Gabriel Jesus amefungiwa miezi miwili na shirikisho la soka barani America

Mshambuliaji Gabriel Jesus amefungiwa miezi miwili na shirikisho la soka barani America CONMEBOL kutocheza mechi yoyote ya kimataifa akiwa na timu yake ya Taifa ya Brazil pamoja na faini ya $30,000 baada ya makosa aliyoyafanya kwenye mchezo wa fainali yaliyopelekea kupewa kadi nyekundu.

Danny Welbeck atua Watford

– Watford Imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uingereza mwenye mbio zake, Danny Welbeck kama Mchezaji huru Baada ya Kumalizika kwa Mkataba wake na Klabu ya Arsenal!.
.
– The Hornets hajaweka wazi Vipengele vya Mkataba huo na Mchezaji wao Mpya, lakini Nyota huyo Amesaini Mkataba wa Miaka Mitatu kuitumikia Klabu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Javi Gracia.
.

– Welbeck alianza maisha yake ya Soka ndani ya Manchester United, alipofunga Magoli 20 Katika mechi 92 za Premier League tangu mechi yake ya kwanza 2008… Baada ya Miaka Sita huko Old Trafford, anajiunga na The Gunners Mwaka 2014 kwa £16m akicheza takribani games 100 za Premier League, akifunga mabao 16 tu… Majeraha ya fundi mara kwa Mara yakimfanya kutowika huko Viunga vya Emirates!.
#EPLTransfersUpdates #EPLUpdates
@Sokawaytz_

Manchester City yakamilisha uhamisho wa beku, João Cancelo kwa Ada ya Usajili £26m

DONE DEAL: Manchester City Imethibitisha kukamilisha uhamisho wa beku, João Cancelo kwa Ada ya Usajili £26m + Danilo kutoka Klabu ya Juventus ya Italia!
:
– Cancelo Amesaini Mkataba wa Miaka Sita kuwatumikia Mabingwa hao wa Uingereza… Wakati huo huo Beki wa Brazil, Danilo yeye kahambatishwa Katika dili hilo, Kasaini Mkataba wa Miaka Mitano kuwatumikia Mabingwa hao wa Italia!.
#EPLTransfersUpdates #EPLUpdates
@Sokawaytz_

Everton. Yasajili beki mpya wakimataifa wa Ufaransa, Djibril Sidibe

Everton Imethibitisha kukamilisha Usajili wa Beki wa Kimataifa wa Ufaransa, Djibril Sidibe kwa mkopo wa Msimu mmoja kutoka Monaco kukiwa na Kipengele Cha kumnunua Moja kwa Moja Baada ya huo Msimu mmoja!.
.
– Sidibe Alikuwa Ni Mchezaji muhimu wa Monaco Katika mafanikio ya Ligue 1 2016/17 akitoka kujiunga kutoka Klabu ya Lille na kafunga Magoli Sita Katika mechi 114 za Mashindano yote akiwa na Monaco!.
.

– Sidibe Anakuwa Mchezaji wa Sita kusajiliwa na Kocha Marco Silva ndani ya Everton Msimu huu Baada ya, Mlinda lango Jonas Lossl, Viungo Andre Gomes, Fabian Delph na Jean-Philippe Gbamin; na Mshambuliaji Moïse Kean, wote wakiwa wametua viunga vya Goodison Park.
#EPLUpdates #EPLTransfersUpdates
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO:.

– Champions League – Qualification.
FT FC Krasnodar 0 – 1 FC Porto
FT Istanbul Basaksehir 0 – 1 Olympiacos
FT Basel 1 – 2 LASK
FT CFR Cluj 1 – 1 Celtic
FT Maribor 1 – 3 Rosenborg
.
– Europa League – Qualification.
FT Slovan Bratislava 1 – 0 Dundalk FC
.
– International – Club Friendlies.
Aband. Gazisehir Gaziantep FK 0 – 1 Al-Wakra
FT Ankaragucu 1 – 2 Keciorengucu
FT Alanyaspor 2 – 0 Brescia
FT Elche 0 – 2 Levante
FT Salzburg 0 – 1 Real Madrid
FT Fenerbahce 2 – 2 Cagliari
FT La Nucia 0 – 4 Villarreal
FT Mallorca 0 – 0 Getafe
FT Athletic Bilbao 2 – 2 Roma
FT Spezia 3 – 5 Sampdoria
AP Real Zaragoza * 0 – 0 Deportivo Alaves
FT Real Betis 1 – 0 Las Palmas
FT Barcelona 2 – 1 Napoli
:
RATIBA YA HII LEO ALHAMISI.
Europa League – Qualification.
17:00 FC Astana
Valletta
18:30 AEK Larnaca
Gent
19:00 Pyunik
Wolverhampton Wanderers
19:00 Sparta Prague
Trabzonspor
19:15 CS Universitatea Craiova
AEK Athens
19:30 Broendby IF
SC Braga
19:45 Ventspils
Vitoria de Guimaraes
20:00 FC Sheriff
AIK
20:00 FK Haugesund
PSV Eindhoven
20:00 FK Neftchi
Bnei Yehuda Tel Aviv
20:00 Malmoe FF
Zrinjski Mostar
20:00 Mariupol
AZ Alkmaar
20:00 Molde
Aris Thessaloniki
20:00 Thun
Spartak Moscow
20:30 Feyenoord
Dinamo Tbilisi
20:30 Lokomotiv Plovdiv
Strasbourg
20:30 Ludogorets Razgrad
TNS
20:30 Maccabi Tel Aviv
Suduva
20:30 PFC CSKA-Sofia
Zorya Luhansk
20:30 Royal Antwerp
Viktoria Plzen
20:45 FK Sarajevo
BATE Borisov
21:00 F91 Dudelange
Nomme JK Kalju
21:00 FC Midtjylland
Rangers
21:00 IFK Norrkoeping
Hapoel Beer Sheva
21:00 Rijeka
Aberdeen
21:30 Austria Wien
Apollon Limassol
21:30 FC FCSB
Mlada Boleslav
21:30 FC Vaduz
Eintracht Frankfurt
22:00 Legia Warszawa
Atromitos
22:00 Luzern
RCD Espanyol
22:00 Partizan Beograd
Yeni Malatyaspor
22:00 Torino
Shakhtyor Soligorsk
.
– International – Club Friendlies.
19:30 FC Rottach-Egern
FC Bayern München
20:30 Osasuna
Eibar
21:00 Mirandes
Athletic Bilbao
21:00 Sporting Gijon
Real Valladolid
21:45 R.C. Cesena
SPAL
21:45 Reggio Audace
Genoa
#fixtures #updates
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started