
DEAL DONE!. Kiungo wa Kimataifa wa Uganda πΊπ¬, Allan Kateregga amekamilisha Usajili wake wa kujiunga na Klabu ya Erbil Sport Club Kama mchezaji Huru, Klabu Yake hiyo mpya inashiriki Ligi Kuu Nchini Iraq.
.
– Msimu uliopita, nyota huyo wa @ugandacranes Alikuwa akiitumikia Klabu ya Maritzburg United kwa mkopo akiisaidia kutoshuka Daraja, Alitua hapo akitokea Cape Town City zote za Afrika Kusini… Amecheza Ligi Kuu nchini Kenya katika Klabu ya AFC Leopards iliyomuuza kwenda Klabu ya KCCA FC ya nyumbani kwao Uganda πΊπ¬ ambapo akiwa hapo hakudumu, Msimu Mmoja TU akatimkia Huko Bondeni ambako nako wamefikia Makubaliano ya kusitisha Mkataba baina yao… Fundi Sana huyu Jamaa “Dancing Rasta”.
#TransferNewsUpdate
@Harunlugoyah




#InternationalFriendlies












