JOSE MOURINHO ANAZIDI KUSAFISHA NJIA KWA MAJOGOO KUPITA KUELEKEA SAFARI YAO YA MIAKA 30 YA NDOTO ZA EPL

JOSE MOURINHO ANAZIDI KUSAFISHA NJIA KWA MAJOGOO KUPITA KUELEKEA SAFARI YAO YA MIAKA 30 YA NDOTO ZA EPL

attempt
Tottenham 3
Manchester city 17

Goal
Tottenham 2
Manchester city 0

Ft:Tottenham 2-0 Manchester city
Huyu ndio SPECIAL ONE MWENYE JINA

ALICHOKISEMA PIRES KUHUSU LIVERPOOL NA UBINGWA WA EPL

“Robert Pires” Liverpool inaweza kuchukua ubingwa msimu huu pasipo KUFUNGWA” Nitimu iliyoimarika katika idara kuanzia golini,ulinzi,kiungo na safu ya ushambuliaji,
Wanatimu nzuri,wanakocha nzuri,wachezaji na wanabahati pia,
Amesema mfaransa ROBERT PIRES Mchezaji wa zamani wa ARSENAL Aliyekua katika kikosi kilichotwaa UBINGWA wa EPL unbeaten cha mzee WENGERLIVERPOOL Ataweza kuchukua EPL UNBEATEN?
@hamisikamala

Antonio Conte akiongelea wakati wake akiwa meneja wa Chelsea: ⁣ ⁣

“Nilishinda Ligi Kuu kwenye mwaka wangu wa kwanza na Kombe la FA katika msimu wangu wa pili …⁣
Klopp yuko katika mwaka wake wa nne nchini England na bado hajashinda kitu chochote akiwa na Liverpool. Guardiola hakushinda mataji yoyote katika mwaka wake wa kwanza na Manchester City. Mpaka sasa Klopp bado alikuwa hajashinda nyara yoyote na Liverpool!”

Marcos Rojo aelezea uamuzi wa kwenda kucheza soka nchin kwao

Aliyekuwa Beki wa Manchester United, Marcos Rojo ameelezea uamuzi wake wa kujiunga na klabu ya Estudiantes ya Argentina kwa mkopo hadi mwisho wa msimu, amesema kwamba mama yake alishiriki katika harakati zake za uhamisho katika dirisha la Januari.

Rojo alisaini mkataba wa muda mfupi na klabu hiyo ya Argentina wiki iliyopita baada agizo kutoka kwa meneja wa United Ole Gunnar Solskjaer.

ANSU FATI NA UTAMU WA MESSI…

.

🎯Barcelona dhidi ya Levante,ulikuwa mchezo mzuri sana kuutazama,japo Levante walikubali kushambuliwa muda wote,Barca wanapata ushindi unaoendelea kuwa sogeza kwa karibu na wapinzani wao (Real MADRID) kwenye msimamo wa #laliga…
.
🎯Ukweli ni kwamba bado Barca hawajakaa kwenye njia yao,wanasumbuka mno,ule mfumo wao mama wa kumzunguka L. Messi bado haujakaa sawa,siku hizi anacheza na kina Greizman,Ansu Fati…..
.
🎯Hatari zaidi ipo kwa huyu bwana mdogo Ansu Fati,ni mchezaji mzuri sana lakini uwepo wake kikosini unakuja kupunguza takwimu za Messi,yapo mambo ambayo La Pulga huwa anafanya,lakini kwa sasa inamuwia ngumu mno,bwana mdogo anakaa sana na mpira,anamuweka Messi nje ya mahesabu…
.
🎯Messi ni giniasi wa football,anapiga pasi hatari na mara nyingi huanzisha mashambulizi ambayo yeye mwenyewe ndie anakuwa muuwaji,Ansu anamlazimisha akimbie muda mwingi,ule ubunifu wa Lionely haupo kabisa,utaona ni ajabu kwa Messi kupiga nje na mbali kabisa ya eneo la hatari,lakini inamlazimu….
.
🎯Kasi ya Ansu Fati na Messi ni vitu viwili tofauti,bado inamuwia ngumu Messi kufanya tuliyazoea,Greizman hamfaidi kabisa Messi,zile megician pass hazipo tena,timu ikivuka kati tu ni mbio mwanzo mwisho…
.
#bakinasisi__ #njookwetu #TupoNawePaleUlipo

Mpepo Kuwavaa UD Songo Leo

#Updates •
.
✍️ Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Eliud Mpepo hii leo ataiongoza klabu yake mpya Costo Do Sol kuwakabili UD Songo katika mchezo wa ngao ya Jamii Nchini Msumbiji, ligi inatarajia kuanza tarehe 3/2/2020.
.
✍️ Mpepo na timu yake hiyo mpya walikuwa kambi ya siku 10 Nchini Afrika Ya Kusini kujiandaa na mchezo huo mgumu wa leo. .
.
Msikie @mpepoeleven anasema Nini kuelekea mchezo huo 🗣️”Nakwenda kucheza kuhakikisha naisaidia timu yangu kupata ushindi lakini pia nataka nionyeshe uwezo wangu na mchango katika timu yangu hii mpya. Kwa maandalizi tuliyofanya tunaweza kuchukua ngao hii.” .

.

NB: mchezo utapigwa majira ya saa 10 jioni majira ya Tz.
.
Kila lakheri @mpepoeleven
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Maoni ya wachezaji wa Liverpool kuhusu “Firmino” .

#Maoni Kumuhusu Bobby “Firmino”
.
✍️ Henderson 🗣️”Bobby ni mchezaji wa kiwango cha juu, hakuna wakumfananisha naye Anfield”.
.
✍️ Van Djik 🗣️”Bobby ni mchezaji bora kuwahi kucheza naye”.
.
✍️ Henry 🗣️”Ni moja ya washambuliaji walio kamilika LIGI kuu Uingereza”.
.
✍️ Rio Ferdinand 🗣️”Bobby anavutia sana.”
.
✍️ Gary Neville 🗣️”Bobby ni mchezaji wa kipekee, ni moja ya wachezaji bora Dunia”.
.
✍️ Alan Sheare 🗣️”Ni mmoja wa wachezaji wakubwa wakibrazili kuwahi kucheza ligi kuu Uingereza, napenda sana anavyo cheza. Anavutia sana.
.
Maoni Yako Ni yapi mdau _______?
.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Rekodi.Kali za washambuliaji wa Chelsea katika.misimu yao ya kwanza

#Nondo🔨 .
______________
✍️ Tammy Abraham msimu wake wa kwanza akiwa na Chelsea magoli ⚽ 13, pasi 🎯 3
.
✍️ Mason Mount msimu wake wa kwanza akiwa na Chelsea magoli ⚽ 5, pasi 🎯 4
.
✍️ Frank Lampard msimu wake wa kwanza akiwa na Chelsea magoli ⚽ 5, pasi 🎯 3 .
.
✍️ Didier Droga msimu wake wa kwanza akiwa na Chelsea magoli 10 ⚽, pasi 🎯 5
.j
Tammy Abraham

Design a site like this with WordPress.com
Get started