





Mechi ya Kirafiki itakayo pigwa huko visiwani Zanzibar MLANDEGE vs YANGA SC, yote ni kujiandaa na mchezowao wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Township Rolles, mchezo huo utapigwa August 10-2019 katika uwanja wa Taifa.


Asanteni sana Wanasimba na Watanzania wote. #IgaUfeThisIsNextLevel #NguvuMoja

Klabu ya soka ya Crystal Palace imekataa ofa ya £70m kutoka kwa Everton ili kumsajili mshambuliaji wake raia wa Ivory Coast Wilfried Zaha mwenye umri wa miaka 26.
:
Kwa mujibu wa taarifa kutoka MAIL zimedai Everton ilikuwa imemjumuisha mshambuliaji wao raia wa Uturuki Cenk Tosun mwenye umri wa miaka 28.

Klabu ya DC United inayoshiriki Ligi Kuu nchini Marekani inajiandaa kuanza mazungumzo na kiungo wa Arsenal Mesut Ozil (30) ili kujaza nafasi iliyoachwa na Wayne Rooney ambaye ametimkia Derby Country ya nchini kwao Uingereza (Mirror)

–

Kocha, Florent Ibenge Amejiunga na kambi ya Klabu yake ya AS Vita Club kwenye Maandalizi ya Msimu Mpya, Kocha Ibenge alihusishwa kuwa ameachana na Klabu hiyo kutoka mjini Kinshasa!.

Champions League – Qualification.
FT APOEL Nicosia 1 – 2 Qarabag FK
FT PAOK Thessaloniki FC 2 – 2 Ajax
FT Dinamo Zagreb 1 – 1 Ferencvaros
FT Club Brugge 1 – 0 Dynamo Kyiv
FT FK Crvena Zvezda 1 – 1 FC Koebenhavn
.
– Europa League – Qualification.
FT Ararat Armenia 1 – 2 Saburtalo
FT Riga FC 1 – 1 HJK
FT Sutjeska 1 – 2 Linfield
.
– England – EFL Cup.
FT Portsmouth 3 – 0 Birmingham City
.
– Italy – Coppa Italia.
FT Reggina 3 – 2 Vicenza
.
– International – Club Friendlies.
FT Goztepe 1 – 0 Difaa El Jadida
FT VfL Benrath 1 – 15 Fortuna Düsseldorf
FT Lusitania Lourosa 1 – 0 Aves
FT Celta Vigo 0 – 1 Tenerife
FT Leca 0 – 2 Gil Vicente
.
– International – Pan American Games:: play-off :: Women.
FT Paraguay 0 – 3 Argentina
FT Costa Rica 3 – 3 Colombia
.
– International – Pan American Games:: placement matches :: Women.
FT Jamaica 1 – 0 Peru
FT Mexico 5 – 1 Panama
.
– South Africa – Premier League.
FT Bidvest Wits 0 – 1 Baroka FC
:
RATIBA YA SOKA HII LEO JUMATANO:.
– Champions League – Qualification.
20:00 FC Krasnodar
FC Porto
20:45 Istanbul Basaksehir
Olympiacos
21:00 Basel
LASK
21:00 CFR Cluj
Celtic
21:15 Maribor
Rosenborg
.
– Europa League – Qualification.
21:15 Slovan Bratislava
Dundalk FC
.
– International – Club Friendlies.
16:00 Gazisehir Gaziantep FK
Al-Wakra
19:00 Alanyaspor
Brescia
20:00 Elche
Levante
20:00 Salzburg
Real Madrid
20:30 Fenerbahce
Cagliari
20:30 La Nucia
Villarreal
20:30 Mallorca
Getafe
21:00 Athletic Bilbao
Roma
21:30 Spezia
Sampdoria
22:30 Real Betis
Las Palmas
.
– International – Suruga Bank Championship.
13:00 Shonan Bellmare
Athletico Paranaense
.
– International – Pan American Games:: placement matches.
18:00 Ecuador
Peru
21:00 Panama
Jamaica
#fixtures #updates
@Sokawaytz_


Shaban Iddi Chilunda ameungana na klabu ya Azam FC iliyoondoka Leo kwenda Ethiopia
@chilunda43


Shaban Iddi Chilunda ameungana na klabu ya Azam FC iliyoondoka Leo kwenda Ethiopia
@chilunda43









