

Baada ya kuachwa na klabu ya @simbasctanzania Mchezaji Asante Kwasi amehusishwa Kujiunga na klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini.


Baada ya kuachwa na klabu ya @simbasctanzania Mchezaji Asante Kwasi amehusishwa Kujiunga na klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini.

.
KMKM 0-1 MTIBWA SUGAR.
.
Jafarry Kibaya ⚽
.
#FriendlyMatch

Klabu ya Manchester United imekataa ofa ya €30m kutoka Real Madrid na nyongeza ya James Rodriguez ili kumsaini kiungo mfaransa Paul Pogba (The Times)


klabu KMC Imetangaza kikosi chake kamili kitakacho shiriki ligi kuu soka tanzania bara msimu wa 2019/2020

*


Uongozi wa Klabu ya Yanga leo Agosti 5, 2019 utakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari kuanzia saa 6:00 mchana. Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya Klabu Jangwani jijini Dar es Salaam. Waandishi wote mnakaribishwa.
.
. *Imetolewa na idara ya Habari na Mawasiliano*
#YangaSC.

👉 Ratiba ya Raundi ya Mwisho ya Kufuzu kwa Michuano ya CHAN ambayo itafanyika mwaka 2020 huko Cameroon!… Mkondo wa kwanza kupigwa Septemba 20-22 na Mkondo wa Pili kupigwa Oktoba 18-20 Mwaka huu!. Algeria v Morocco
Tunisia v Libya
Mali v Mauritania
Senegal v Guinea
Togo v Nigeria
Niger v Ivory Coast
Ghana v Burkina Faso
CAR v DR Congo
Equatorial Guinea v Congo Brazzaville
Burundi v Uganda
Ethiopia v Rwanda
Tanzania v Sudan
eSwatini v Zambia
Madagascar v Namibia
Zimbabwe v Lesotho
#CHAN #CHAN2020Cameroon🇨🇲 #CHAN2020
@Sokawaytz_

Kuelekea Simba Day Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Majaliwa Kassim anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day litakalofanyika kesho katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

:
#Repost @emmanuelokwi
Mashabiki Wa @simbasctanzania,
I would like to thank you all for the great memories that we’ve had for many years, many times. You’ve always treated me as your own. I truly appreciate and would like you to know that I feel your love.
Many thanks as well to the technical team and management of the club that worked tirelessly to see us achieve many titles.
Even as I head to @itthadalexsc, I will always have Simba at heart. #nguvumoja


– Mwekezaji wa Simba SC, Mohamed Dewji amesema watapeleka maombi yao Shirikisho la Soka nchini Tanzania @tanfootball, ili kununua timu ya daraja la kwanza.
.
– Timu hiyo itakuwa na wachezaji wanaotoka timu yao ya vijana ya Simba na endapo watakubaliwa watakuwa na timu itakayoitwa Simba lakini ikishiriki Ligi Daraja la Kwanza…. Mo Dewji amesema endapo timu hiyo itafanikiwa kupanda daraja hawataipandisha Ligi Kuu kwank sheria haitawaruhusu kuwa na timu mbili ligi kuu zenye jina moja..
#Updates #SimbaSC
– Manchester United, Msimu wa Mwaka huu 2019 imesajili Wachezaji Watatu Wa-British kwa Dirisha Moja la uhamisho wa Wachezaji, (Juni Mpaka Agosti) kwa Mara ya Kwanza Tangu wafanye Mara ya mwisho mwaka Msimu wa Mwaka 1989.
:
✍🏻 Usajili wa Mwaka wa 1989:
– Neil Webb 🏴 (£1.5m kutoka Nottingham Forest)
– Mike Phelan 🏴(£750k kutoka Norwich City)
– Gary Pallister 🏴 (£2.3m kutoka Middlesbrough)
:
✍🏻 Usajili wa Msimu wa Mwaka 2019:.
– Aaron Wan-Bissaka 🏴 (£50m kutoka Crystal Palace).
– Daniel James 🏴 (£15m kutoka Swansea City).
– Harry Maguire 🏴 (£80m kutoka Leicester City).
#EPLTransfersUpdates #EPLUpdates #manchesterunited #MUFC
@Sokawaytz_