
β Kocha Mkuu wa klabu ya Mbeya City FC, Juma Mwambusi amefunguka na kuweka wazi Kuwa timu yake Bado haipo vizurii Kipindi hiki, Mwambusi analaumu Zaidi Mabeki wake Kuwa Wazembe kwa Kushindwa kujilinda vizuri na kusababisha Wapinzani wao kupata Magoli Kirahisi
:
β Akiongea na @sokaplace__ Baada ya game ya Jana wakitoka Sare ya 2-2 dhidi ya Lipuli FC Uwanja wa Samora mkoani Iringa, Kocha huyo amesema wameona makosa yanayojirudia, wao Kama Makocha wanatakiwa kuyafanyia kazi makosa hayo kutojirudia Tena Katika Safari yao inayokuja
:
β Katika mechi ya Jana vs Lipuli, Mbeya City ilikuwa inafungwa na kuanza kazi ya kusawazisha Goli na Hilo kwao lilifanikiwa na kuweka kupata pointi Moja ambayo Kocha wao amesema sio mbaya kwa Ugenini kupata Matokeo hayo… Kwa ujumla Msimu Huu, Wababe hao wa Jiji la Mbeya hawajaanza vema Msimu, Mechi tatu wamekusanya pointi tatu, yaani Game zoote wametoka Sare
:
Katika Matokeo hayo, Mwambusi amesema aliichukua Mbeya City ili kuitengeneza na kuifanya timu iwe ya Ushindani, na Mpaka Sasa mwanga umeanza kuonekana na yeye Hana wasiwasi na kuja kwa Mafanikio klabuni.
:
βπ» @harunlugoyah #TPLUpdates #sokaplaceupdates



#SpainLaLigaSantander


















