Kamata Matokeo Ya Soka Jana

:
👉TanzaniaFDL
FT Green Warriors 2-0 Sahare All Star
:
👉Italy – Serie A
FT Sampdoria 2 – 4 Napoli
:
👉Netherlands – Eerste Divisie
FT Jong Ajax 5 – 1 Go Ahead Eagles
FT Jong FC Utrecht 1 – 1 FC Dordrecht
:
👉International – Club Friendlies
FT Rubin Kazan 0 – 1 OB
FT FC Tambov 0 – 3 Slovacko
FT Oerebro 0 – 3 Viktoria Plzen
FT FC Orenburg 1 – 0 Esbjerg fB
:
👉Algeria – Ligue 1
FT CR Belouizdad 4 – 0 CA Bordj Bou Arreridj
:
👉Egypt – Premier League
FT Aswan FC 2 – 1 Ismaily SC
FT ENPPI 2 – 1 Al Mokawloon Al Arab
FT El Entag El Harby 0 – 0 Al-Ittihad Al-Sakandary
FT Smouha SC 1 – 1 Misr El-Maqasa
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kamata Ratiba Ya Soka Leo

:
👉VodacomPremierLeague
16:00 Jkt Tanzania vs Coastal Union
16:00 Simba Sc vs Polisi Tanzania
:
👉England – FA Cup
22:45 Birmingham City vs Coventry City
22:45 Cardiff City vs Reading
22:45 Derby County vs Northampton Town
22:45 Liverpool vs Shrewsbury Town 23:05 Oxford United vs Newcastle United
:
👉England – League 1
22:45 Tranmere Rovers vs Doncaster Rovers
:
👉Spain – Copa del Rey
23:00 Granada vs Valencia
:
👉Germany – DFB Cup
20:30 FC Kaiserslautern vs Fortuna Düsseldorf
20:30 Eintracht Frankfurt vs RasenBallsport Leipzig
22:45 Schalke 04 vs Hertha BSC
22:45 Werder Bremen vs Borussia Dortmund
:
👉France – Ligue 1
21:00 Monaco vs Angers
21:00 Lille vs Rennes
23:05 Nantes vs Paris Saint-Germain
:
👉International – Club Friendlies
17:00 Arsenal Tula vs Pribram
17:00 OB vs FK Radnik Surdulica
17:00 Stabaek vs Banik Ostrava
17:30 KF Shkendija vs Randers FC
17:30 Rapid Wien vs Maribor
17:00 Partizan Beograd vs FC Rostov
:
👉Algeria – Ligue 1
19:00 ES Setif vs USM Alger
:
👉Egypt – Premier League
18:00 El Gounah vs Wadi Degla FC
:
👉Portugal – Cup
22:15 Benfica vs Famalicao
23:45 Academico Viseu vs FC Porto
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Eliuter Mpepo afanikiwa kutwaa taji lake.LA.kwanza

Kombe la kwanza .
.
✍️ Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Eliuter Mpepo pamoja na Kitandu hii leo wakiwa na timu yao ya Costo do sol wamefanikiwa kutwaa Ngao Ya Jamii Baada ya kuifunga UD Songo kwa penati 7-6, mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1 ndani ya dakika 90′.
.
#Hongerakwenu @moses_kitandu_35 na @mpepoeleven
.
#bakinasisi__

#NjooKwetu
#TupoNawePaleUlipo

SAMATTA AOMBA WATANZANIA KUACHA MANENO YA KASHFA DHIDI YA ASTON VILLA

Nahodha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na Mshambuliaji wa Aston Villa Mbwana Samatta amesema, amesikitishwa na maneno yanayotolewa na Watanzania kwenye kurasa za klabu ya Aston Villa

Samatta amedai, kumekuwa na matusi pamoja na maneno ya kashfa katika kurasa za timu hiyo pamoja na zile za Wachezaji wenzake kutoka kwa mashabiki wanaolalamika kuwa Mchezaji huyo hapewi nafasi uwanjani

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Samatta ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufanya hivyo mitandaoni akisema kitendo hicho hakimfurahishi

Timu ya Aston Villa ilipata takriban wafuatiliaji 170,000 kwenye mtandao wa Instagram pekee baada ya Samatta kusajiliwa

Bent “Samatta ni mchezaji mzuri”

