Safari kuelekea qatar.2022 yaanza …taifa stars kuingia kambini leo

Safari ya kuelekea Qatar 2022 ndio inaanza sasa, timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kuingia kambini leo kwa ajili ya maandalizi ya maandalizi ya mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya Burundi.

Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao amesema wameshakamilisha taratibu zote za maandalizi kuelekea mchezo huo.
:
“Burundi wote tunaifahamu ni miongoni mwa timu bora kwenye ukanda wetu na tumeona inavyocheza lakini sisi tunaamini tuna timu bora vilevile tunawachezaji bora.”
:
“Kikubwa tunahitaji support, TFF pekeyake haiwezi, waandishi wa habari pekeyao hawawezi, serikali pekeyake haiwezi. Tunahitaji nguvu za pamoja.”
:
“Sisi TFF tumeshaanza maandalizi ya mechi hii kwa muda tunashirikiana na serikali na ubalozi wetu ulioko nchini Burundi kuhakikisha mambo yote ya kiutawala na kufanya vijana wawe kwenye mazingira mazuri kwa ajili ya kucheza mpira tumeanza kuyafanya.”
:
“Wachezaji wote wanaocheza nje walioitwa tayari tumewatumia tiketi na wengine wameshaanza safari ya kuja. Wachezaji wataingia kambini August 28 (leo) lakini wachezaji wa Simba baada ya mchezo wao wa August 29 moja kwa moja wataingia kambini.”

Barcelona -Arturo Vidal haondoki bado ni sehemu ya kikosi chetu

Arturo Vidal Ni miongoni mwa Wachezaji wanaowindwa na Klabu ya Marseille, wakati huo huo Barça imepanga kumbakiza ndani ya kikosi Chao.
.
– Kiungo huyo wa Kimataifa wa Chile, pia anatajwa Kuwaniwa na Klabu ya Inter Milan, na vijana vingine tofauti vya Serie A Msimu Huu.
.
– Kocha Mkuu wa FC Barcelona, Ernesto Valverde amethibitisha Kuwa hana na Wala hafikirii mpango wa kumpoteza Vidal ndani ya timu Yake, lakini Marseille itajaribu Kama wataweza kumnasa Kiungo huyo wa zamani wa Juventus na Bayern Munich!.
#TransferNewsUpdate
@Sokawaytz

Chelsea. Kumuongeza donge nono winga wake Tammy Abraham…

– Chelsea wako tayari kumpa Mshambuliaji, Tammy Abraham mkataba mpya ambao utazidisha mshahara wake mara mbili na anavyo lipwa kwa Sasa, kwa mujibu wa Telegraph.
.
– Mshambuliaji huyo, aliyefunga mabao yake mawili ya kwanza ya Ligi ya Premier, Th Blues ikishinda dhidi ya Norwich, mshahara wake unaweza ukaongezeka hadi karibu Kufikia £100,000 kwa wiki.
.
– Mpango huo Ni kwwmba Chelsea inatarajia kumpa Abraham Mkataba kwa miaka Miwili, wakati mkataba wake wa sasa inatarajia kumalizika mnamo 2022.
#chelsea #TransfersNews
@Sokawaytz

Zaera awambia wachezaji wake…kazi yenu.inaanza leo

Leo agosti 28 mabingwa wa kihistoria klabu ya yang african wanashuka dimbani kuwakabili ruvu shooting katika mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu soka tanzania …..mchezo unaotarajiwa kupigwa majira ya saa 1:00 jioni katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaamKuelekea mchezo wa leo dhidi ya Ruvu shooting kocha mkuu wa wanajangwani Mwinyi zahera amesema amewambia wachezaji wake kuwa mchezo wa leo utakua mgumu mno kwao huku akiwambia kazi iliyowaleta itaanza leo hivyo wataingia kwa tahadhari kubwa Sana ili kuanza vyema kuwania taji la ligi kuu Tanzania bara…….kila raheli wananchi mnapokua mnajiandaa na mchezo wenuNimewaambia wachezaji wote wapya kwamba hakuna hata siku moja Yanga inacheza mechi nyepesi, mechi zote ni ngumu”-Zahera Mwinyi, kocha Yanga.
:
“Wachezaji wote ambao hawakupata leseni za kucheza mechi za CAF wote watakuwa na nafasi ya kucheza ligi. Wachezaji wote wako vizuri.”@habarizamichezo

Rasmi leo sanchez kutua Inter milan

Alexis Sanchez hiii leo anatarajia kuwasili Jijini Milan nchini Italia kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Klabu ya Inter Milan kwa mkopo akitokea Manchester United.
.
– Mkopo huu unatarajia Kuwa Ni wa kawaida bila kuwepo na Makubaliano ya kuuziana Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Chile 🇨🇱, Mkataba wa Sanchez na Inter unafikia tamati Juni 2020, Inter pia watalipa €5m Kati ya €12m sehemu ya Mshahara wa Nyota huyo wa zamani wa Arsenal.

