
Klabu ya Chelsea ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na wachezaji wao watatu Willian, Tammy Abraham pamoja na Reece James ili kuwaongezea mikataba yao ya muda mrefu. .
.
Imeelezwa kuwa kocha wa klabu hiyo Frank Lampard amefurahishwa na uwezo wao na ameshauri kuwa waongezewe mikataba yao kabla ya msimu kuanza.











.Kamata Magazeti ya Michezo Leo













