




Mijadala imekua mingi katika mitandao ya kijamii kuhusu Yanga kushindwa kuujaza uwanja wa taifa katika michezo yake ya Klabu bingwa na mashindano Mengine.
Wengi wamekua wakilalamika ukimya wa ten katika kuhamasisha wanaYanga waje kwa wingi katika uwanja wa taifa pindi timu yao inapocheza.
Kwa mara ya kwanza katika siku ya mwananchi hamasa ya viongozi wa klabu ya Yanga iliweza kuujaza uwanja wa taifa katika mchezo dhidi ya Kariobang Sharks.
Tatizo likaja katika Mchezo wa klabu bingwa afrika dhidi ya rollers uwanaja haukujaa kama siku ya Mwananchi.
Ndipo maneno na kelele zikaanza katika vijiwe mbali mbali watu wakisema Ten amekua chanzo cha wanaYanga kuto kwenda uwanjani.
Hivi kuna mtu anajua sababu ya simba kujaza uwanja wake katika michezo mbali mbali ?
Jibu ni moja tu matokeo mazuri ni chanzo cha wanSimba kuiamini timu yao na kwenda taifa kuujaza uwanja siku simba ikicheza.
Kama timu haifanyi vizuri nani alipe kiingilio kuja kuendeleza maumivu katika moyo wake ?
Mashabiki wanahitaji matokeo mazuri ambayo yatawafanya wapende kuja uwanjani kuipa sapoti timu yao.
Kwa sasa ishu ya Msingi sio ten wala nani aongezeke yanga katika Idara ya habari pale Yanga ila matokeo mazuri katika kila mchezo yatawafanya watu waujaze uwanja tena bila hata kutegemea Afisa habari yeyote yule.
Powered by @bikotanzania
Tags @yangasc @dismasten

Baada ya mapumziko ya sikukuu ya Eid, kikosi cha Simba leo kinarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo utapigwa Jumamosi August 17 kwenye uwanja wa Taifa
Simba, mabingwa wa Ngao hiyo kwa misimu miwili mfululizo, wanataka kuweka rekodi ya kutwaa mara ya tatu
Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Patrick Aussems amesema mchezo dhidi ya Azam Fc ni muhimu kwa kikosi chake kwani ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa marudiano dhidi ya UD Songo
Simba itarudiana na UD Songo AUgust 25 kwenye uwanja wa Taifa

Timu ya Taifa ya Wanawake U20 imerejea leo kutoka Afrika Kusini ambako jana ilitwaa ubingwa wa COSAFA
Kikosi hicho kinachonolewa na kocha Bakari Shime ‘Mchawi Mweusi’, kilifanikiwa kutwaa taji hilo kwa kuichapa Zambia mabao 2-1
Msafara wa timu hiyo umepokelewa uwanja wa ndege wa JNIA na viongozi waandamizi wa TFF

Hongera kinadada kwa kupeperusha vyema bendera ya Tanzania

OFFICIAL: Iñaki Williams amesaini Mkataba mpya wa Miaka Tisa (9) Kuendelea kuitumikia Klabu yake ya Athletic Bilbao… Sasa atadumu na Klabu hiyo ya @LaLiga Mpaka Mwaka wa 2028.
:
Kifungu chake Kama Klabu nyingine ikimtaka no €135m… @manchesterunited ilimuwekea mpango mkakati awe mbadala wa @romelulukaku aliyetimkia @inter.
#TransferNewsUpdate
@Sokawaytz

Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka katika klabu ya yanga ni kwamba leo majira ya saa 5 asubuhi kutakuwa na mkutano wa waandishi wa habari katika klabu ya yanga.mkutano huo unatarajiwa kufanyika makao makuu ya klabu ya yanga african majira ya saa tano hivyo wanahabari wote mnaalikwa kufika katika mkutano huo bila kukosa ili muweze kujua kilichojiri

klabu ya yanga african leo imeondoka jijini dar-es-salaam kuelekea arusha kwa ajili ya kujiandaa na kambi rasimi ya maandalizi ya mchezo wa klabu bingwa ambao unatarajiwa kupigwa
ikumbukwe mchezo wa kwanza uliochezwa katika uwanja wa taifa jijini dar-es-salaam kwa sare ya 1-1 ambapo township rollers ndio walikuwa wakwanza kuingiza goli katika nyavu za yanga afrika na baadae yanga kusawazisha dakika za mwisho
@habarizamichezo

.









Magazeti ya Michezo Leo

⚽ *Newcastle United vs Arsenal*
*Newcastle United*
1 Martin Dúbravka (Goalkeeper)
5 Fabian Schär (Defender)
6 Jamaal Lascelles (Defender)
3 Paul Dummett (Defender)
19 Javier Manquillo (Midfielder)
8 Jonjo Shelvey (Midfielder)
14 Isaac Hayden (Midfielder)
36 Sean Longstaff (Midfielder)
11 Matt Ritchie (Midfielder)
24 Miguel Almirón (Forward)
9 Joelinton (Forward)
*Arsenal*
1 Bernd Leno (Goalkeeper)
15 Ainsley Maitland-Niles (Defender)
21 Calum Chambers (Defender)
5 Sokratis (Defender)
18 Nacho Monreal (Defender)
29 Mattéo Guendouzi (Midfielder)
34 Granit Xhaka (Midfielder)
7 Henrikh Mkhitaryan (Midfielder)
28 Joseph Willock (Midfielder)
24 Reiss Nelson (Midfielder)
14 Pierre-Emerick Aubameyang (Forward
⚽ *Leicester City vs Wolverhampton Wanderers*
*Leicester City*
1 Kasper Schmeichel (Goalkeeper)
21 Ricardo Pereira (Defender)
6 Jonny Evans (Defender)
4 Çağlar Söyüncü (Defender)
3 Ben Chilwell (Defender)
25 Wilfred Ndidi (Midfielder)
17 Ayoze Pérez (Midfielder)
8 Youri Tielemans (Midfielder)
20 Hamza Choudhury (Midfielder)
10 James Maddison (Midfielder)
9 Jamie Vardy (Forward)
*Wolverhampton Wanderers*
11 Rui Patricio (Goalkeeper)
16 Conor Coady (Defender)
5 Ryan Bennett (Defender)
15 Willy Boly (Defender)
2 Matt Doherty (Midfielder)
32 Leander Dendoncker (Midfielder)
28 Joao Moutinho (Midfielder)
8 Ruben Neves (Midfielder)
19 Jonny Castro (Midfielder)
18 Diogo Jota (Forward)
9 Raul Jimenez (Forward)

– Timu ya Mpira wa Miguu ya Wanawake ya Tanzania 🇹🇿 “Tanzanite” imeweka Rekodi Mpya ya kuwa timu ya kwanza Katika Historia ya Michuano ya COSAFA, Kutwaa Ubingwa wa Michuano ya #COSAFAU20WC Kama taifa Mualikwa!.
.
– Wakina Dada hao, Wameitwanga Zambia 2-1 Katika Mechi ya Fainali Asubuhi ya Leo na Sasa Kombe Kombe linakuja Nyumbani Tanzania 🇹🇿, Hii ilikuwa ni game ya Kisasi kwani Zambia nao Walishinda 2-1 Katika mechi ya mwisho wakati timu hizi Mbili zilipo kutana hatua ya Makundi!.
#cosafacupU20Final #cosafacup
@Sokawaytz