




















Ft | Real Madrid 4 – 2 Granada
Benzema ⚽️
Hazard ⚽️
Modric ⚽️
Darwin ⚽️
Domingues ⚽️
James ⚽️
.
#wapendasokaupdates
#Laliga

– Neymar Jr anafunga magoli Manne katika mechi tano kwa PSG msimu huu wa 2019/20:
⚽️ vs. Strasbourg
⚽️ vs. Lyon
❌ vs. Reims
⚽️ vs. Bordeaux
⚽️ vs. Angers
…
– Mauro Icardi anafunga game ya pili Mfululizo katika Mashindano yote…PSG sasa pointi 21 kileleni mwa Msimamo wa @ligue1conforama 🙌
#Ligue1Updates #PSG

FULL TIME | Vodacom Tanzania Premier League.
Azam FC 2-1 Namungo FC
[ Donald Ngoma ⚽, Frank Domayo ⚽ | Lucas Kikoti]. 👉 Goli la Dakika ya 90+ likifungwa na Domayo linaifanya Azam FC kurejea TPL kwa kushinda game yao ya pili msimu huu wakikusanya pointi zao Sita.. Namungo walianza kupata Goli kisha Wenyeji kufanya Comeback!..
#VPLUpdates🇹🇿 #SokaPlaceUpdates

– James Milner anafunga penati yake ya pili ya ushindi katika mechi ya ushindi wa 17 ya Liverpool Mfululizo ndani ya @premierleague – pia alifunga bao la ushindi katika ushindi wa 2-1 huko Fulham mnamo Machi. ….
✅ 4-2 Burnley
✅ 2-1 Fulham
✅ 2-1 Spurs
✅ 3-1 Southampton
✅ 2-0 Chelsea
✅ 2-0 Cardiff
✅ 5-0 H’field
✅ 3-2 Newcastle
✅ 2-0 Wolves
✅ 4-1 Norwich
✅ 2-1 Southampton
✅ 3-1 Arsenal
✅ 3-0 Burnley
✅ 3-1 Newcastle
✅ 2-1 Chelsea
✅ 1-0 Sheff Utd
✅ 2-1 Leicester
👏 The streak continues.
#liverpool #PremierLeague
@Harunlugoyah

– Beki wa kati wa Kimataifa wa Morocco 🇲🇦, Medhi Benatia ametangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya taifa ya Morocco…Benatia mwenye umri wa miaka 32, ameichezea Morocco mechi 62 na kufunga mabao mawili… Katika kuthibitisha uamuzi wake, aliwashukuru mashabiki wa nchi yake kwa Ushirikiano wao Katika zaidi ya miaka 10 ya kulitumikia taifa lake.
…
– Nahodha huyo wa zamani wa The Atlas Lions, alijiunga na Al Alhahail ya Qatar 🇶🇦 mnamo Januari, baada ya kudumu takribani miaka miwili na Juventus ya Italia 🇮🇹… Kustaafu kwake, Anajiunga na Wachezaji wengine wawili wa Morocco – Mbarek Boussoufa na Karim Al Ahmadi – ambao pia walistaafu baada ya Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019, Morocco ikitupwa nje mapemaa hatua ya 16 Bora.
@Harunlugoyah


Kelvin John ametangazwa kuwa mchezaji Bora wa Mashindano na Mfungaji bora wa Mashindano ya #CECAFAU20


FULL-TIME | CECAFA U20 FINAL.
Kenya 🇰🇪 0️⃣ – 1️⃣ Tanzania 🇹🇿
[ John Otieno Onyango ⚽og ]
…
– MWALI ANAKUJA NYUMBANI 🙌👏.. Timu ya taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya miaka 20. Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Michuano ya CECAFA U20 nchini Uganda 🇺🇬 baada ya kushinda 1-0 katika game ya fainali iliyofanyika jioni ya hii leo… Congrats 👏 Ngorongoro Heroes. 🥇Tanzania 🇹🇿 🏆
🥈 Kenya 🇰🇪
🥉 Eritrea 🇪🇷
#CECAFAU20ChallengeCupUganda2019



Scott Mactominay amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Manchestser United kwa mwezi Septemba:
•September Player of the Month VOTING:
Scott McTominay – 48%
Mason Greenwood – 30%
Daniel James – 22%