAL 3 – 1 FC Obermais
FT Malaga 0 – 2 Mallorca
FT Levante 1 – 1 SD Huesca
FT Numancia 1 – 1 Athletic Bilbao
:
RATIBA YA HII LEO IJUMAA:
– Belgium – First Division A.
21:30 Club Brugge
St.Truiden
.
– International – Club Friendlies.
15:00 Schalke 04
Alanyaspor
16:00 Gazisehir Gaziantep
Istanbulspor
16:00 Keshla
Rizespor
19:00 Besiktas
Udinese
19:00 Schalke 04
Villarreal
20:30 Granada
Real Valladolid
21:00 Brighton
Valencia
21:00 Crotone
Getafe
21:00 Nantes
Genoa
21:30 Leicester City
Atalanta
21:45 Bournemouth
Lazio
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_

Watford kunasa saini ya Ismaila Sarr…

– Klabu ya Watford ipo mbioni Kufikia makubaliano na winga mwenye mbio zake, Ismaila Sarr… Winga huyo mwenye umri wa 21 anaekipiga ndani ya Klabu ya Rennes ya Ufaransa @ligue1conforama, anatarajia kuwa Mchezaji ghali zaidi wa Watford!.
.
– Alikuwa anawindwa na Arsenal, lakini Arsenal imemnasa Nicholas Pepé na kwa huyu imejitoa, Sarr alifunga Magoli 13 na kutoa Assist 11 Katika Msimu uliopita… Pia anaitumikia timu ya taifa ya Senegal 🇸🇳 @leslionsdelateranga.
#EPLTransfersUpdates
@Sokawaytz_

Inter Milan. Kuwania saini ya Edinson Cavani

– Inter Milan wameripotiwa kufanya Mazungumzo ya kutaka Kumsajili Mshambuliaji hatari wa Kimataifa wa Uruguay, Edinson Cavani Baada ya kuonekana kila dalili za kumkosa Romelu Lukaku.
.
– The Nerrazzuri walikubalana na Lukaku, lakini wakashindwana na Klabu yake ya Manchester United, kwasasa United na Juventus zimefikia pazuri kubadilishana Wachezaji wake, Lukaku Kwenda Juve na Paul Dybala kutua Old Trafford.
.
– Cavan mwenye umri wa 32 ana Mkataba wake wa mwaka Mmoja tu na Mabingwa wa Ufaransa, PSG… PSG huenda Wakawa tayari Kumuuza Nyota huyo lakini Kwanza wajue hatma ya Mbrazili wao, Neymar kama ataondoka au kusalia Klabuni hapo!..
#SerieATransfersUpdates
@Sokawaytz_

Amr Gamal amejiunga na Miamba wa Tunisia Klabu ya, CS Sfaxien

– – Mshambuliaji wa Kimataifa wa Misri na Klabu ya Al Ahly, Amr Gamal amejiunga na Miamba wa Tunisia Klabu ya, CS Sfaxien kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2019/2020.
.
– Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alishindwa kucheza game hata moja ndani ya Ahly Katika kipindi cha msimu uliopita baada ya kurudi kutoka kwa mkopo huko Finland Katika Klabu ya HJK Helsinki, ambapo alitwaa taji la ligi.
.
– Kabla ya wakati wake nchini Finland, Gamal alikuwa na mkopo tena huko Afrika Kusini na klabu ya Bidvest Wits FC, akiwaongoza kutwaa Ubingwa wa Telkom huku yeye akiwa Ni Mchezaji Bora wa mashindano hayo..
#africafootball #Updates
@Sokawaytz_ wa Kimataifa wa Misri na Klabu ya Al Ahly, Amr Gamal amejiunga na Miamba wa Tunisia Klabu ya, CS Sfaxien kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2019/2020.
.
– Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alishindwa kucheza game hata moja ndani ya Ahly Katika kipindi cha msimu uliopita baada ya kurudi kutoka kwa mkopo huko Finland Katika Klabu ya HJK Helsinki, ambapo alitwaa taji la ligi.
.
– Kabla ya wakati wake nchini Finland, Gamal alikuwa na mkopo tena huko Afrika Kusini na klabu ya Bidvest Wits FC, akiwaongoza kutwaa Ubingwa wa Telkom huku yeye akiwa Ni Mchezaji Bora wa mashindano hayo..
#africafootball #Updates
@Sokawaytz_

amekam ilisha Usajili wake na klabu ya Wydad Casablanca

Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo 🇨🇩, Kabongo Kasongo (25) amekamilisha Usajili wake wa kujiunga na Miamba wa Morocco 🇲🇦, Klabu ya Wydad Casablanca kwa mkopo akitoka ndani ya kikosi Cha Al Zamalek SC ya Misri 🇪🇬.
:
– Uhamisho huo wa Makubaliano ya kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa wa Morocco 🇲🇦, Mohamed Ounajem (27) anajiunga na Al Zamalek kwa Mkataba wa Miaka Mitatu… Pia makubaliano ya Mkopo wa Kasongo utakapofikia tamati, Wydad wamepewa ruksa ya Kumsajili Moja kwa Moja ikiwa tu watafikia Makubaliano!!.
.
– Ounajen Alijiunga Rasmi na Wydad Mwaka 2015 akitokea Chabab Atlas Khénifra ya hapo hapo Morroco, Alikuwa sehemu ya Kikosi kilichotwaa Ubingwa wa Afrika 2017, CAF Super Cup na Ubingwa wa Ligi Mara Mbili… Mechi 23, Magoli 5 na Assist 10 ndio balaa lake msimu uliopita!.. Balaa la Kasongo ndio Hilo hapo Pichani 🙌🙄.
#africafootball #Updates
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started