Man united yatupilia.mbali ofa ya inter Milan kwa Alex sunchez

Mazungumzo kati ya Manchester United na Inter Milan kuhusiana na uhamisho wa raia wa chile Alexis Sánchez yameingia dosari hii baada ya Manchester United kukataa ofa ya Inter. :

Inter walihitaji huduma za Sanchez kwa mkopo lakini wakiwa tayari kumlipa Sanchez nusu ya mshahara wake, kisha United ilipe nusu iliyobaki.jambo lililopelekea manchester united kukata ofa hiyo ya inter milan.kwa alex Sanchez…..

Sunchez amekua ni.mchezaji ambae apati. Nafasi katika kikosi cha manchester united chini ya walimu wakw ole guna sosha kwa muda mrefu jambo ambalo linamfanya Alex sunchez kuhitaji kuondoka klabuni hapo nakutafuta changamoto nyingine katika vilabu vingine

TFF yagoma kusogeza mchezo wa yanga mbele

Afisa mtendaji mkuu wa bodi.ya ligi boniphace wambula…amesema kuwa hawatoweza kubadirisha ratiba ya ligi.kuu kwani imekisha toka na inatakiwa itekelezwe kama ilivyopanya

“Yanga walituandikia barua kutuomba tusogeze mchezo wao wa ligi kuu mbele dhidi ya ruvu shooting..sisi tumewajibu kuwa hatuto badilisha ratiba ya mchezo wowote ule wa ligi kuu…wao wanasema wanacheza agosti 24 hivyo wanamda mfupi wa kujianda lakini sisi ratiba yetu tulishaitoa”

Yanga itacheza mchezo wa marudiano klabu bingwa afrika agosti 24 na township rollers nchin botswana na kurejea tanzania kucheza mchezo wa kawanza wa ligi kuu. Tanzania bara agisti 28 dhidi ya ruvu shooting katika uwanja wa taifa

PSG wapiga chini.ofa ya Real Madrid kwa Neymar

Klabu ya PSG imekataa ofa ya Euro milion 100 pamoja na wachezaji wa Tatu iliyotolewa na klabu ya Real Madrid kwaajili ya kutaka kumsajili Neymar Jr….

Neymar ambaye anataka kuondoka katika klabu ya PSG mpaka sasa hakuna clabu ambayo imekubaliwa ofa yake na PSG kwa ajili ya kunasa neymar ambaye bado.anamkata na klabu ya PSG…Licha ya vilabu mbalimbali kuendelea.kutoa ofa mbali mblai kwaajili ya kumnasa nyota huyo mbrazil kwa garama.kubwa

Ikumbukwa neymar alikwenda PSG akitokea katika klabu ya fc barcelona ambapo neymar anahusishwa kurudi klabuni hapo

fukuza fukuza makocha timu za taifa yaendelea …tunisia wamuondosha wakwao

Aliyekua kocha mkuu wa timu ya taifa ya tunisia Alain Giresse raia wa ufaransa amefutwa kazi katika timu hiyo.

fukuza fukuza hii ya makocha ..ialianza baada ya baadhi ya timu.kubwa kutolewa katika mashindano ya #AFCON yaliyofanyika nchini misri mwaka huu…hii ni baada ya baadhi ya mataifa makubwa kuondoshwa katika mshindano haya..

Wenyeji misri ndio walikua wa kwanza kumfukuza kocha wao…mara tu baada ya mchezo wao dhidi afrika kusini..kwa kufungwa goli moja ..kisha kufuatiwa na mataifa mengine katika fukuza fukuza ya makocha

Baadhi ya mataifa yaliyofukuza makocha baada ya afcon. Misri. Tanzania. Uganda kenya. Tunisia na morocco

Shiboub…kawa habari ya mjini kwa sasa

Utawaambia nini mashabiki wa Simba kama kiungo wao Msudan Sharif Shiboub, yuko kwenye kikosi cha kwanza akishika dimba la katikati.

Huduma anayoitoa tangu ametua klabuni hapo inawapa mzuka na sasa mabao yake mawili kwenye ushindi wa 4-2 dhidi ya Azam, ndio umewafanya kushangilia kila anaposhika mpira.

Kiwango chake kwa sasa kimekuwa mjadala mkubwa na baadhi ya wachambuzi wa soka wanamuona Shiboub kama anakwenda kumfunika Mwamba wa Lusaka, Clatous Chotta Chama.

Mchambuzi mahiri wa soka, Ally Mayay amesema licha ya kuwa ni mapema sana kumpa Shiboub asilimia 100, lakini ni aina ya viungo wanaotakiwa katika soka la sasa.

Alisema uwezo na ubora aliounyesha kwenye mchezo dhidi ya Azam kimedhihirisha kwamba, anaweza kumfunika Chama kama ataendelea kucheza kwa kiwango hicho kwa muda mrefu.

