Simba kurejea kesho mzigoni

Kikosi cha Simba kesho kitarejea mazoezini kujiwinda na mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ambao utapigwa Alhamisi kwenye uwanja wa Uhuru

Benchi la ufundi liliwapa wachezaji hao mapumziko ya siku moja baada ya mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa ambao ulimalizika kwa sare ya bao 1-1

Mabingwa hao wa Tanzania bara wanahitaji kusahau machungu ya mchezo huo na kuhakikisha wanaanza vyema kampeni ya kutetea ubingwa wao kwa msimu wa tatu mfululizo

Meneja wa Watford…atimuliwa kazi.baada yakufanya vibaya

✍️ Javi Gracia anapambana kuokoa kazi yake Kama kocha mkuu wa Klabu ya Watford, na meneja huyo anaweza katimuliwa katika Nafasi yake hiyo kama hatoshinda mechi ijayo ya Premier league dhidi ya Newcastle.
:
✍️ Gracia alisaini mkataba mpya Kuendelea kufundisha klabu hiyo baada ya msimu uliopita kumalizika, lakini fomu mbaya ya the Hornets tangu kuanza msimu huu imewafanya Mabosi wa Klabu hiyo Kumpa mechi za kujitathimini Kocha wao huyo… Watford imepokea vipigo vitatu mfululizo vya Premier league tangu kuanza msimu huu hawajashinda, 3-0 v Brighton, 3-1 v West Ham, 1-0 v Everton.
:
✍️ Hata kama Watford wataipiga Newcastle, msimamo wa Gracia umewekwa kutathminiwa wakati wa mapumziko ya Kimataifa, ambapo Uongozi kumpa michezo sita kuonyesha uhai wa Klabu hiyo kufanya vema, Baada ya Kucheza game dhidi ya Newcastle, Watford watacheza dhidi ya Arsenal, Manchester City, Wolves, Sheffield United, Tottenham, Bournemouth na Kisha Chelsea…. Atapona huyu?! 😬😊😅😅😅.
@habarizamichezo

PSG yawambia real.madrid wamuongeze Vinicius Jr. Katika ofa ya neymar

Paris Saint-Germain wamesisitiza Kuwa, Vinicius Jr. kuingizwa katika ofa yoyote ya Real Madrid Ikiwa watataka kumsajili, Neymar, na hawatafanya Mazungumzo yoyote na Madrid Ikiwa kinda huyo wa Kibrazil hatojumuhishwa!.
:
– Mabingwa hao wa Ligue 1 wamekuwa wakivutiwa na Vinicius kwa muda mrefu, hata kabla ya kuwasili kwa Leonardo kama mkurugenzi wa michezo, PSG wameuliza upatikanaji wa kijana huyo wa Brazil mara tatu, na alikataliwa na Real Madrid hawataki kumjumuisha kwa sasa licha ya Madrid Mchezaji huyo anahitajika na miamba hao wa Paris!.
#TransferNewsUpdate #Updates
@Sokawaytz

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATATU NA RATIBA YA HII LEO.

Italy – Serie A.
FT Inter 4 – 0 Lecce
.
– Asia – Champions League:: play-off.
FT AL Nassr FC 2 – 1 Al-Sadd
:
RATIBA YA HII LEO JUMANNE!.
– Champions League – Qualification.
22:00 FC Krasnodar
Olympiacos
22:00 FK Crvena Zvezda
Young Boys
22:00 Rosenborg
Dinamo Zagreb
.
– England – EFL Cup.
21:45 Bristol Rovers
Brighton & Hove Albion
21:45 Burton Albion
Morecambe
21:45 Cardiff City
Luton Town
21:45 Crawley Town
Norwich City
21:45 Crewe Alexandra
Aston Villa
21:45 Crystal Palace
Colchester United
21:45 Fulham
Southampton
21:45 Grimsby Town
Macclesfield Town
21:45 Leeds United
Stoke City
21:45 Newport County
West Ham United
21:45 Nottingham Forest
Derby County
21:45 Oxford United
Millwall
21:45 Plymouth Argyle
Reading
21:45 Preston North End
Hull City
21:45 Rochdale
Carlisle United
21:45 Sheffield United
Blackburn Rovers
21:45 Southend United
Milton Keynes Dons
21:45 Watford
Coventry City
.
– France – Ligue 1.
20:00 Montpellier
Lyon
.
– France – League Cup.
19:45 Nancy
AC Ajaccio
21:00 Niort
Grenoble
21:00 Bourg en Bresse Peronnas
AS Beziers
21:00 GFC Ajaccio
Paris FC
21:00 Le Mans
Orleans
22:05 Lens
Clermont Foot
.
– Tanzania – Ligi Kuu Bara.
16:00 KMC FC
Azam FC
.
– South Africa – Premier League.
20:30 Cape Town City FC
Kaizer Chiefs
20:30 Highlands Park FC
Amazulu Durban
.
– International – Club Friendlies.
19:30 TSV Meerbusch
Fortuna Düsseldorf
21:00 Heracles
HHC
#updates #fixtures
@Sokawaytz

Mohammed hussein-Ayakubali matokeo

Nahodha msaidizi wa Simba Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema wameyakubali matokeo ya kuondoshwa michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo kwani ndio mpira ulivyo

Zimbwe Jr maarufu zaidi kama ‘Tshabalala’, amesema walifanya jitidaha kupata ushindi lakini bahati haikuwa yao

“Tulipambana ili tuweze kushinda lakini bahati haikuwa upande wetu,” amesema

“hatuna namna, inabidi tujipange na michuano inayokuja mbele yetu”

Baada ya kuingia kuchukua nafasi ya Gadiel Michael kwenye dakka ya 77, Tshabalala aliongeza kasi ya mashambulizi ya Simba kuelekea lango la UD Songo

Mashabiki wengi wa Simba walitaraji Tshabalala angeanzishwa upande wa kushoto hata hivyo ulikuwa uamuzi wa kocha Patrick Aussems kuanza na Gadiel

Haji manara kuongea na waandishi wa habari hapo kesho

Msemaji wa klabu ya simba school @hajismanara
Kesho Jumanne tarehe 27/8/2019 Saa sita kamili mchana,Kwenye hoteli ya nyota tano ya Serena iliyopo hapa jijini Dar es Salaam,nitaongea na Wanahabari za michezo,
Mkutano huo utafanyika Kwenye ukumbi wa kivukoni three uliopo ndani ya hoteli hiyo
Mkutano huo utarushwa live na @azamtvtz kupitia Azam sports two na pia Kwenye Page zangu za Social Media
Karibuni

Haji manara kuongea na waandishi wa habari hapo kesho

Msemaji wa klabu ya simba school @hajismanara
Kesho Jumanne tarehe 27/8/2019 Saa sita kamili mchana,Kwenye hoteli ya nyota tano ya Serena iliyopo hapa jijini Dar es Salaam,nitaongea na Wanahabari za michezo,
Mkutano huo utafanyika Kwenye ukumbi wa kivukoni three uliopo ndani ya hoteli hiyo
Mkutano huo utarushwa live na @azamtvtz kupitia Azam sports two na pia Kwenye Page zangu za Social Media
Karibuni

Design a site like this with WordPress.com
Get started