Mwakalebela asema si lazaima shabiki kuhamasishwa kuingia uwanjani

Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela amesema kwamba shabiki wa mpira hapaswi kushawishiwa zaidi kuingia uwanjani kama inavyoelezwa na baadhi ya wadau wa soka.

Mwakalebela amesema kwamba anaamini sababu kubwa ambayo inamfanya shabiki kuingia uwanjani ni hali yake yeye mwenyewe kwanza kuupenda mpira. “Labda nitoe wito kwa mashabiki, kwamba shabiki unapotakiwa kuingia uwanjani ni pasheni,unapozungumzia mpira ni pasheni kua wewe unaupenda mpira,kwa hiyo si kwamba lazima hadi ushawishiwe Sana ndio uingie uwanjani”amesema Mwakalebela.

Hata hivyo Mwakalebela amesema kwamba pia uongozi wa klabu hiyo upo kwenye harakati za kukiboresha kitengo cha idara ya Habar ili kiwe na timu kubwa ya utendaji kazi kwa manufaa ya klabu.
#TPLUpdates Via @daboten

Kikosi cha Azam FC charejea

Kikosi cha Azam FC kimesharejea jijini Dar es Salaam kikitokea nchini Ethiopia, ambapo kesho Jumatano asubuhi kitaanza maandalizi kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba.

Mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka nchini, utafanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii saa 1.00 usiku.

Mashabiki wataweza kuingia uwanjani kwa viingilio vya Sh. 5,000 kwa majukwaa ya mzunguko na wale wa majukwaa maalumu (V.I.P) watalipia Sh. 10,000.

#NgaoYaJamii

Kikosi cha Azam FC charejea

Kikosi cha Azam FC kimesharejea jijini Dar es Salaam kikitokea nchini Ethiopia, ambapo kesho Jumatano asubuhi kitaanza maandalizi kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba.

Mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka nchini, utafanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii saa 1.00 usiku.

Mashabiki wataweza kuingia uwanjani kwa viingilio vya Sh. 5,000 kwa majukwaa ya mzunguko na wale wa majukwaa maalumu (V.I.P) watalipia Sh. 10,000.

#NgaoYaJamii

MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE:.

:
Champions League – Qualification.
FT Qarabag FK 0 – 2 APOEL Nicosia
FT Rosenborg 3 – 1 Maribor
FT Dynamo Kyiv 3 – 3 Club Brugge
AET Koebenhavn 1 – 1 FK Crvena Zvezda *
FT Ferencvaros 0 – 4 Dinamo Zagreb
FT Ajax 3 – 2 PAOK Thessaloniki FC
FT LASK 3 – 1 Basel
FT Olympiacos 2 – 0 Basaksehir
FT Celtic 3 – 4 CFR Cluj
FT FC Porto 2 – 3 FC Krasnodar
.
– Europa League – Qualification.
FT Nomme JK Kalju 0 – 1 Dudelange
FT Linfield 3 – 2 Sutjeska
FT Dundalk FC 1 – 3 Slovan Bratislava
.
– England – EFL Cup.
AP Wimbledon 2 – 2 Milton *
FT Accrington 1 – 3 Sunderland
FT Barnsley 0 – 3 Carlisle United
FT Blackburn 3 – 2 Oldham
AP Blackpool 2 – 2 Macclesfield Town *
FT Bradford City 0 – 4 Preston
AP Brentford 1 – 1 Cambridge United *
FT Bristol Rovers 3 – 0 Cheltenham
AP Charlton 0 – 0 Forest Green Rovers *
FT Coventry City 4 – 1 Exeter City
AP Gillingham 2 – 2 Newport*
FT Grimsby Town 1 – 0 Doncaster Rovers
FT Huddersfield 0 – 1 Lincoln City
FT Luton Town 3 – 1 Ipswich Town
AP Mansfield Town 2 – 2 Morecambe * AP Middlesbrough 2 – 2 Crewe Alexandra *
FT N’gham Forest 1 – 0 Fleetwood
FT Oxford United 1 – 0 Peterborough
FT Port Vale 1 – 2 Burton Albion
AP QPR * 3 – 3 Bristol City
FT Rochdale 5 – 2 Bolton
FT Salford City 0 – 3 Leeds United
FT Scunthorpe United 0 – 1 Derby County
FT Stevenage 1 – 2 Southend United
FT Swansea City 3 – 1 Northampton
FT Tranmere 0 – 3 Hull City
FT Wigan Athletic 0 – 1 Stoke City
AP Wycombe 1 – 1 Reading *
FT West Brom 1 – 2 Millwall
.
– France – League Cup.
FT Lorient 1 – 2 Le Mans
FT AC Ajaccio 4 – 1 Valenciennes
AP Clermont Foot * 1 – 1 Le Havre
FT GFC Ajaccio 2 – 0 Chambly
FT Paris FC 2 – 1 Sochaux
FT Caen 0 – 1 Nancy
FT Orleans 4 – 1 Guingamp
FT Troyes 1 – 2 Lens
:.
RATIBA YA HII LEO JUMATANO:.
UEFA – Super Cup.
22:00 Liverpool
Chelsea
.
– Europa League – Qualifications.
19:00 Atromitos
Legia Warszawa
19:00 Saburtalo
Ararat Armenia
19:00 Vitoria de Guimaraes
Ventspils
.
– South Africa – Premier League.
20:30 Chippa United
Mamelodi Sundowns
20:30 Polokwane
Bidvest
20:30 SuperSport
Orlando Pirates
#fixtures #Updates
@Sokawaytz

Mfaransa wa Tottenham, aweka rekodi mpya

Kiungo wa Klabu ya Tottenham, Tanguy Ndombele amekuwa Ni Mchezaji wa 14 tofauti kwa Wachezaji kutoka Nchini Ufaransa 🇫🇷 kufunga Goli Katika Ligi kuu Nchini Uingereza, @premierleague, wikendi iliyopita alifunga goli Maridadi kabisa la kusawazisha dhidi ya Aston Villa!.

:
Wataje wengine 13 waliotangulia 😊😊
#PremierLeagueUpdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started