
– Mabingwa wa Ligi Kuu Nchini Rwanda 🇷🇼, Klabu ya Rayon Sports Imethibitisha kumtamgaza, Javier Martinez Espinoza Raia wa Mexico Kuwa Kocha wao Mkuu Mpya akichukua Mikoba ya Roberto Oliviera Concalves Raia wa Brazil aliyeachana na Klabu hiyo kwa Makubaliano Binafsi Mwezi Uliopita.
…
– Espinoza Amesaini Mkataba wa Mwaka Mmoja kuiongoza Rayon Sports Jana Katika uwanja wa Ngoma ambako Klabu imepiga kambi kujiandaa na game ya Ngao ya Jamii dhidi ya Mabingwa wa Peace Cup, AS Kigali FC Siku ya Oktoba Mosi… Jukumu lake la kwanza kabisa Ni Kutetea Ubingwa wao wa Ligi Kuu ambapo wataanza kampeni yao Oktoba 05 dhidi ya Gasogi United.
…
– Roberto Oliviera Concalves ameondoka akiifanikisha Klabu hiyo Kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu na Kufika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika… Mbadala wake, Javier Martinez Espinoza yeye Katoka kutimuliwa Katika Klabu ya Vipers FC ya Uganda akidumu kwa Miezi Mitano TU Katika Mkataba wake wa Miaka Miwili!..
#TransfersNews #RayonSports
@Harunlugoyah











#AfricanNationsChampionshipQualification
