
Meneja wa Newcastle Steve Bruce anakiri kuwa amekuwa akihangaikia juu ya hatima ya ndugu wawili Sean na Matty Longstaff,
..
.
Sean Longstaff, ambaye alikuwa akilengwa na Manchester United katika uhamisho majira ya joto, mkataba wake umesalia miaka miwili na nusu wakati mdogo wake Matty yuko nje ya mkataba mwishoni mwa msimu.
















