Beki mpya manchester united ..kuvaa jezi za Ma-lengendary Ndani ya Klabu hiyo,

OFFICIAL: Manchester United Imethibitisha kwamba beki wao Mpya, Harry Maguire atatumia jezi ya Ma-lengendary Ndani ya Klabu hiyo, Namba 5 kuanzia msimu ujao wa Ligi… Muingereza huyo Amejiunga na Klabu hiyo ya Old Trafford Mapemaa wiki hii akitokea Leicester City kwa Ada ya uhamisho wa Rekodi ya Dunia kwa Beki, £80m..
#EPLTransfersUpdates
@Sokawaytz_

SADIO MANE ATAWEZA KUIFIKIA RECORD YA LIGI KUU ENGLAND ILIYODUMU KWA MIAKA 24? •

Pazia la ligi kuu pendwa ya England linatarajiwa kufunguliwa Ijumaa hii 09 Aug 2019 kati ya Liverpool na Norwich. •
Katika mechi hii inatarajiwa Sadio Mane ataweka record ambayo imekaa miaka 24 bila kufikiwa na mchezaji mwingine yeyote.

Takwimu zinasema Sadio Mane katika misimu mitatu mfululizo kila mechi ya kwanza ya ligi kuu lazima afunge goli, mpaka sasa ana jumla ya magoli manne, akifanikiwa kuwafunga Arsena, Watford na West Ham.


Teddy Sheringham ndio mchezaji pekee mpaka sasa alieweza kufunga goli kwa misimu minne mfululizo katika kila mechi ya ufunguzi wa msimu mpya wa ligi akifanya hivyo akiwa katika timu za Nottingham Forest pamoja na Tottenham Hotspurs katika misimu ya 1992/1993 mpaka 1995/1996.

Je sadio Mane ataweza kuifikia hiyo record kwa kufunga goli katika msimu wa nne mfululizo dhidi ya Norwich City?

#TusubiriTuone.

Christian Eriksen….anauzwa kwa 130m..kwa.timu.inayomuhitaji

Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya la usajili dirisha kufungwa England, Mwenyekiti wa Spurs Daniel amesema timu zozote za England zinapaswa Kutoa £130m kama zinamhitaji Christian Eriksen.
:
United baada ya kumkosa Dybala wamemgeukia Eriksen. Inasemekana Kocha mkuu wa Man United Ole Gunnar amesema anamuhitaji kwa hali na mali Eriksen.

:
Viungo wanaowindwa na Man United kwa sasa
✍️ Sergej Milinkovic
✍️ Bruno Fernandes
✍️ Christian Eriksen

Design a site like this with WordPress.com
Get started