Arsenal yaongeza walizi wawili wapya katika kikosi

Arsenal wapata ahueni kwa kuongezeka kwa Walinzi wao Wawili, Kieran Tierney na Hector Bellerin kwenye kikosi chao kinachojiandaa Kuwa tayari kucheza tena Ligi Kuu ya Uingereza baada ya mapumziko ya kimataifa kumalizika.
.
– Wawili hao wameonyeshwa wakiwa katika mazoezi na kikosi cha timu ya kwanza kwenye uwanja wa mazoezi wa Arsenal huko Colney London, Nyota hao wameonekana wakiwa kwenye njia ya kurudi kutoka katika majeraha yao.
.
– Kurejea kwao inamaanisha kwamba wanatarajiwa kuwapa changamoto Ainsley Maitland-Niles na Sead Kolasinac katika ushindani kwenye kikosi cha timu ya kwanza.
.
– Tierney Mwenye umri wa miaka 22, alifika London akiwa na jeraha la goti na pia anapona kutokana na upasuaji mara mbili wa hernia aliyefanywa majira ya joto, Nyota huyo wa Kimataifa wa Scotland hajacheza tangu Mei… Wakati Bellerin Alikuwa Ni Majeruhi wa muda mrefu, Hajacheza Tena Tangu mwezi January alipopata Majeraha Katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Chelsea..
#Arsenal #PremierLeague #PLUpdates
⚽ @Harunlugoyah

Frank Lampard kumuweka N’Golo Kante njee ..mechi.mbili zijazo

✍🏻 Meneja wa klabu ya Chelsea, Frank Lampard amemuondoa Kiungo wake wa Kimataifa wa Ufaransa, N’Golo Kante katika game zao Mbili zijazo dhidi ya Wolves Katika Premier league na dhidi ya Valencia Katika Champions League.
..
✍🏻 Chelsea wataifuata Wolves Kesho Jumamosi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu kabla ya kuikaribisha Klabu kutoka Uhispania, Valencia huko Stamford Bridge siku ya JUMANNE Katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.

✍🏻 Kiungo huyo ameonekana kucheza kwenye mechi mbili tu za ligi kwa upande wa Kikosi Cha Kocha Lampard msimu huu, alipata jeraha lake la kifundo Cha mguu linalo muweka nje Mpaka Sasa tangu wakati wa game waliitoa sare ya 1-1 na klabu yake ya zamani, Leicester City mwezi uliopita..
#PremierLeague #chelseafc
@Harunlugoyah

RATIBA YA SOKA LEO

#TanzaniaFDLFixture
16:00 Boma FC vs Mlale Fc
16:00 Ihefu vs Maji Maji Fc
16:00 Dodoma Fc vs Reha Fc
16:00 Njombe Mji vs Frienda Rangera
16:00 Ashanti United vs Mbeya Kwanza
16:00 Gwambina FC vs Afc Arusha
16:00 Geita Gold vs Mashujaa Fc
16:00 Sahare All Stars vs Transit Camp
:
#VodacomPremierLeague
16:00 Namungo vs Singida United
16:00 JKT Tanzania vs Lipuli
16:00 Mbao vs Biashara United
:
#AfricaCAFConfederationCup
15:00 Bandari vs Ben Guerdane
16:00 AS Kigali vs Proline
16:30 Young Buffaloes vs Bidvest Wits
17:30 Pélican vs Enugu Rangers
18:00 Ashanti Gold vs RSB Berkane
16:00 Al-Ittihad vs Hassania Agadir
19:00 Maranatha Fiokpo vs Djoliba
21:00 Pyramids vs Belouizdad
:
#EnglandPremierLeague
14:30 Liverpool vs Newcastle United
17:00 Brighton & Hove Albion vs Burnley
17:00 Manchester United vs Leicester City
17:00 Sheffield United vs Southampton
17:00 Tottenham Hotspur vs Crystal Palace
17:00 Wolverhampton Wande vs Chelsea
19:30 Norwich City vs Manchester City
:
#SpainLaLigaSantander
14:00 Real Madrid vs Levante
17:00 Leganes vs Villarreal
19:30 Real Sociedad vs Atletico Madrid
22:00 Barcelona vs Valencia
#ItalySerieA
16:00 Fiorentina vs Juventus
19:00 Napoli vs Sampdoria
21:45 Inter vs Udinese
:
#GermanyBundesliga
16:30 FC Köln vs B.Mönchengladb…
16:30 FC Union Berlin vs Werder Bremen
16:30 Mainz 05 vs Hertha BSC
16:30 B.Dortmund vs Bayer Leverkusen
16:30 Augsburg vs Eintracht Frankfurt
19:30 RasenBallsport Leipzig vs B.München
:
#FranceLigue1
18:30 Paris Saint-Germain vs Strasbourg
21:00 Dijon vs Nimes
21:00 Bordeaux vs Metz
21:00 Montpellier vs Nice
21:00 Brest vs Rennes
:
#AfricaCAFChampionsLeague
15:00 Côte d’Or vs Mamelodi Sundowns
16:00 Young Africans vs ZESCO United
16:00 Platinum vs Songo
16:00 Green Eagles vs 1º de Agosto
16:00 Petro de Luanda vs KCCA
16:00 Cano Sport vs Al Ahly
16:00 Génération Foot vs Zamalek
16:00 Kabylie vs Horoya
:
Prepared by @officialchristz

MATOKEO YA SOKA JANA IJUMAA :