“Sababu za kusema Shiboub amemzidi Chama kwa ubunifu, ni kuwa kwenye mchezo na Azam alionekana kila mahali anapostahili kuwepo. Alikuwa na jukumu la kukaba, kuchezesha timu na bado akafunga mabao mawili mambo ambayo Chama hawezi kuyafanya kwa wakati mmoja uwanjani,” Mayay aliliambia gazeti la Mwanaspoti

“Amecheza zaidi ya asilimia 90 na ndio kwanza anaanza kuonekana mbele ya Watanzania, hivyo tunategemea kuona ufundi mwingi kutoka kwake. Lakini, jambo la msingi asije kubweteka na kujiona amemaliza kazi, mambo ndio kwanza yanaanza”

Naye mchezaji wa zamani wa Simba, Zamoyoni Mogella alisema ameona alichokifanya Shiboub dhidi ya Azam FC, lakini akataka apewe muda zaidi kwa kuwa, kuna wachezaji wengine wana homa za vipindi.

“Nampa mechi tano zaidi na akiendelea kwa staili na kasi hiyo hiyo basi atakuwa kiboko. Ni mbunifu wa hali ya juu lakini, suala la kujiuliza ni kwamba ataendelea hivyo kwa muda mrefu? Wapo wengi walioanza kama yeye lakini, baadaye wakapotea kabisa” alisema.

Kwa upande wa Ulimboka Mwakingwe alisema Shiboub ameonyesha cheche ambazo zinatoa taswira ya nini amekuja kukifanya kwenye Ligi Kuu Bara, ingawa naye amempa muda zaidi.

“Soka la kisasa ni lile ambalo mchezaji anaweza akafanya vitu vingi kwa wakati mmoja, ndicho nilikiona kwa Shiboub ambaye aliziba hata makosa ya wengine.

“Kajiongeza kufunga si jambo dogo hilo ila swali ni je ataendeleza cheche zake, akiendeleza basi atakuwa stori ya mjini”

Mwanaspoti

Historia ya kelvin.john

KARIBU KATIKA MTU KATI LEO TUPO Kelvin John Mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars

Swali
Majina yako tafadhali :
Naitwa kelvin Pius John nimezaliawa Morogoro katika famila yetu mimi ni mtoto wa kwanza katika familia yetu kwa sasa tunaishi mjini Morogoro.
:
Swali
Tupo historia yako kiufupi ya kuhusu soka lini ulianza kucheza mpira ?
:
Jibu
Nilianza kucheza soka nikiwa shure ya msingi mwere mkoani Morogoro
:
Swali
Safari yako ya mpira ilianzia wapi mpaka ukafika katika timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 serengeti boys ?
:
Jibu
Safali yangu ilianza kwenye mashindano ya umitashumta Taifa mashindano yalifanyikia Jijini Mwanza ndipo nikachaguliwa katika timu ya taifa u17
:
Swali
Kila mtu anakufahamu kuanzia siku ya kwanza ulipoanza kuichezea serengeti boys kitu kipi ambacho hutakisahau katika safari yako mpaka siku ulipoitwa katika timu ya vijana u17
:
Jibu
Kelivin john anasema “Kitu nisicho sahau nilikuwa nakosa nauli ya kwenda mazoezini ikanilazimu nitembee mpaka mazoezn kwenda na kuludi kwa mguu inaweza kuchukua lisaa limoja kufika mazoezini kwani nilikosa mtu wa kuweza kunipa nauli.
:
Swali
Tuendelea Kelvin John Baada ya kucheza kwa mafanikio katika kikosi cha Serengeti boys kulikua na ofa nyingi sana zilizo kuhusu vip zimeishia wapi mpaka hii leo ?
:
Jibu
Kila kitu kinakwenda kwa mipango mpaka sasahivi mipango inaendelea vzr ya mim kwenda nje ya Nchini.
:
Swali
Kwa sasa unafanya wapi mazoezi ya kulinda kipaji chako ?
:
Jibu
:
Kuna Kocha ambaye huwa anaifundisha mazoezi na mwenyewe huwa naenda Gym kujiweka sawa.
:
Swali
Mchezaji gani kwa sasa anayekuvutia nchini Tanzania ?
:
Jibu
Mchezaji anaenivutia kwa sasa nchini Tanzania ni John Boco Mchezaji wa klabu ya simba
:
Swali
Kumekua na sintofahamu juu ya wachezaji wengi wa KITANZANIA wanaoenda kucheza soka nje ya nchi kutokudumu katika vilabu vyao na kurudi tena nchini kucheza katika vilabu vya ndani unazani wachezaji wa KITANZANIA wanafeli wapi ?
:
Jibu
Inategemea na makubaliano ya pande zote mbili kama hawajaelewana vile mchezaji anavyo taka hupelekea mchezaji kuludi kucheza nyumbani.

