
– Waandishi wa habari za Michezo kutoka vyombo mbalimbali nchini wakiwa Wilayani Longido Jijini Arusha wakiwa kuelekea nchini Kenya, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kuwania kucheza fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ligi za ndani CHAN kati ya Taifa Stars dhidi ya Kenya.
.
– Waandishi hao wamewasili Jijini Arusha usiku wa kuamkia leo na leo asubuhi walitembelewa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ambae aliwaandalia chai kabla ya kuendelea na safari yao.
Katika mchezo huo utakaofanyika August 4 Jijini Nairobi, Stars inahitaji sare yoyote au ushindi wowote ili iweze kufuzu katika hatua inayofuata.
#TunakanyagaMpakaCHAN.
