#VodacomPrimierLeague
FT Simba Sc 2-1 Mtibwa Sugar
FT Coastal Union 2-0 KMC :
#EnglandChampionship
FT Derby County 1 – 1 Cardiff City
:
#SpainLaLigaSantander
FT Mallorca 0 – 0 Athletic Bilbao
:
#GermanyBundesliga
FT Fortuna Düsseldorf 1 – 1 Wolfsburg
:
#NetherlandsEersteDivisie
FT De Graafschap 3 – 2 Jong Ajax
FT FC Den Bosch 2 – 2 NEC Nijmegen
FT FC Eindhoven 1 – 1 Roda JC Kerkrade
FT FC Volendam 1 – 1 FC Dordrecht
FT Jong PSV 3 – 2 Jong AZ Alkmaar
FT MVV Maastricht 1 – 2 Telstar
FT NAC Breda 0 – 0 Jong FC Utrecht
FT Excelsior 4 – 2 Almere City FC
FT Cambuur 5 – 1 Helmond Sport
:
Belgium – First Division A
FT Sporting Charleroi 2 – 1 Genk
:
Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

Bocco aanza mazoezi

Nahodha wa Simba John Bocco jana alianza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje kwa wiki tatu akiuguza majeraha

Katika mazoezi ya jana yaliyofanyika uwanja wa Gymkhana, Bocco alipewa program maalum ya mazoezi yaliyosimamiwa kwa ukaribu na daktari wa timu

Bocco alikuwa nje tangu August 17 akiuguza majeraha ya goti aliyopata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc

Kurejea kwa Bocco ni habari njema kwa Simba katika kampeni yake ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo

Hata hivyo Bocco hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoikabili Mtibwa Sugar keshokutwa

TFF yatoa pole kwa msiba wa .shabiki aliyefariki uwanjani

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa pole kwa familia ya Christopha Rupia, shabiki aliyepoteza maisha kwenye mchezo kati ya Tanzania dhidi ya Burundi uliopigwa uwanja wa Taifa Jumapili, Septemba 08

Karibu Mkuu wa TFF Kidao Wilfred leo alifika nyumbani kwa marehemu nje kidogo ya jiji la Dar es salaam kuwasilisha salamu pamoja na rambirambi

Mzee Rupia alipoteza fahamu uwanjani baada ya kukumbwa na mshtuko wa moyo kisha kukimbizwa Hospitalini ambako alipoteza maisha

Alikuwa ni shabiki mkubwa wa timu ya Taifa na inaelezwa siku ya mchezo ni kosakosa za mabao ndizo zilizomfanya akumbwe na shambulizi la moyo

Mzee Rupia anatarajiwa kuzikwa Jumamosi

Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema, peponi AMEN..

Kagere kuiwahi mtibwa sugar

Taarifa za mshambuliaji kinara wa mabao kwenye kikosi cha Simba Meddie Kagere kuwa majeruhi hazina ukweli wowote kwani jana aliitumikia Rwanda kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia

Katika mchezo huo Kagere alipachika mabao mawili

Kagere anatarajiwa kuwasili nchini kesho Alhamisi hivyo kuuwahi mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Ijumaa

Kitakachomfanya Kagere asicheze mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar labda uchovu, kocha Patrick Aussems aamue kumpumzisha

Hata hivyo Aussems amekuwa akimuandaa winga Deo Kanda kucheza nafasi ya ushambuliaji wa kati

Simba imebaki na mshambuliaji mmoja tu (Kagere) baada ya Bocco na Wilker Da Silva kuumia

Bocco ameanza mazoezi mepesi jana lakini atahitaji siku kadhaa kuimarika kabla ya kurejea dimbani

Huenda kazi ya kwanza ya usajili ya CEO mpya wa Simba Senzo Mazingisa ikawa kusajili mshambuliaji wakati wa usajili wa dirisha dogo mwezi ujao

Kikosi cha simba kilichofika robo fainal ya CUF 2003

KIKOSI CHA SIMBA 2003

Walio simama kutoka kushoto: Emmanuel Gabriel, Said Swed, Yusuf Macho, Christopher Alex, Victor Costa na Seleman Matola.

Waliochuchumaa: Ramadhani Wasso, Ulimboka Mwangingwe, Juma Kaseja, Athumani Machupa na Boniface Pawasa.

Beki wa zamani wa @simbasctanzania Boniface Pawasa anasema, hiki ndio kikosi bora kwake kuwahi kuwahi kufanyanacho kazi kwa ngazi ya vilabu.
:
“Kikosi bora kwangu kuwahi kucheza ndani yake ni kile cha Simba mwaka 2003 kilichofuzu hatua ya robo fainali ya CAF Champions League”-Boniface Pawasa.

Kwako kipi ni kikosi bora cha Simba kilichofuzu robo fainali ya CAF Champions League kati ya mwaka 2003 au 2019?

Orodha ya vilabu bora Ulaya kwa mwaka 2019

|

Orodha inapatikana kwa kufanya majumuisho ya alama kilabu ilizopata kwenye UEFA Champions League na UEFA Europa League, misimu mitano iliyopita.

Kwenye upande wa mashirikisho ya Soka Ulaya, orodha ya ligi tano bora na alama zake;
1. SPAIN, point 86
2. ENGLAND, point 75
3. GERMAN, point 59
4. ITALY, point 58
5. FRANCE, point 50

Kwa kipindi cha miaka 10, Klabu bora 5 ni kama zifuatazo;
1. Real Madrid, point 367
2. Barcelona, point 298
3. Bayern Muninch, point 274
4. Atletico Madrid, point 218
5. Chelsea, point 212
(Source: UEFA.com)

Kilabu yako pedwa iko wapi?

Design a site like this with WordPress.com
Get started