Samatta avaa kitambaa cha unahodha ..GENK

FT| KRC Genk 3-1 Oostende
[ Ronald Vargas 16′ (OG), Paul Onuachu 44′, Sander Berge 90′ | Idrissa Sylla ’23 ]
….
✍️ Nahodha wa Timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta Jana Wakati Akiitumikia Klabu yake ya KRC Genk ikishinda mchezo wao wa Ligi alivaa kitambaa cha Unahodha kuiongoza Genk kwenye mchezo huo dhidi ya Oostende… Sasa Mabingwa hao Watetezi wanafikisha Pointi 13 katika mechi Nane wakiwa Nafasi ya Saba..
#Updates #krcgenk
@harunlugoyah

MATOKEO YA SOKA JANA

#VodacomPremierLeague
FT JKT Tanzania 0-0 Mtibwa Sugar.
FT Namungo FC 0-0 Mwadui FC
FT Mbao Fc 0-1 Kagera Sugar
FT Ndanda SC 1-1 Singida United
FT Mbeya City 1-1 Ruvu Shooting
:
#EnglandPremierLeague
FT Leicester City 2 – 1 Tottenham Hotspur
FT Burnley 2 – 0 Norwich City
FT Everton 0 – 2 Sheffield United
FT Manchester City 8 – 0 Watford
FT Newcastle United 0 – 0 Brighton & Hove Albion
:
#SpainLaLigaSantander
FT Villarreal 2 – 0 Real Valladolid
FT Levante 0 – 0 Eibar
FT Atletico Madrid 0 – 0 Celta Vigo
FT Granada 2 – 0 Barcelona
:
#ItalySerie A
FT Udinese 0 – 1 Brescia
FT Juventus 2 – 1 Verona
FT Milan 0 – 2 Inter
:
#GermanyBundesliga
FT Bayer Leverkusen 2 – 0 1. FC Union Berlin
FT FC Bayern München 4 – 0 1. FC Köln
FT Hertha BSC 2 – 1 SC Paderborn 07
FT Freiburg 1 – 1 Augsburg
FT Werder Bremen 0 – 3 RasenBallsport Leipzig
:
#FranceLigue1
FT Marseille 1 – 1 Montpellier
FT Bordeaux 2 – 2 Brest
FT Metz 1 – 2 Amiens
FT Nice 2 – 1 Dijon
FT Nimes 1 – 0 Toulouse
:
#BelgiumFirstDivision A
FT Sporting Charleroi 0 – 3 St.Truiden
FT Waasland-Beveren 1 – 1 Royal Excel Mouscron
FT Royal Antwerp 3 – 1 Cercle Brugge
FT Genk 3 – 1 Oostende

#AfricanNationsChampionshipQualification
FT Burundi 0 – 3 Uganda
FT Senegal 1 – 0 Guinea
FT Mauritania 0 – 0 Mali
FT Tunisia 1 – 0 Libya
FT Algeria 0 – 0 Morocco
:
#EgyptPremierLeague
FT El Geish 0 – 1 Al Mokawloon Al Arab
FT El Gounah 0 – 1 Ismaily SC
FT Pyramids FC 4 – 0 ENPPI
:
#KenyaPremierLeague
FT Mathare United 2 – 1 Ulinzi Stars
FT Kisumu All Stars 0 – 2 Nzoia Sugar FC
FT Wazito FC 0 – 1 AFC Leopards
:
#MoroccoBotolaPro
FT MCO Oujda 2 – 1 FUS Rabat
:
#SouthAfricaPremierLeague
FT Chippa United FC 0 – 0 Bloemfontein Celtic
FT Polokwane City 3 – 1 SuperSport United
FT Stellenbosch FC 2 – 2 Black Leopards FC
FT Mamelodi Sundowns FC 2 – 1 Maritzburg United
FT Bidvest Wits 4 – 3 Orlando Pirates
:
#FDLTanzaniaGroupB
FT Gwambina 1-0 Stend United
FT Geita Gold 1-0 Rhino
:
#FdlTanzaniaGroupA
FT Ihefu 1-1 Mlale
FT Dodoma Fc 1-0 Friends Rangers
FT Njombe Mji 0-0 Reha Fc
FT African Lyon 1-1 Mbeya Kwanza

Prepared by @officialchristz
Wa @sokaplace_

LOGARUSIC: TUNAIHESHIMU SANA TANZANIA

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Sudan, Zdravko Logarusic amesema kwa sasa Tanzania wanapiga hatua kwenye soka na anategemea kupata upinzani mkubwa katika mchezo wa kesho.

Tanzania kesho itakuwa mwenyeji wa Sudan katika mchezo wa kufuzu fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) katika mtanange utakaopigwa uwanja wa Taifa saa 1 usiku.

Kocha huyo wazamani wa Simba, amesema Tanzania imeanza kuwa tishio katika ukanda huu wa Afrika Mashariki lakini wamejipanga kuhakikisha wanafanya vizuri ugenini. .
“Soka la Tanzania linazidi kukua, miaka kadhaa ya nyuma niliwahi kufanya kazi hapa hali haikuwa hivi, nategemea mchezo utakuwa mgumu lakini tumejipanga kwa mechi na tunahitaji ushindi hata kama tupo ugenini,” alisema Loga.

#wapendasokaupdates

Manchester city yaendeleza umwamba kwa watford

6 – Manchester City wamefunga mabao 6+ katika michezo mfululizo dhidi ya Watford; hii ni mara ya kwanza katika historia ya ligi kuu ya Kiingereza kufunga mabao 6+ katika mtanange wa pande moja mfululizo katika mashindano yote tangu Chelsea v Wigan mnamo mwaka 2010.
..
8 – Ushindi wa Man City 8-0, ndio Ushindi Mkubwa Katika Historia yao Ligi Kuu Nchini Uingereza..
..
8 – Hiki ndio kipigo kikubwa Zaidi wanapata Watford Katika historia ya Soka lao Uingereza… Na kwa Mara ya tatu wanaruhusu Magoli Nane Kama Kama Klabu Katika historia yao ya Mpira wa Miguu (1-8 vs Aberdare Athletic, January 1926 na 1-8 vs Crystal Palace, Septemba 1959)..
..
6 – Man City ina Wafungaji Sita tofauti katika mechi Moja ya Premier League game (isipokuwa Magoli ya kujifunga) Ni kwa mara ya tatu katika historia Baada ya 21/09/2008 vs Portsmouth na 14/10/2017 vs Stoke..
#ManchesterCity #PremierLeague
@Harunlugoyah

Design a site like this with WordPress.com
Get started