
⚽️⚽️ Luis Suarez amefunga Goli lake katika hatua ya Makundi ya UEFA Champions league kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka Mitatu – alikuwa amecheza mechi 15 za Makundi bila bao tangu Alipofunga Magoli Mawili dhidi ya Celtic mnamo Septemba 2016… Ukame ❌
#fcbarcelona #championsleague
@Harunlugoyah
#UefaEuropaLeague @sokaplace_



KAMATA MATOKEO YA SOKA JANA
















