Antonio Nugaz azungumzia mechi ya jana

Afisa Mhamasishaji wa klabu ya @yangasc Antonio Nugaz baada ya sare ya mabao 3-3 dhidi ya Polisi Tanzania amesema kuwa klabu yake jana imecheza vyema licha ya kupata point moja sio mwanzo mbaya kwa klabu yake kwani wamepata alama moja
:
Nugaz amesema kuwa kwa sasa kunawachezaji wanazidi kuonyesha viwango vyao hivyo wanaYanga Sc wawape mda wachezaji wao kwani bado hawana muunganiko mzuri.
:
Nugaz amesema mashabiki wake waache kuwabeza wachezaji wa kikosi hicho kwani anaamini watakuja kubadilika na kuwa wachezaji bora kabisa.
:
Nugaz amesema kwa sasa wanajiandaa na Mchezo ujao dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Jumapili hii katika Uwanja wa uhuru.

#Updates #YangaSc #sokaplaceupdates

Matora “jana ilitakiwa niondoke na ushindi”

Kocha msaidizi wa klabu ya Polisi Tanzania Seleman Matola baada ya sare ya mabao 3-3 dhidi ya Yanga Sc amesema kuwa jana alikua na uwezo wa kuondoka na point tatu kutoka kwa Yanga ila kuna vitu havikwenda sawa kwa upande wake
:
Matola amesema kuwa ililua rahisi sana kuwadhibiti Yanga Sc kwakua wanatumia mfumo ambao yeye anaufahamu na nimfumo wa aina moja tu ndio maana aliweza kuwadhibiti kirahisi.

#sokaplaceupdates

Mashabiki yanga sc..hatumtaki zahera

Baadhi ya wanaYanga Sc wamenukuliwa wakisema hawamtaki Kocha Mwinyi zahera na baadhi ya wachezaji waliosajiliwa katika kikosi hicho.
:
Mashabiki hao wamenukuliwa wakisema kuwa kocha huyo kawandanganya katika usajili aliofanya kwani wachezaji hao hawana jipya katika kikosi chao
:
David Molinga Licha ya kufunga magoli mawili hapo jana, bado wanaYanga wanadai Mchezaji huyo David Molinga hafai kuichezea Klabu ya Yanga Sc kwakua hana jipya katika kikosi hicho.
:
Hii imekuja baada ya Sare katika Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya polisi Tanzania hapo jana katika uwanja wa uhuru.

#TPLUpdates #sokaplaceupdates

MATOKEO YA SOKA JANA

#UEFAEuropaLeague @sokaplace_
FT F91 Dudelange 1 – 4 Qarabag FK
FT Sevilla 1 – 0 APOEL Nicosia
FT Lugano 0 – 0 Dynamo Kyiv
FT Malmoe FF 1 – 1 FC Koebenhavn
FT FC Krasnodar 1 – 2 Getafe
FT Trabzonspor 2 – 2 Basel
FT Rosenborg 1 – 4 PSV Eindhoven
FT Sporting CP 2 – 1 LASK
FT Celtic 2 – 0 CFR Cluj
FT Lazio 2 – 1 Rennes
FT Arsenal 4 – 0 Standard Liege
FT Vitoria de Guimaraes 0 – 1 Eintracht Frankfurt
FT Feyenoord 2 – 0 FC Porto
FT Young Boys 2 – 1 Rangers
FT CSKA Moscow 0 – 2 RCD Espanyol
FT Ferencvaros 0 – 3 Ludogorets Razgrad
FT Oleksandriya 1 – 1 Gent
FT Saint-Etienne 1 – 1 Wolfsburg
FT Istanbul Basaksehir 1 – 1 Borussia Mönchengladbach
FT Wolfsberger AC 1 – 1 Roma
Europa League – Group K October 3
FT Besiktas 0 – 1 Wolverhampton Wanderers
FT SC Braga 2 – 2 Slovan Bratislava
FT FC Astana 1 – 2 Partizan Beograd
FT AZ Alkmaar 0 – 0 Manchester United
:
#VodacomPrimierLeague
FT Yanga Sc 3-3 Polisi Tanzania
:

Timu ya Taifa ya TanzaniaU20 yaelekea jinja kwaajili ya fainali

Timu ya Taifa ya Tanzania Bara kwa vijana chini ya Umri wa miaka 20 leo asubuhi imeondoka katika mji wa Gulu, umbali wa takribani kilomita 400 kuelekea mjini Jinja itakakokwenda kucheza fainali ya michuano ya CECAFA U20 Chalenji Cup dhidi ya Kenya siku ya Jumamosi.. #wapendasokaupdates

Orodha wachezaji wanaowania goli bora la wiki UEGA

– Orodha ya wachezaji Wanne ambao wametangazwa na UEFA kuwania tuzo ya Goli bora la wiki hii kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya “UEFA Champions League”.
…..
👉 Luis Súarez [ ⚽Goli la kwanza; Barcelona* vs Inter Milan].
👉 Sadio Mané [ ⚽; Liverpool* vs RB Salzburg].
👉 Joshua Kimmich [ ⚽; Bayern Munich* vs Tottenham ].
👉Hakim Ziyech [ ⚽; Ajax* vs Valencia ]
#ChampionsLeague
@Harunlugoyah

KIKOSI CHA YANGA SC HII LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA

.
1. Metacha Mnata
2. Juma Abdul
3. Ally Mtoni
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. AbdulAziz Makame
7. Mrisho Ngassa
8. Feisal Salum
9. David Molinga
10. Juma Balinya
11. Sadney Urikhob

#AKIBA
– Faruk Shikalo
– Ali Ali
– Muharami Issa “Marcelo”.
– Moustafa Selemani
– Jaffary Mohammed
– Balama Mapinduzi
– Deus Kaseke
👉 Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ndani ya Uwanja wa Uhuru DSM, Muda ni Saa 10:00 za Jioni.
#VPLUpdates🇹🇿

Design a site like this with WordPress.com
Get started