Klabu ya Liverpool imekubali mpango wa kuuza uwanja wao wa Mazoezi

– Klabu ya Liverpool imekubali mpango wa kuuza uwanja wao wa Mazoezi mafunzo wa Melwood kabla ya kuhamia katika kituo kipya cha kufanyia mazoezi yao huko katika mji wa Kirkby.
.
– Baada ya Msimu ujao 2019/20, ndio utakuwa wa mwisho wa kikosi cha kwanza cha timu ya Liverpool kufanya Mazoezi yao ndani viwanja vya Melwood kabla ya kubomolewa na kujengwa tena katika msimu wa joto wa 2020.
.
– Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Jurgen Klopp, Wasaidizi wake na Wachezaji wote wataenda kufanyia mazoezi yao huko Kirkby Katika Maandalizi ya Msimu wa 2020-21, na matengenezo ya uwanja huko yameanza tangu mwaka jana…Lakini Katika viwanja hivyo vya huko Kirkby tayari Ni viwanja vya kufanyia mazoezi ya Academy ya Klabu ya Liverpool. Uamuzi huo ulichukuliwa tangu Mwaka jana 2018, yote na yote ili kuunganisha shughuli zote za mazoezi ya klabu kwenye uwanja mmoja!..
#Updates #liverpool
@Sokawaytz_

Wachezaji…wa.ugandacranes…wamiminika..Ligi Kuu Nchini Misri 🇪🇬!!.

Nyota mwingine wa timu ya taifa ya @ugandacranes 🇺🇬 anajiunga na Klabu ya Ligi Kuu Nchini Misri 🇪🇬!!.
.
– Aliyekuwa Kiungo wa Klabu ya Vipers FC pia alikuwa Nahodha wa Kikosi hicho, Taddeo Lwanga Amesaini Mkataba wa kuitumikia Klabu ya Tanta FC iliyopanda Daraja kucheza Ligi kuu Nchini Misri!!.
.

Nyota wa @ugandacranes waliojiunga na Vilabu vya Misri Baada ya AFCON..
Khalid Aucho – El Makkasa ✅
Abdu Lumala – Pyramids ✅
Emmanuel Okwi – Ittihad Alexandria ✅

RASMI!! Mabadilishano ya Juventus na Man City yametimia!! .

RASMI!! Mabadilishano ya Cancelo na Danilo kwa Vilabu vya Juventus na Man City yametimia!!
.
– Beki, ‪João Cancelo anatarajia kujiunga na Klabu ya Manchester City, Wakati huo huo Danilo atajiunga na Juventus… Man City pia italipa €30M kwenda Juventus Kama sehemu ya makubaliano ya uhamisho huo… Muda wowote kuanzia Kesho madili haya yatathibitishwa na Vilabu hivyo!.. #ManchesterCity #Juventus #transfers‬

Arsenal. Wafanyiwa vibaya na barcelona

👉 Kunanii huko Arsenal na Hizi fainali za Pre-Season?!.. The Gunners wanapoteza game nyingine ya Fainali ya Joan Gamper Trophy Baada ya kupokea kipigo kutoka kwa FC Barcelona huko Camp Nou, ambako Rekodi imewekwa Jumla ya Watazamaji 98,812 wameingia uwanjani kutazama Mtanange huu!!.
.

– Arsenal waliongoza Mpaka Mapumziko Baada ya @aubameyang97 kufunga, Kipindi Cha Pili wakajifunga wao kupitia kwa Ainsley Maitland-Niles, Kisha Dakika ya 90, @luissuarez9 anapiga bao la Pili na la Ushindi na Ubingwa kwa @fcbarcelona ikiwa Ni kwa Mara ya Tisa Mfululizo wananyakua kikombe hiki!.
.
– Sasa Vijana hao wa Unai Emery wanamaliza Pre-season yao Sasa wanajiandaa na mshikemshike wa Premier league, watakuwa na Kibarua ugenini dhidi ya Newcastle, Agosti 11!..
#Arsenal #fcbarcelona #Updates #joangampertrophy
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI!.

:
– England – Community Shield.
AP Liverpool 1 – 1 Manchester City *
.
– England – Championship.
FT Bristol City 1 – 3 Leeds United
.
– Belgium – First Division A.
FT Gent 6 – 1 Eupen
FT Royal Excel Mouscron 0 – 0 Anderlecht
FT Royal Antwerp 4 – 1 Waasland-Beveren
.
– African Nations Championship – CHAN Qualification.
FT Ethiopia 4 – 3 Djibouti
AP Kenya 0 – 0 Tanzania *
FT Mozambique 3 – 2 Madagascar
FT South Africa 0 – 3 Lesotho
FT South Sudan 1 – 2 Burundi
FT Zimbabwe 3 – 1 Mauritius
FT Namibia 0 – 0 Comoros
FT Mali 3 – 0 Guinea-Bissau
FT Togo 1 – 0 Benin
.
– Portugal – Super Cup.
FT Benfica 5 – 0 Sporting CP
.
– International – Champions Cup.
AP Tottenham Hotspur 1 – 1 Inter *
.
– International – Club Friendlies.
FT Fortuna Düsseldorf 1 – 2 Eibar
FT Bayer Leverkusen 1 – 2 Valencia
FT UNFP FC 2 – 3 Strasbourg
FT Besiktas 0 – 2 Brescia
FT De Graafschap 1 – 2 Osasuna
FT Alanyaspor 2 – 2 Al-Wasl
FT SPAL 0 – 0 Verona
FT Mallorca 2 – 2 Real Valladolid
FT Granada 2 – 0 Las Palmas
FT Racing Santander 2 – 1 Athletic Bilbao
FT Barcelona 2 – 1 Arsenal
FT Bordeaux 2 – 3 Genoa
FT Marseille 0 – 1 Napoli
FT Raja Casablanca 0 – 1 Real Betis
.
– South Africa – Premier League.
FT Black Leopards 0 – 1 Polokwane City
FT Highlands Park FC 2 – 3 Kaizer Chiefs
FT Lamontville Golden Arrows 1 – 0 Maritzburg United
.
.
MECHI MOJA HII LEO!..
– England – Championship.
21:45 Huddersfield Town
Derby County
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started