SEHEMU YAMWISHO YA MTU KATI NA KELVIN PIUS JOHN.

Swali
Ukimaliza maisha yako ya soka Unatamani kuja kuwa nani ?
:
Jibu
Kuwa mfanyabiashara mkubwa pamoja na kuwekeza katika mpira.
:
Wewe ni kijana mdogo na una muda mrefu bado wa kucheza soka je unafikiri ipo siku utacheza moja ya klabu za simba na yanga
Swali hili limeulizwa na Danvictor Loth.
:
Jibu
Malengo Yangu kwa sasa ni kucheza soka la kilipwa nje ya nchi na sihapa nyumbani.
:
Swali
Kwa hapa Bongo wewe ni shabiki wa klabu gani na nje ya nchini wewe ni shabiki wa klabu gani ?
:
Jibu
Kwa hapa Tanzania sina timu ninayoishabikia zaidi ya timu yangu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.
:
Swali
Unazani Msimu wa ligi kuu Tanzania bara utakapo malizika top 4 itakuaje ?

Jibu
Kwa haraka haraka Mambo yatakua hivi
1 Simba Sc
2 Azam Fc
3 KMC Fc
4 Yanga Sc :
Swali
Ukipa nafasi ya kukutana na mh Mwakyembe utamwambia jambo gani ?

Jibu
No Comment hili swala litakua private siwezi sema hapa.
:
Swali
Kwa sasa bado unasoma au umeacha ?
:
Jibu
Bado nasoma kwa sasa nasoma kidato cha tatu katika shule ya Mwanza center Open school.

Asante kwa kuwa nasi katika kipindi hichi cha mtu kati Ndugu Kelvin John
Imeandaliwa na @officialchristz pamoja @danvictor76
Powered by @bikotanzania
Tags @kelvin.p.john

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO + RATIBA YA SOKA LEO.

UefaChampionsLeagueQualification
FT Dinamo Zagreb 2 – 0 Rosenborg
FT Olympiacos 4 – 0 FC Krasnodar
FT Young Boys 2 – 2 FK Crvena Zvezda

#EnglandChampionship
FT Cardiff City 2 – 1 Huddersfield Town
FT Charlton Athletic 1 – 1 Nottingham Forest
FT Fulham 4 – 0 Millwall
FT Leeds United 1 – 0 Brentford
FT Preston North End 3 – 1 Stoke City
FT Queens Park Rangers 1 – 3 Swansea City
FT West Bromwich Albion 1 – 1 Reading
KAMATA RATIBA YA SOKA LEO
#EuropaLeagueQualification
17:00 FC Astana vs BATE Borisov
18:00 Ararat Armenia vs F91 Dudelange 20:00 Malmoe FF vs Bnei Yehuda Tel Aviv
20:00 Suduva vs Ferencvaros
20:30 Feyenoord vs Hapoel Beer Sheva 20:30 Ludogorets Razgrad vs Maribor 20:45 FC Koebenhavn vs Riga FC
21:00 AEK Athens vs Trabzonspor
21:00 Legia Warszawa vs Rangers
21:30 AZ Alkmaar vs Royal Antwerp ?21:30 FC FCSB vs Vitoria de Guimaraes
21:30 Gent vs Rijeka
21:30 PSV Eindhoven vs Apollon Limassol
21:30 Strasbourg vs Eintracht Frankfurt
21:45 SC Braga vs Spartak Moscow
21:45 Celtic vs AIK
21:45 Linfield vs Qarabag FK
22:00 RCD Espanyol vs Zorya Luhansk 22:00 Partizan Beograd vs Molde
22:00 Slovan Bratislava vs PAOK Thessaloniki FC
22:00 Torino vs Wolverhampton Wanderers

Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

Niyonzima asema hakuna timu yakuifunga simba tanzania

Kiungo wa AS Kigali Haruna Niyonzima amesema anaamini Simba itaifunga UD Songo Jumapili na kusonga mbele hatua inayofuata michuano ya ligi ya mabingwa harani Afrika

Niyonzima aliyetembelea mazoezi ya Simba leo, amesema msimu uliopita walijiwekea malengo kuwa hakuna kupoteza mchezo nyumbani

“Sisi msimu uliopita tulijiwekea malengo kuwa hakuna kufungwa mchezo wowote nyumbani na tulifanikiwa,” amesema

“Kama Simba bado ina morali ileile nafikiri hakuna timu itaweza kuwafunga hapa Tanzania”

“Muhimu ni mashabiki wajitokeze kwa wingi kwenda kuipa sapoti timu yao kama walivyofanya mwaka jana”

Niyonzima yuko nchini na timu ya AS Kigali ambayo Ijumaa itacheza na KMC kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho

Design a site like this with WordPress.com
Get started