.
Darren Bent 🗣️“Sio kazi nyepesi kwenda juu na kipa halafu mshambuliaji ukawa mtu wa kwanza kuucheza mpira, halikuwa eneo zuri, lakini alifanya hivyo na kufunga, ni mchezaji mzuri kiukweli. Unajua pale kipa angeweza kusukuma kichwa chake, ni kawaida kwao kufanya hivyo kwa sabababu hulenga kuondosha mpira katika hatari. Anaweza kuendelea kufanya vizuri.” .
.
Darren Bent ni mshambuliaji wa zamani wa Aston Villa.
.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

LUC EYMAEL NA MABADILIKO NDANI YA YANGA

.
1935, aliezaliwa miaka hii na kama yu hai basi hana akaunti ya Instagram, ila DAR ES SALAAM YOUNG AFRICAN al-maarufu YANGA SC ndio mwaka ilizaliwa
.
Katika miaka yote, Yanga kama timu nyingine duniani zimekuwa na utamaduni wao wa jinsi wanaucheza mpira
.
Tangu hawajaitwa Yanga tangu kipindi kile wakiitwa New Youngs mpaka Navigation, wananchi wao soka lao ni la kasi kubwa na pasi ndefu, winga zitembee kwa kasi, kuna kipindi walijiita Italiano kwa mfanano wa style timu ya taifa ya Italy miaka ya 1930’s
.
Ila mpira unabadilika, sikuhizi mawinga sio lazima uwe winga tereza rafiki na kibendera, sikuizi mawinga si wa kupiga cross toka kona yenye pembe 90 degree kwenye kibendera baada ya mbio ndefu, sikuizi winga anaukata uwanja na kuingia kwenye 18, sikuhizi mashambulizi yanaanzia nyuma sio lazima goal kick ndefu box mpaka box kama zile za Peter Manyika
.
Yanga wanaamua kubadilika, kuifanya kila mechi ya Yanga iwe kama outing, watu wanaenda kuburudika
.
Aliwahi kuja Hans Van de Pluijm akaja na ile kampa kampa tena, ilikua ruksa kwenda na ugali uwanjani mboga tamu utaipata pale, kampa kampa tena tonge hiloo tumboni
.
Ila Papaa Mwinyi Zahera akataka kuwarudisha Yanga zama za Mtu Kwao, wananchi walioona poa tu sababu ni utamaduni na walikua wamezoea
.
Ila ujio wa Luc Eymael unaleta tena taswira ya soka la kisasa, naona Yanga inaanzia mashambulizi chini, Papa Tshishimbi kama chumvi kwenye supu, roho ya mfumo, anaendea mali kulia anaipa amri iende kushoto, Yanga wanautambaza, ila hawajaacha ile tamaduni yao kucheza kwa kasi
.
Yes, wanapiga pasi ila zatembea kwa kasi, fundi Benard Morison, uwii hafai huyu, kama tamaduni ya Yanga bwana wao lazima kuwe na winga tangu Mrisho Ngassa hadi Msuva, ila Morisson yule ni ball dancer, disco dancer, winga wa kisasa
.
Kocha Luc anatumia mifumo ya kisasa 4-2-3-1 na 4-3-3 kama plan A na 4-4-2 mliyoizoea kama plan B, safi tu ukienda ugenini unabadilisha tabia kidogo kidogo usije itwa mchwawi buree!
.
Napenda sana mabadiliko hasa kama ni mabadiliko chanya
.
Wananchi eh, mtori huoo fanyeni kuunywa tu, nyama ghafla zitakuja juu
.
Imeandikwa na @danirito_thomson
.
#yanga #wananchi
.
#sokaplaceUPDATES

TAARIFA KUHUSU WACHEZAJI WA SIMBA

Repost @simbasctanzania .
.

Shiza Kichuya – ITC ilitolewa na Shirikisho la Soka la Misri lakini baadae ikasitishwa. Kwasasa yanasubiriwa maamuzi ya Kamati ya Hadhi za Wachezaji ya FIFA kuhusu jambo hilo.

Luis Miquissone – ITC bado haijatolewa. Jambo hilo linafanyiwa kazi na FIFA. Majibu ya mwanzoni FIFA walihitaji maelezo zaidi na tuliwatumia Jumamosi iliyopita. Kwasasa yanasubiriwa maamuzi ya Kamati ya Hadhi za Wachezaji ya FIFA.

Design a site like this with WordPress.com
Get started