RATIBA YA SOKA LEO :

#EUROQualification
16:00 Kosovo vs Czech Republic
19:00 England vs Bulgaria
19:00 Lithuania vs Ukraine
21:45 Serbia vs Portugal
19:00 Iceland vs Moldova
21:45 France vs Albania
21:45 Turkey vs Andorra
:
#WorldCupCAFQualification
17:00 Botswana vs Malawi
:
#NetherlandsEersteDivisie
19:30 FC Dordrecht vs MVV Maastricht
19:30 Telstar vs Cambuur
21:45 Go Ahead Eaglesvs Excelsior
:
#TanzaniaFriendlyMatch
16:00 Pamba SC vs Yanga SC :
Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

MATOKEO YA SOKA JANA IJUMAA +

#EUROQualification
FT Estonia 1 – 2 Belarus
FT Germany 2 – 4 Netherlands
FT Slovakia 0 – 4 Croatia
FT Wales 2 – 1 Azerbaijan
FT Austria 6 – 0 Latvia
FT Slovenia 2 – 0 Poland
FT Cyprus 1 – 1 Kazakhstan
FT San Marino 0 – 4 Belgium
FT Scotland 1 – 2 Russia
:
#WorldCupCAFQualification
FT Comoros 1 – 1 Togo
FT Gambia 0 – 1 Angola
:
#InternationalFriendlies
FT Chile 0 – 0 Argentina
FT Ivory Coast 1 – 2 Benin
September 7
FT Tunisia 1 – 0 Mauritania
FT Morocco 1 – 1 Burkina Faso
:
#InternationalClubFriendlies
FT Celta Vigo 1 – 1 Famalicao
FT Hartberg 1 – 2 Inter Zapresic
FT Udinese 2 – 0 Pordenone Calcio
FT Energie Cottbus 0 – 5 Borussia Dortmund
FT Verona 1 – 2 Olimpija Ljubljan
FT Admira Moedling 3 – 0 Amstetten
FT ASK Mannersdorf 0 – 8 Austria Wien
FT Benfica 3 – 2 Estoril
FT Schalke 04 2 – 4 Viktoria Koeln 1904
:

Simba yaanza mazoezi leo

Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Simba kinarejea mazoezini leo kuendelea na maandalizi ya ligi kuu ya Vodacom

Septemba 17 Simba itashuka uwanja wa Uhuru kuumana na Mtibwa Sugar

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alitumia mapumziko hayo kutembelea hifadhi ya Taifa ya Serengeti, akiwa na mkewe

Mbelgiji huyo leo anatarajiwa kuendelea na majukumu ya kukinoa kikosi chake

Simba inawakosa karibu nusu ya wachezaji wake ambao wanakabiliwa na majukumu ya timu za Taifa huku wengine wakiwa majeruhi

MATOLA: STARS INAPIGA SOKA LA KUELEWEKA

Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Suleiman Matola amesema kwa sasa kikosi chake kinacheza soka la kueleweka na wachezaji hawana papara.

Kocha huyo wa timu ya Polisi Tanzania amesema kwa sasa timu hiyo imepiga hatua kubwa kiuchezaji ingawa kuna mapungufu madogo madogo ambayo yeye na wenzake wanayafanyia kazi.

Akizungumzia kuhusu mechi ya kwanza ya kufuzu fainali za kombe la dunia ugenini jana dhidi ya Burundi iliyomalizika kwa sare ya bao moja Matola alisema “nawapongeza wacheza kwa kupambana hadi dakika ya mwisho, wenzetu walipata bao la kwanza lakini sisi hatukukata tamaa tukasawazisha muda mfupi baadae. “Kwa sasa tunahitaji sapoti kubwa ya Watanzania siku ya Jumapili katika mechi ya marudiano, tunahitaji kuujaza uwanja kama walivyofanya wenzetu jana.

Nahodha huyo wazamani wa timu ya Simba amekiri kuwa ana matumaini makubwa ya kuvuka hatua inayofuata kwani uwezekano wa kupata ushindi nyumbani ni mkubwa.

#wapendasokaupdates

Shinji Okazaki apata klabu mpya

✍️ DONE DEAL: Klabu ya @SDHuesca Imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Japan, Shinji Okazaki kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja na Kipengele Cha Kuongeza mwaka zaidi, Kasajiliwa Kama Mchezaji Huru.
.
✍️ Nyota huyo mwenye umri wa Miaka 33, Aliitumikia Klabu ya Leicester City ambayo aliachana nayo kabla ya kuanza kwa Msimu Huu, Baada ya kuondoka Leicester City, Shinji Okazaki Alisajiliwa na Malaga ambapo alidumu kwa siku 34 TU Kwani katika Bajeti ya Malaga Walishindwa kumlipa Mshahara, hakucheza Mechi hata Moja katika michezo mitatu waliyocheza Malaga!.
.
✍🏻 Okazaki alishinda Ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza akiwa na Leicester mnamo mwaka 2016 na aliondoka msimu huu wa joto baada ya kufunga mabao 19 katika michezo 137.
#TransferNewsUpdate #TransfersNews
@Harunlugoyah

Taifa stars kuwasili leo tanzania

Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinatarajiwa kuwasili Dar Es Salaam leo saa 11:35 jioni kwa ndege ya Air Tanzania kikitokea nchini Burundi ambako kilienda Kucheza game ya Mkondo wa kwanza ya kuwania Kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2022 na Kutoka Sare ya kufungana Goli 1-1… welcome home 🇹🇿!.
#TaifaStars

Design a site like this with WordPress.com
Get started