#AlexisSanchez #Inter #manchesterunited
@Sokawaytz

KMC yaanza vibaya ligi kuu tanzania

Klabu ya KMC jana imepoteza mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu soka tanzania bara baada ya kufungwa bao moja.kwa bila.na Azam fc ..mchaezo.uliopigwa uwanja wa taifa jijini dar es salaam ma goli la.azam likifungwa na mchezaji wao machachari Iddy nadoIkubukwe KMC waliweza.kupoteza mchezo wao wa kombe la.shirikisho dhidi ya As kigali.ya rwanda na kuondoshwa katika mashindano hayo ya shirikisho barani afrika..ikiwa ni timu ya kwanza kutoka afrika kutoka tanzania kuanza kuyaaga mashindano hayo makubwa afrika

@habarizamichezo

GOR Mahia yasitisha mkataba na mfungaji wote wa harambe stars

Mabingwa wa Ligi Kuu Nchini Kenya, Klabu ya GOR Mahia Imethibitisha kusitisha Mkataba wa Mshambuliaji wao, Dennis Oliech Mwenye Umri wa Miaka 34, inatajwa Kuwa Mfungaji Bora huyo wa Muda wote wa Harambee Stars amekuwa na matukio makubwa ya uovu yasiyoisha.
.
– Oliech Alijiunga Rasmi na miamba hao January 2 Mwaka huu akitokea kukipiga Katika Klabu ya Dubai Cultural SC… Alisaini Mkataba wa Miaka Miwili na kumfanya Kuwa Mchezaji anaelipwa mkwanja mrefu Zaidi ndani ya Kenya, akipokea KShs 350,000 (Tshs 7M).
#TransferNewsUpdate #KPL
@Sokawaytz

MATOKEO YA MICHEZO JANA NA RATIBA YA LEO

RATIBA YA LEO
#VodacomPrimierLeague
16:00 Yanga Sc vs Ruvu Shooting
:
#ChampionsLeagueQualification
22:00 Ajax vs APOEL Nicosia
22:00 Club Brugge vs LASK
22:00 Slavia Prague vs CFR Cluj
:
#EnglandEFLCup
21:45 AFC Bournemouth vs Forest Green Rovers
21:45 Burnley vs Sunderland
21:45 Lincoln City vs Everton
21:45 Newcastle United vs Leicester City
21:45 Queens Park Rangers vs Portsmouth
21:45 Rotherham United vs Sheffield Wednesday
21:45 Swansea City vs Cambridge United
:
#FranceLigue1
20:00 Lille vs Saint-Etienne
:
#EgyptCup
21:00 El Zamalek vs Misr El-Maqasa
:
#SouthAfricaPremierLeague
20:03 Baroka FC vs SuperSport United
20:30 Bidvest Wits vs Stellenbosch FC
20:30 Bloemfontein Celtic vs Mamelodi Sundowns FC
20:30 Chippa United FC vs Polokwane City
20:30 Maritzburg United vs Black Leopards
20:30 Orlando Pirates vs Lamontville Golden Arr
:
#TunisiaLigueI
18:30 AS Slimane vs US Tataouine
18:30 CS Hammam-Lif vs Club Africain
18:30 Stade Tunisien vs Sportif de Chebba
:
MATOKEO YA SOKA JANA
#VodacomPrimierLeague
FT KMC 0-1 Azam FC
:
#UefaChampionsLeagueQualification
FT FC Krasnodar 1 – 2 Olympiacos
FT FK Crvena Zvezda 1 – 1 Young Boys
FT Rosenborg 1 – 1 Dinamo Zagreb
:
#FranceLigue1
FT Montpellier 1 – 0 Lyon
:
#SouthAfricaPremierLeague
FT Cape Town City FC 1 – 2 Kaizer Chiefs
FT Highlands Park 2 – 1 Amazulu Durban
:
Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

Design a site like this with WordPress.com
Get started